Tuwekeze zaidi kwenye kilimo, tutumie ardhi yetu na izalishe ajira

Ni Bora wabunge Wana familia la sivyo wangepata tabu Sana kuondoa binti MARINGO ambaye hata vipo siwezi jifunza Kwa wengine TANROAD, TBA, GPSA, ASA wanashangaa vitu vidogo lakini vikubwa barabara, majengo na manunuzi na mbegu

Unaongea utoto gani we dogo? Umemaliza mtihani wa la saba juzi, saa hii unatumia computer ya hapo nyumbani kwenu kuandika upuuzi hapa ndani. Pumbavu kabisa.
 
Unaongea utoto gani we dogo? Umemaliza mtihani wa la saba juzi, saa hii unatumia computer ya hapo nyumbani kwenu kuandika upuuzi hapa ndani. Pumbavu kabisa.
Hapa Ndiyo napendaga pale wewe unapozani makubwa nikijudge mambo yako nu mtoto kabisa utakuwa CEO wa mashauzi classic
 
Unaongea utoto gani we dogo? Umemaliza mtihani wa la saba juzi, saa hii unatumia computer ya hapo nyumbani kwenu kuandika upuuzi hapa ndani. Pumbavu kabisa.
Hizo ni KAZI na watu wanakula mishahara zaidi ya milioni 3 lakini mwisho wa mwezi hawana kitu mzunguko wanashangaa mpira Simba na Yanga Shira Kwa mamilioni ya watu #tag tumetaka wenyewe
 
Unaongea utoto gani we dogo? Umemaliza mtihani wa la saba juzi, saa hii unatumia computer ya hapo nyumbani kwenu kuandika upuuzi hapa ndani. Pumbavu kabisa.
Achana nae huyu ameamua kuharibu uzi
 
OS Cordis,
Pia wafanya biashara wajue ni wapi pa kupata mazao wanayohitaji. Kama kila mwenyekiti na katibu wa mtaa atafikisha ripoti kwa mtendaji kata, kata aifikishe kwa Afisa Tarafa na hatimae kwa Afisa Kilimo wa Mkoa.

Unaweza kuwa unatafuta maharage wakati yanaoza Makuyuni.
 
Hiki kitakuwa kitengo cha Wakala wako wa KOROSHO usumbufu utaondoka eti!?
 
Zamani walikuwa wanatoa hizo takwimu radio Tanzania kila alfajiri then radio one walikuwa wakiendeleza, sijajua kwa sasa maana sijasikiliza radio kitambo sana.
Taarifa za masoko zilikuwa zinaitwa.
Basi itafutwe njia ya kujua takwimu za mazao ya kila mkoa kwa wiki.
 
Uko sahihi,maendeleo hayana vyama,ila kwenye vyama vya ushirika kuna mchwa wakali sana inahitajika nguvu ya ziada kuvisimamia...
 
Uko sahihi,maendeleo hayana vyama,ila kwenye vyama vya ushirika kuna mchwa wakali sana inahitajika nguvu ya ziada kuvisimamia...
Kama tatizo linajulikana wawe wanafanyiwa auditing hata mara mbili kwa mwaka. Hatutaacha kujenga hospitali kwasababu bwana mganga anauza dawa kimagendo. Tunavihitaji vyama vya ushirika.
 
Huu uhuru utakuje wakati kuuza mahindi Kenya tu unahitaji kibali cha serikali.
Ndugu zangu hata tukienda nchi za "mabeberu" nako kuna regulations tena nyingi tu.
Hakuna nchi isiyo na regulations.
Kimsingi namna gani tunatumia regulations in place to work in "farmers favor" ikiwa ni anaelima shambani, anaefanya processing and packaging au anae-export.

Ni namna gani kuna kuwa na urahisi wa kupata vibali vya biashara ya export baada ya kupata soko. Kwa anaefanya export anafanya processing na packaging kwenye ubora upi ambao unashindana na bidhaa toka duniani kote.

Pia serikali (wizara ya mambo ya nje, wizara ya fedha, wizara ya kilimo, wizara ya usafirishaji/uchukuzi) ina mkakati gani kwa kushirikiana na sekta binafsi, vyama vya ushirika ua kampuni za ubia kati ya serikali na sekta binafsi.
Soko la nje ukitoa Comoro ambako mwanabodi kaleta hoja lina uhitaji mkubwa sana wa vyakula sio kwa kg chache. Ni tani (quantity) za kutosha na kuwa na continuity, kwa kuzingatia ubora(quality)

Tanzania ikipata forex iwe kwa private au public maana yake wizara hizo hapo juu zinafaidika moja kwa moja.
Bank ya Kilimo na Bank ya uwekezaji, zimekaa mkao gani kuwa sehemu ya ushindi kwenye mchakato kuanzia mwanzo.'
Mifumo ya bank zetu anavizia biashara ishakuwa kubwa ambapo huenda akawa na access hata kukopesheka nje ya Tanzania, ndiyo maafisa mikopo wanakimbizana kutafuta mteja kumkopesha.

Kwanini toka mwanzo(drawing board) bank, bima, zikae na potential investors na ku-project tunakuza vip exports. Hata kabla ya commitment ya kutoa hela, kupata access ya watajwa hapo juu huwa sio jambo rahisi.

Ndiyo maana wakija wachina, indians au mabeberu ambao wako financed na nchi walizotoka wananunua mpaka udaga. Kwanini wasisubiri sisi tuwapekee unga hata kama ni udaga? Wakija na machine zao wakanunua udaga Tanga waka-process we remain with a small value ya lion share.

Tuna safari ndefu, yaweza kuwa fupi kama tunakaa chini kwa issues za maana including hii. Huwa navunjika moyo tuna doria ya wahalifu mitandaoni na mpaka sheria na jeshi lipo kwa uhalifu kama huo; ila hatujawahi kuwa na "doria", vetting, scouting ya innovators na creators of investment project. hapo ndipo sehemu ya kwanza tunapokwana
 
Kama tatizo linajulikana wawe wanafanyiwa auditing hata mara mbili kwa mwaka. Hatutaacha kujenga hospitali kwasababu bwana mganga anauza dawa kimagendo. Tunavihitaji vyama vya ushirika.
Hiyo Ndiyo private sekta tengeneza tatizo na usolve mwenyewe uza dawa tengeneza hospital na Ugonjwa full kuenjoy
 
Mfano wa KAZI nzuri kila MTU atafanya siku moja maana kila MTU atakufa siku moja Kwa Wakala wa KOROSHO tupate wasafiri wengi wa ndege, Reli n.k
 
Attachments

  • IMG_20191104_115827.jpg
    94.1 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…