Tuwe na lugha moja basi, mke mzuri ni yupi?

Tuwe na lugha moja basi, mke mzuri ni yupi?

KWANGU MIMI
1. AWE NA RANGI YA WASTANI
2. AWE NA SURA YA MVUTO
3. AWE NA CHURA
4. AWE NA SHAPE NAMBA 8
5. ASIJICHUBUE
6. AMESOMA ANGALAU DEGREE 1 NA AWE NA KAZ YA KUFANYA
7. AMJUE MUNGU.
8. ASIWE MKURYA, MSUKUMA, MNYAKYUSA, MFIPA, MRANGI, MHAYA AU MMACHAME

MENGNE YATAJIPA..
 
4a430d41754e4b608cc3d3f24374fd0a.jpg
 
Hili swali lako nalifananisha na kisa cha Askofu mmoja hko zimbabwe alieoa mdada wa kazi,sasa kila cku yle Dada wa kazi akawa anajiuliza maswali mengi like kuolewa ameshaolewa lakini ataishi VP na baba Askofu ukizingatia hana maadili kama wanavyosema watoto wa mjini yani hana maadili kiivyo..ss akawa anajiuliza ntawezaje kuishi na hyu mtu licha ya kua tumeoana..cku moja uzalendo ukamshinda akamuuliza Mume wke kua anamshukuru kwa kumuoa lakini anataka kujua amfanyie kitu gn? au aishi namna gn kusudi amuone mwanamke bora kuliko wote mbele ya macho yko,Askofu akamjibu akamwambia Mm nimeumbwa na Mungu na ww pia umeumbwa na Mungu,cjakuoa ili nikamilike Bali nimekuoa ili tukamilishe malengo,cna cha kuongeza wala kupunguza kwasababu mm unaeniona Askofu naweza kua na mambo mabaya kulikoni ww,nashkuru kwa kufikiria wazo zuri la kunifurahisha lakini Mm nakupenda jinsi ulivyo...so ndugu yngu unapofikia hatua ya kuchagua mwanamke whether its a girlfriend, future wife etc ww mpende jinsi alivyo hyo mambo ya sura,shape,education en cjui wallet its minnor issue Wanaume wa kweli hatuhitaji hvo vitu tunampenda MTU kama alivyo...
 
KWANGU MIMI
1. AWE NA RANGI YA WASTANI
2. AWE NA SURA YA MVUTO
3. AWE NA CHURA
4. AWE NA SHAPE NAMBA 8
5. ASIJICHUBUE
6. AMESOMA ANGALAU DEGREE 1 NA AWE NA KAZ YA KUFANYA
7. AMJUE MUNGU.
8. ASIWE MKURYA, MSUKUMA, MNYAKYUSA, MFIPA, MRANGI, MHAYA AU MMACHAME

MENGNE YATAJIPA..


Mkuu umenitisha kwanini asiwe mrangi?????
 
Mimi mke wangu ni mweupe saana, mrefu na siyo mwembamba wala mnene, Hajafungasha wala siyo rula, na cha mwisho ni darasa la SABA,. Hana ajira nilimuoa akiwa ni mfanya kazi wa ndani.

Huyo ndo mke mzuri na bora ninaempenda sana. Haniumizi kichwa, hana mambo mengi ya ajabu.
 
ayeshacurry_about_hero.png
Mwanamke mkali awe na mvuto mithili ya mke wa mcheza basket stephen curry (Ayesha curry)
 
Awe loyal, clean, hardworking, caring, respectful and oh yeah she has to know how to give good head. Very important.
 
Back
Top Bottom