TV Series gani ilikukuna mtima wako....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TV Series gani ilikukuna mtima wako.......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by M'Jr, May 2, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Nikiwa mdogo kabisa nilianza kuwatch series aka tamthilia kwenye tv enzi hizo tamthilia kama
  1. Isidingo the need
  2. The sunset beach
  3. The young and the Restless
  4. Kidogo sana Days of our lives
  5. The bold and the Baeutful
  6. Baadae Passions
  7. La mujer De mi vida
  8. La Revancha
  9. na mwisho kwenye mfumo wa tv za kibongo nikawatch ile ya yina (sijui ilikuwa inaitwaje)

  Baadae nikaachana na hizo maana sasa zikaanza kuboa na kila mtu anawatch na unakuta ziko kila station tena muda mmoja nikaloose interest na ndipo nikaanza kuwatch za kwangu kwenye ka tv ka home kabla sijapata laptop. Nikaanza na
  1. Prison Break
  2. 24
  3. heroes
  4. lost
  Mpaka zilipoanza kuniboa nazo kasoro Prison Break na Heroes ambazo niliziwatch mpaka mwisho.

  Tangu hapo nimekuwa addicted to tv series ambapo nimekwisha watch more than 50 series zenye urefu tofauti na mpaka nyingine nimezisahau majina. baadhi ni kama
  1. Sex and the city seasons 1 - 4
  2. accidentally on purpose
  3. merlin
  4. xena
  5. lie to me
  6. the oc
  7. kyle xy
  8. the tudor
  9. spartacus (blood and sand na Gods of the arena)
  10. Starget sg1
  11. Starget Atlantis
  12. leverage
  13. are we there yet?
  14. californication
  15. glee
  16. tru blood
  17. vampires diary
  18. Nikita
  19. 4400
  20. The L world
  21. the event
  Na kadhalika kibao maana nyingine hata majina sizikumbuki tena

  Sasa katika zote hizo these are my favorite
  1. Prison Break
  2. 24
  3. 4400
  4. na ile ninayoiwatch kwa sasa ingawa wananipa vipisi vipisi NIKITA

  what are your favourites?
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  ther has never been like 24 for my side!! ever!!
  Hii nikita nayo inakuja kwa kasi naikubali.. Prison niliipenda but mwishoni walinichefua kidogo...walizungusha zungusha mambo pale kuhunihuni hivi...

  kwa tamthilia La revancha ilinishaika hasa...sijawahi kuangallia tamthilia tena baada yake maana zote naziona zimejaa mapenzi mengi tuu...
   
 3. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  afu kuna kitu Lost...dah wacha kabisa!!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Dallas
  Knots Landing
  Neighbours
  EastEnders
   
 5. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hiyo NIKITA wajaeni mweeeee!
  Naipendaje ila sijapampata wa kunipa yote lol hahahah!yaani series nzima jaman!
  Nimeishia season 2 epsode ya 16,kwa mwenyenayo epsode za zaidi ya hapo anisaidie lol!

  Samahani Musimo Jr kwan hapa nimepitiwa na kuweka tangazo hahahah!
   
 6. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Umbea unasema Prison Break ilikuwa iishie ile season ya kwanza tena mapema tu ile wakati michael anatoroka halafu akakuta sarah anavamiwa na wale vichaa pale ndio ilikuwa wabreak
   
 7. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahaaa Canta usijali mama, mi ninazo mpaka 20 si unajua wanatoa kidogo kidogo....... halafu naona kama inaelekea mwisho hivi labda kukutamanisha tu Semac ameuwawa na Ari halafu Percy karudi kuongoza Division
   
 8. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  duh...kweli huo umbea....yaani iishie season ya kwanza!!??
   
 9. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  wakati huo huo Percy anahaha kusaka mavumba baada ya minoti yake yote kupigwa mizinga....!!!
   
 10. Tosha

  Tosha Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  nimeangalia baadhi tu km secreto de amor,suaveneno,shades of sin,senhora de destino,second chance,daniela, escrave Isaura,forbiden passion na forbiden garden
   
 11. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Khaaaaaa!
  Nataman kuona hiyo purukusha ilivotokea na namna Percy anavojidai kwa sasa lol!
  Hebu ngoja kwanza............!
   
 12. S

  Starn JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jacobs Cross
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280

  Cantalisia baby,
  wherever I see your username, my heart goes up and up,
  like The Eifel Tower, and keep floating like a boat in The Rhine along Ruhr and Westphalia,
  keeping a pause in Gienselkirchen,
  then all way long to the Black Sea, through Donestk and Kyiv...
  Ooh, am I poetic?
  Mi nilivutiwa na Makutano Junction wakuu, at the time I was never out of sight when it was called Friday, and time turns 2030, that was amasing bwana!
  Samahanini kwa kuweka tangazo wakuu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. cmoney

  cmoney JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,224
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  tafuta entourage na boondocks yaani hizi ni dunia nzima
   
 15. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Ah Percy kachukua Plutonium iliyokuwa imefichwa na Brunt so anataka kutengeneza Nuke naona ila dah kwenye season 20 kaiba mavumba ya Berkof aka shadow walker. Dah Amanda amekuwa kama digidigi yeye na mpenzi wake Ari wanasakwa kama wezi
   
 16. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  jumong, the land of wind, the emperor of the sea.
   
 17. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Love is blindoooo
   
 18. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Eeeh? Hata mimi hii 'siriz' niliiona, ila sikuimaliza mpaka mwisho.
   
 19. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Teh teh teh...............
   
 20. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Unapata wapi muda wa kuangalia madude yote haya? Hongera.
   
Loading...