TV yangu imeleta rangi hii jee nifanyeje?

TV yangu imeleta rangi hii jee nifanyeje?

JF ina mambo sana.
Ukiwa mgeni humu unaweza ukapaniki sana. Yaani karibu kila mtu anazungumza kuwa anamiliki Tv ya kisasa, Simu ya kisasa, gari zuri, nyumba ya kisasa , ana kazi rasmi yenye kumpa kipato kizuri nk. Lakini ukweli ni kwamba 90% ni kinyume chake.
 
Tusiwe wanafki bwana. Tv kama ya zamani sana tusiseme. Mbona ukiwa na 250,000 unapata Ouling nzuri tu
 
Jf bana kila mtu ana smart tv ,
wakati kiukweli wanaodisi tv ya jamaa wanaishi kwa mashemeji zao
ile tv ninya kiwango cha juu tu kwa wakato wake kwa sasa sio huwezi kusema simu nokia torch nobkiwango duni si kweli
 
lazima niseme maana cheap ni expensive sana ona sasa limstari kwenye TV? angenunua kitu OG isingeleta zengwe yaani ukiwa huna ndio ukanunue matakataka umaskini juu ya umaskini. Wabongo tuna fikra duni sana
unajua kakaa nayo kwa muda gan?
 
Ni bora kula dagaa kuliko pilau la masimango bora hiyo tv kuliko smart ya shemeji nanilazima ushangilie timu yake
 
Wewe utakuwa uliweka spika karibu na TV usipoziondoa rangi itaendelea kukngezeka. Hiyo rangi kama ilisababishwa na spika za muziki za sub woofer, basi kuiondoa watatumia sumaku mafundi.
Uko sawa kabisa hujakosea
 
mkuu tafuta sumaku,hasa ya spika halafu ipitishe juu juu inatakasika,unaipitisha juu ya screen taratibu,usisogeze sana karibia na kioo,inatakasika fasta tu,ila hata hivyo tafuta pesa ununue tv,hiyo mali ni ya kizamani na low quality mno mkuu..
Hivi kuna mahusiano gani maana huo ufjndi hata mimi niliwahi kufanya hivyo ikakubali
 
Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu tv yangu ilikua inaniletea rangi kwenye kioo kama hivi
rangi ilikua imesambaa hivyo kama mnavyoona ila nashukuru sana mlinambia nitumie sumaku kutoa hiyo rangi iltoka ikabaki hapo pembeni ambapo imegoma kutoka kabisa
Hebu nishaurini wakuu hii rangi iliyobaki nimehangaika kuitoa niitoeje??nataka tv yangu iwe bluu kote
picha ya pili ndo rangi iliyobakia nifanyeje itoke???
IMG_20180711_173726.jpg
1534263108200.jpg
 
Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu tv yangu ilikua inaniletea rangi kwenye kioo kama hivi
rangi ilikua imesambaa hivyo kama mnavyoona ila nashukuru sana mlinambia nitumie sumaku kutoa hiyo rangi iltoka ikabaki hapo pembeni ambapo imegoma kutoka kabisa
Hebu nishaurini wakuu hii rangi iliyobaki nimehangaika kuitoa niitoeje??nataka tv yangu iwe bluu kote
picha ya pili ndo rangi iliyobakia nifanyeje itoke???View attachment 835944View attachment 835949
Tafuta sumaku upitishe mbele ya kioo
 
Tatizo unaiweka chini mkuu kama hauna stendi weka hata juu ya debe la unga

Me ndo nilifanya ivo
Ipo kwenye meza yake mbona hiyo picha ya mwanzo ni siku niliweka chini ili nipange vitu ndani c kwamba inakaa chini
 
Back
Top Bottom