Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
Halafu unasikia mtu anasema tv zote zipo sawa, iwe ya star x ama LG ni zile zile tu.Hebu angalia hii panel ya nanocel inchz 55,huku unaenjoy magic remote,ebwana Lg watuView attachment 2294156