TV ipi bora kwa bajeti ya Tsh 1.5 m

TV ipi bora kwa bajeti ya Tsh 1.5 m

Daah kwa vile umesema dau
Acha niseme
1.sony
2.samsung
3.lg
4.hisens,philips nk.
Hapo namba zimejipanga kutokana na ubora hadi kudumu
ILA KAMA UNGEKUWA HUNA HELA YA KUJICHANGA NINGEKUAMBIA CHUKUA APPLE TV.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app

Nashauri pia atafute LG 4k UHD, au afungue wallet atafute LG nanocell au LG Oled,
Mkuu apple hawana product ya actual TV, ni kwamba wanakibox chao wanakiita apple tv ambacho kuna apps kama za iphone, lakin za kwenye apple tv zimekua optimised kwa television, ni kama android tv box hivi, kwa Hiyo iko kibox unaweza kukitumia kwa TV yeyote ambayo ina HDMI port, ina muonekano mzuri kiukwel, ila bei yake imesimama pia, kwa apple TV matoleo ya kwanza kwa sasa unaeza pata around laki tano,
IMG_9742.jpg


IMG_9741.jpg
 
Habari zenu... Naombeni msaada wa kuchagua TV Bora (mind Sina uzoefu na TV so nahitaji na uelewa pia) budget ni 1.5mil isizidi hapo. Asanteni
Unapata kioo around inch 50 mpaka 55, ambayo ni UHD, hakikisha ina HDr10, Hdr10+ ama Dolby vision, iwe smart, unapata Brand zote kubwa kuanzia Samsung hadi LG.

Pia usisahau warranty ya maandishi.
 
Unapata kioo around inch 50 mpaka 55, ambayo ni UHD, hakikisha ina HDr10, Hdr10+ ama Dolby vision, iwe smart, unapata Brand zote kubwa kuanzia Samsung hadi LG.

Pia usisahau warranty ya maandishi.
Asante ntazingatia
 
Tafuta
1.TCL
2.SKYWORTH
3.SAMSUNG
4.LG
5.HISENSE
6.SONY
7.PANASONIC (sasa hv zinatengenezwa na skyworth)
Ukipata moja kati ya hzo kwa budget yako utakuwa umelamba dume.
Skyworth mm ninayo ila watoto wamevunja kioo haikuwahi kunipa shida yoyote kipindi Cha uhai wake
 
Back
Top Bottom