TV Series gani ilikukuna mtima wako.......

japo hatukua na tv kwetu lakini niliifatilia kuliko mwenye nayoo
7. La mujer De mi vida
8. La Revancha
 
me ilikuwa inanikuna Passion, bibi Tabitha na mjukuu wake Timmy.
kulikuwa kuna mrembo jina limenitoka kidogo alikuwa anampenda sana Ethan.
 
me ilikuwa inanikuna Passion, bibi Tabitha na mjukuu wake Timmy.
kulikuwa kuna mrembo jina limenitoka kidogo alikuwa anampenda sana Ethan.
Alikuwa anaitwa Theresa aka Teresita, halafu kaka yake alikuwa hata hataki kuisikia ile familia ya kina Ethan lakini yeye akawa anampenda Sheridan mdogo wake Julian
 
Back
Top Bottom