Cha njiwa
Member
- Sep 3, 2017
- 77
- 156
Uzuri wa mke ni upi? Naona kila mtu anaona kivyake.
Mtu anaposema "msichana mkali" huwa mkamilifu kwa lipi ni sura, weupe, urefu, wowowo, au yupi maana utaona mwingine anayesifiwa ana kasura kazuri kweli lakini kwa wale wadau wa wowowo wanaponda na kuna rafiki yangu mmoja hivi ananiambia yeye huwa anachoangali ni sura tu.
Sasa tuwe na lugha moja, msichana mkali ni yupi na wote waseme ndiyo.