Regery
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 260
- 192
Ikamilishe, umezoea kutafuniwa tu?Mbona Kama haijakamilika hiyo Mada
Ikamilishe, umezoea kutafuniwa tu?Mbona Kama haijakamilika hiyo Mada
Ni Bora wabunge Wana familia la sivyo wangepata tabu Sana kuondoa binti MARINGO ambaye hata vipo siwezi jifunza Kwa wengine TANROAD, TBA, GPSA, ASA wanashangaa vitu vidogo lakini vikubwa barabara, majengo na manunuzi na mbegu
Hapa Ndiyo napendaga pale wewe unapozani makubwa nikijudge mambo yako nu mtoto kabisa utakuwa CEO wa mashauzi classicUnaongea utoto gani we dogo? Umemaliza mtihani wa la saba juzi, saa hii unatumia computer ya hapo nyumbani kwenu kuandika upuuzi hapa ndani. Pumbavu kabisa.
Hizo ni KAZI na watu wanakula mishahara zaidi ya milioni 3 lakini mwisho wa mwezi hawana kitu mzunguko wanashangaa mpira Simba na Yanga Shira Kwa mamilioni ya watu #tag tumetaka wenyeweUnaongea utoto gani we dogo? Umemaliza mtihani wa la saba juzi, saa hii unatumia computer ya hapo nyumbani kwenu kuandika upuuzi hapa ndani. Pumbavu kabisa.
Hata wewe ni CEO wa Wakala wa KOROSHO story za darasa la NNE hizi hapa mlizani KAZI ni Siasa Tu za story storyAchana nae huyu ameamua kuharibu uzi
Hiki kitakuwa kitengo cha Wakala wako wa KOROSHO usumbufu utaondoka eti!?Pia wafanya biashara wajue ni wapi pa kupata mazao wanayohitaji. Kama kila mwenyekiti na katibu wa mtaa atafikisha ripoti kwa mtendaji kata, kata aifikishe kwa Afisa Tarafa na hatimae kwa Afisa Kilimo wa mkoa.
Unaweza kuwa unatafuta maharage wakati yanaoza Makuyuni.
Nilizani ni Conference hii Uzi wako mtamu
Basi itafutwe njia ya kujua takwimu za mazao ya kila mkoa kwa wiki.
Uko sahihi,maendeleo hayana vyama,ila kwenye vyama vya ushirika kuna mchwa wakali sana inahitajika nguvu ya ziada kuvisimamia...Enzi zile Zimbabwe inaitwa Rhodesia ilikuwa mzalishaji mkubwa wa mahindi, Rhodesia iliweza kuzalisha mahindi na kulisha Afrika yote hasa kukiwa na ukame.
Waliweza kufanya vile kwakua walowezi walilima kwa kutumia mashine, walikuwa na mashamba ya biashara. Jembe la mkono haliwezi kumkomboa mkulima kupata chakula chake na cha ziada kuuza ili aendeshe maisha na kufikia uchumi wa kati.
Ile kampuni ya zana za kilimo UFI pale Ubungo iliuza za na za kilimo kwa wakulima enzi za ujamaa. Kampuni kama zile zikirudishwa na kuuza zana za kilimo zilizoko sokoni kwa sasa kwa wananchi wa kawaida.
Vikoba itoe mikopo ya zana za kilimo ili vijana na wakina mama wajiajiri. 90% ya raia wanategemea kilimo cha jembe la mkono huu ni utumwa. Jembe la mkono lilimsaidia binadamu kutoka kwenye uwindaji. Wazungu walipotumia jembe la mkono walikua na nguvu kazi kubwa ya watumwa.
Soko la mazao ni changamoto nyingine. Wakulima wengi wamekata tamaa baada ya mazao wanayolima kukosa soko. Vyama vya ushikirika vipewe nguvu ya kutafuta masoko kama ilivyokua enzi za Tanzania Coffee Curing.
View attachment 1253520
Mfano tu, hili ni jembe la kupalilia, linatumia diesel na bei yake sokoni ni $50-150
Mchwa wataondoka wenyeweUko sahihi,maendeleo hayana vyama,ila kwenye vyama vya ushirika kuna mchwa wakali sana inahitajika nguvu ya ziada kuvisimamia...
Kama tatizo linajulikana wawe wanafanyiwa auditing hata mara mbili kwa mwaka. Hatutaacha kujenga hospitali kwasababu bwana mganga anauza dawa kimagendo. Tunavihitaji vyama vya ushirika.Uko sahihi,maendeleo hayana vyama,ila kwenye vyama vya ushirika kuna mchwa wakali sana inahitajika nguvu ya ziada kuvisimamia...
Ndugu zangu hata tukienda nchi za "mabeberu" nako kuna regulations tena nyingi tu.Huu uhuru utakuje wakati kuuza mahindi Kenya tu unahitaji kibali cha serikali.
comoro ni soko dogo sana nilishaona kuleMazao mengi tunayolima yana soko kubwa Visiwa vya Comoro. Kama nchi tungeweza kuwa supplier mkubwa wa chakula Comoro.
Hiyo Ndiyo private sekta tengeneza tatizo na usolve mwenyewe uza dawa tengeneza hospital na Ugonjwa full kuenjoyKama tatizo linajulikana wawe wanafanyiwa auditing hata mara mbili kwa mwaka. Hatutaacha kujenga hospitali kwasababu bwana mganga anauza dawa kimagendo. Tunavihitaji vyama vya ushirika.
Ukiona VIPI fungua chuo utazalisha watu bila kuangalia soko lakini tumetaka wenyewe kuwa na jobless nikuzalisha KOROSHO bila kuzingatia sokocomoro ni soko dogo sana nilishaona kule