TV Series gani ilikukuna mtima wako.......

asee kunaa mojaaa niliipendaa sanaaa..........{LALOLA}jamaa aligeuzwaa demu na akajaa kupendaaa kikweliiii mwanaumeee
LALOLA naikumbuka niliitizama kidogo, nilipenda kale ka sehemu alikoenda kufanyiwa waxing ile ya kubandua vinyweleo dah ilikuwa very funny
 
Hebu nimegee kidogo kuhusu Alex na harakati za kumwokoa mama yake,na kuhusu uhusiano wake na NIKITA baada ya kuwa na bifu na kukimbiana na vp wabaya wa mike hawajajua km ana mtoto mahala!
mama yake alex alishamuokoa mda tu saiz yuko safe na alex ameungana na kina Nikki, Michael na Shadow walker (Berkof) ili waweze kuibemenda division vizuri...Percy nae anahaha kutafuta pesa, alimuibia Berkof hela zake zote ila wakaziwahi na kuzitia moto gari zima....utamu unaendelea....
 
1. Prison Break
2. Merlose Place
3. The Misfit
4. Hustle
5. Covert Affairs
6. Vampire Diaries
7. Game of Thrones
 
Mkuu ile ya kina Daegil inaitwa SLAVE HUNTER,ilinikuna mbaya.Hiyo tu.
 
Umenikumbusha mbali, wakati nami nasoma tulikuwa tukikatazwa kuangalia series eti ni mapepo, lakini tulikuwa tukizima taa Na kuangalia kwa mwanya wa tv tu, nilipenda sana the sunset beach and days f our lives. La revancha nayo ilibamba.
 
tafuta entourage na boondocks yaani hizi ni dunia nzima

Bondoocks ni kiboko....i love that black dude mwenye kipara na ana asili ya ki-Irisha(or should i say anatamani angekuwa na asili hiyo) then i love desperate housewives na sex and the city....
 
tafuta entourage na boondocks yaani hizi ni dunia nzima

Bondoocks ni kiboko....i love that black dude mwenye kipara na ana asili ya ki-Irish or should i say anatamani angekuwa na asili hiyo) then i love desperate housewives na sex and the city....
 
embu nidokeze kidogo kuhusu hii 4400...kama inantamanisha hivi...!!
Hii ni kuna watu walichukuliwa katika miaka tofauti kuanzia 1936 mpaka wanarudishwa wakiwa 4400 tena wakiwa na umri uleule ambao walikuwa nao wakati wanaondoka duniani. Sasa nao hawajui walikuwa wapi na kwao hata hawahisi kama kuna siku imepotea, kizuri ni kwamba wanakuja na ability tofauti tofauti hapo ndipo utamu ulipo maana wengine ni evils wengine wanaprotect matendo maovu
 
The Good Wife nimeicheki hadi season 2 ni nzuri sana. Ukicheki ndo utajua madetective wa mbele wavyojua kukusanya evidence. I would recommend this to any lawyer. Apart from being entertainment it will also offer knowledge to sharpen legal experience.
 
kwa wewe unaependa movie za ki detective kuna kitu kinaitwa CSI..(Miami au new york) ...full maupelelezi kwa kuumiza kichwa mpaka utabloo mweyewe...
 
The Good Wife nimeicheki hadi season 2 ni nzuri sana. Ukicheki ndo utajua madetective wa mbele wavyojua kukusanya evidence. I would recommend this to any lawyer. Apart from being entertainment it will also offer knowledge to sharpen legal experience.
I think na mi ntaifuta hiyo pia, unajua theres a lot of learnings katika hizi vitu kwa mfano ukiwatch lie to me utajua mbinu zinazotumika kumjua mtu anayesema uongo
 
Back
Top Bottom