Tuwe na lugha moja basi, mke mzuri ni yupi?

Tuwe na lugha moja basi, mke mzuri ni yupi?

Uzuri wa Mke ni upi!.... Naona Kila mtu anaona kivyake...Mtu anaposema "demu mkali" huwa mkamilifu kwa lipi..ni sura, weupe, urefu, wowowo, au yupi....maana utaona mwingine anayesifiwa ana kasura kazuri kweli lakini kwa wale wadau wa wowowo wanaponda..na kuna rafiki yangu mmoja hivi ananiambia yeye huwa anachoangali ni sura tu..
Sasa tuwe na lugha moja, demu mkali ni yupi na wote waseme NDIYO ...
Akili Kama za sizonje,..... Tuwe na chama kimoja cha siasa, tuwe TV station moja marufuku dstv.....
Mungu hakukosea kutuumba na Uhuru wetu. Ni dhambi kubwa sana kujaribu kuingilia Uhuru wa mwanadamu
 
Naisubiri hiyo lugha moja kama ipo kwa sababu wanaume hawajui nini wanataka mana unaweza kuta ana mwanamke mwenye mwili wa kawaida kama mimi lakini akatoka nje akamtamani bonge nyanya basi shida tupu.
emmyta hilo halina mwenyewe...hata nyie pia
 
1. Ambaye hajatumika sana
2. Ambaye haombi ombi hela ovyo ovyo
3. Asitoke familia masikini sana
4. Mwenye kushika dini
5. Asiwe member wa jamii forum
6. Asiwe muongeaji sana
7. N.k
 
1. Mweupe
2. Awe mnene wastani/ awe na nyama nyama
3. Mrefu wastani
4. Apende Ibada(Kumcha Mungu)
Hapo, tukipatana; atanitawala kama Raisi Mugabe.
Huyo kwangu ndiyo mzuri
Ya 4 imenipita hiyo, nimekosa fursa ya kutawala jimbo mkuu[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
1. Ambaye hajatumika sana
2. Ambaye haombi ombi hela ovyo ovyo
3. Asitoke familia masikini sana
4. Mwenye kushika dini
5. Asiwe member wa jamii forum
6. Asiwe muongeaji sana
7. N.k
No 1 na 5 naunga mkono hoja
 
kila mtu anajinsi anataka mke awe haiwezi kua kila mwanaume atake sifa sawa kwa mke amtakaye mabogi sjui shape bonge chembamba portable hizi labda kwa sifa za mwanamke tu wa kusukuma siku ila kama unataka mke huwezi kuangalia hizi

we ukipenda bonge mwenzio atasema mwembamba ukisema awe na shape portable mwengine atakwambia anataka skinny tafrani!
 
Back
Top Bottom