TV ipi bora kwa bajeti ya Tsh 1.5 m

TV ipi bora kwa bajeti ya Tsh 1.5 m

Kama unampango kufunga CCTV CAMERA nyumbani kwako chukua Samsung inaresolution nzuri CCTV CAMERA zinaonekana vizuri ukilinganisha na TV nyingine.
 
Mimi ngosha apo bilashaka ningeenda kabisa kudaka xiaomi tv ,series za sasa tv Kali sana sema wachina bado Kuna watu hawawaamini
 
Mimi ngosha apo bilashaka ningeenda kabisa kudaka xiaomi tv ,series za sasa tv Kali sana sema wachina bado Kuna watu hawawaamini
bongo naweza kupata wapi? nielekeze jinsi ya kuagiza maana hata mimi xiaomi nazikibali maana hata simu ninayotumia ni wao (mi 9 se)
 
bongo naweza kupata wapi? nielekeze jinsi ya kuagiza maana hata mimi xiaomi nazikibali maana hata simu ninayotumia ni wao (mi 9 se)
Mcheki shamwaa Africa atakuletea
 
Hebu angalia hii panel ya nanocel inchz 55,huku unaenjoy magic remote,ebwana Lg watu
 
Back
Top Bottom