TV Series gani ilikukuna mtima wako.......

dah kwa kweli sunset beach itabaki kuwa the best! Ile miaka ya tisini egoli nayo niliipenda though nilipokuwa dar sikuipenda nilipokwenda Arusha wakati ule hakukuwa na tv station zaidi ya Itv so nikaanza kuifuatilia nikatokea kuipenda mno!
 
My favourate ni 24 na Lost
Nyingine ni ile aliyopo Cantalisia na Salvador(Second Chance) na Jumong.
Nimeangalia nyingi lakini sizikumbuki majina.
 
Last edited by a moderator:
Cantalisia baby,
wherever I see your username, my heart goes up and up,
like The Eifel Tower, and keep floating like a boat in The Rhine along Ruhr and Westphalia,
keeping a pause in Gienselkirchen,
then all way long to the Black Sea, through Donestk and Kyiv...
Ooh, am I poetic?
Mi nilivutiwa na Makutano Junction wakuu, at the time I was never out of sight when it was called Friday, and time turns 2030, that was amasing bwana!
Samahanini kwa kuweka tangazo wakuu.
Hee hee heee,
Swaiba naona leo umekuja kivimgine lol!
Full mashairi pole sana tumia piriton na moyo wako utatulia.

Niko na papa Rejao hapa ameisoma post yako anasema nikupe hi hahahah!
 
Ah Percy kachukua Plutonium iliyokuwa imefichwa na Brunt so anataka kutengeneza Nuke naona ila dah kwenye season 20 kaiba mavumba ya Berkof aka shadow walker. Dah Amanda amekuwa kama digidigi yeye na mpenzi wake Ari wanasakwa kama wezi

Musimo Jr, haya ndio matatizo ya kukaa maporini tunapata series wakati zilishaisha. Hiyo NIKITA inaongelea nini zaidi, maana huku Kavifuti kuipata labda mwakani.
 
Last edited by a moderator:
No. 2,3,4 na 5 zinanihusu... Ninayoifagilia zaidi,"Sunset Beach" na "Acapulco Bay".. Hiyo hujaiandika...

Nyingine ni "Tausi"
 
Musimo Jr, haya ndio matatizo ya kukaa maporini tunapata series wakati zilishaisha. Hiyo NIKITA inaongelea nini zaidi, maana huku Kavifuti kuipata labda mwakani.
Hahahahaaa haya mh. Kuna agency fulani ilianzishwa na serikali kwa ajili ya intelijensia lakini baadae inaenda rogue kwa kuanza kufanya vitendo vya ki haramia na mauaji. Nikita ni mmoja wa recruits kwenye hiyo agency na walikuwa wanawachukua watu potential then wanawabambika kesi then wanawachukua gerezani wakijifanya wanawapa nafasi ya kujirudi so wanafundishwa kuwa assasins

Nikita anachoka kuwa muuaji so anakwenda rogue against the agency ambayo kwenye series inaitwa division. So mchezo wa kuwindana unaanzia hapo sasa nikita anampandikiza binti mmoja anaitwa alex kwenye division so ndio anakuwa mole wake mule ndani wakati yeye akiwa nje its a very nice series asee
 
No. 2,3,4 na 5 zinanihusu... Ninayoifagilia zaidi,"Sunset Beach" na "Acapulco Bay".. Hiyo hujaiandika...

Nyingine ni "Tausi"
Kweli na acapulco bay nayo

Tausi dah umenikumbusha asee kina kalumanzila, mjuba, aysha, mponda, kilonzo dah ila sikupenda mwisho wake
 
Ah Percy kachukua Plutonium iliyokuwa imefichwa na Brunt so anataka kutengeneza Nuke naona ila dah kwenye season 20 kaiba mavumba ya Berkof aka shadow walker. Dah Amanda amekuwa kama digidigi yeye na mpenzi wake Ari wanasakwa kama wezi
Hebu nimegee kidogo kuhusu Alex na harakati za kumwokoa mama yake,na kuhusu uhusiano wake na NIKITA baada ya kuwa na bifu na kukimbiana na vp wabaya wa mike hawajajua km ana mtoto mahala!
 
Kweli na acapulco bay nayo

Tausi dah umenikumbusha asee kina kalumanzila, mjuba, aysha, mponda, kilonzo dah ila sikupenda mwisho wake

Yeah.. Haikuisha vizuri Tausi.. Ah.. "mwana kindakindaki" star wake yule binti nani vile?!
 
Hahahahaaa haya mh. Kuna agency fulani ilianzishwa na serikali kwa ajili ya intelijensia lakini baadae inaenda rogue kwa kuanza kufanya vitendo vya ki haramia na mauaji. Nikita ni mmoja wa recruits kwenye hiyo agency na walikuwa wanawachukua watu potential then wanawabambika kesi then wanawachukua gerezani wakijifanya wanawapa nafasi ya kujirudi so wanafundishwa kuwa assasins

Nikita anachoka kuwa muuaji so anakwenda rogue against the agency ambayo kwenye series inaitwa division. So mchezo wa kuwindana unaanzia hapo sasa nikita anampandikiza binti mmoja anaitwa alex kwenye division so ndio anakuwa mole wake mule ndani wakati yeye akiwa nje its a very nice series asee

Dah!! Nikija mjini itabidi niitafute..
 
Dah!! Nikija mjini itabidi niitafute..

Nimeona kama hawa wahindi ndio kwanza bado wana season ya kwanza wakati si tunaelekea kumaliza season ya pili sasa i gues zimebaki episodes mbili tu
 
Nadhani "Neighbours" haikuwa mentioned, kwenye ile list yako. Na zipo nyingine nzuri sana zaidi ya 24 hrs tafuta Criminal minds, CSI MIAMI/NEW YORK....

Unaweza kutengeza stori kama hii....
In Xena's Viampires diaries Heroes were Lost during the 24 hrs Prison Break for Sex and the city the only Leverage was Nikita so Bold and Beatiful yet Young and Restless like Isidingo the need at the Sunset beach on Acapulco Bay and these are the Days of our lives.
 
Unaweza kuwa mwandishi wa habari wa mh. Katavi
 
the ones i can remember of my head in no particular order

Passions
La Mujer de mi Vida
Isidingo
Mutant X
QaF
Shameless
United States of Tara
Kyle XY
Vampire Diaries
the Lair
Dante's Cove
Modern Family
Brothers and Sisters
Ugly Betty
No Ordinary Family
Torchwood
Will and Grace
Greek
8 Simple Rules
Happy Endings
Teen Wolf
My Babysitter's a Vampire (disney channel)
How I Met Your Mother
Supernatural
24 (season 7)
Days of our Lives (following a specific storyline)
Glee

p.s. where can i get true blood? i can't download since it would take 4eva?
 
I think they are selling the dvds coz thats where i got it. Well it depends with where you are but i believe wherever you are somewhere you can find it. downloading it will take ages i know depending with your internet speed
 
Hiyo NIKITA wajaeni mweeeee!
Naipendaje ila sijapampata wa kunipa yote lol hahahah!yaani series nzima jaman!
Nimeishia season 2 epsode ya 16,kwa mwenyenayo epsode za zaidi ya hapo anisaidie lol!

Samahani Musimo Jr kwan hapa nimepitiwa na kuweka tangazo hahahah!

Njoo nyumbani kwangu unitembelee nitakuazima Cantalisia
 
Last edited by a moderator:
asee kunaa mojaaa niliipendaa sanaaa..........{LALOLA}jamaa aligeuzwaa demu na akajaa kupendaaa kikweliiii mwanaumeee
 
Back
Top Bottom