TV Series gani ilikukuna mtima wako.......

...itafute hiyo kamanda..uone jinsi Gov..na Agency zake..zinavyofanya mission....utapenda...
..jamaa wamecheza..Zimbambwe,Sudan...Afghastan...Burgaria...India...yaani..ni bonge la series Musimo Jr...
Mkuu nimeanza kuidownload season 1 hapa nafikiri kufikia kesho itakuwa imemaliza then ntaishusha ya pili maana nimeona kama ipo vile
 
Mkuu nimeanza kuidownload season 1 hapa nafikiri kufikia kesho itakuwa imemaliza then ntaishusha ya pili maana nimeona kama ipo vile


...safi..sasa season 1..unakutana na jamaa anaitwa John Porter..na kamanda wake..na kuna mission ya kumuaa mugabe humo..wewe itazame kisha utaniambia...kisha shusha season 2 @..ukutane na Damien Scot. Musimo Jr
 
...safi..sasa season 1..unakutana na jamaa anaitwa John Porter..na kamanda wake..na kuna mission ya kumuaa mugabe humo..wewe itazame kisha utaniambia...kisha shusha season 2 @..ukutane na Damien Scot. Musimo Jr
Shukran kaka kazi imeanza tayari
 
the event
traveller
though hazikupigiwa kura za kutisha ili ziendelee....
nikita
24
lost
 
Nikiwa mdogo kabisa nilianza kuwatch series aka tamthilia kwenye tv enzi hizo tamthilia kama
  1. Isidingo the need
  2. The sunset beach
  3. The young and the Restless
  4. Kidogo sana Days of our lives
  5. The bold and the Baeutful
  6. Baadae Passions
  7. La mujer De mi vida
  8. La Revancha
  9. na mwisho kwenye mfumo wa tv za kibongo nikawatch ile ya yina (sijui ilikuwa inaitwaje)

Baadae nikaachana na hizo maana sasa zikaanza kuboa na kila mtu anawatch na unakuta ziko kila station tena muda mmoja nikaloose interest na ndipo nikaanza kuwatch za kwangu kwenye ka tv ka home kabla sijapata laptop. Nikaanza na
  1. Prison Break
  2. 24
  3. heroes
  4. lost
Mpaka zilipoanza kuniboa nazo kasoro Prison Break na Heroes ambazo niliziwatch mpaka mwisho.

Tangu hapo nimekuwa addicted to tv series ambapo nimekwisha watch more than 50 series zenye urefu tofauti na mpaka nyingine nimezisahau majina. baadhi ni kama
  1. Sex and the city seasons 1 - 4
  2. accidentally on purpose
  3. merlin
  4. xena
  5. lie to me
  6. the oc
  7. kyle xy
  8. the tudor
  9. spartacus (blood and sand na Gods of the arena)
  10. Starget sg1
  11. Starget Atlantis
  12. leverage
  13. are we there yet?
  14. californication
  15. glee
  16. tru blood
  17. vampires diary
  18. Nikita
  19. 4400
  20. The L world
  21. the event
Na kadhalika kibao maana nyingine hata majina sizikumbuki tena

Sasa katika zote hizo these are my favorite
  1. Prison Break
  2. 24
  3. 4400
  4. na ile ninayoiwatch kwa sasa ingawa wananipa vipisi vipisi NIKITA

what are your favourites?

Acapulco Bay
 
Back
Top Bottom