Tuwe na lugha moja basi, mke mzuri ni yupi?

Tuwe na lugha moja basi, mke mzuri ni yupi?

Uzuri wa Mke ni upi!.... Naona Kila mtu anaona kivyake...Mtu anaposema "demu mkali" huwa mkamilifu kwa lipi..ni sura, weupe, urefu, wowowo, au yupi....maana utaona mwingine anayesifiwa ana kasura kazuri kweli lakini kwa wale wadau wa wowowo wanaponda..na kuna rafiki yangu mmoja hivi ananiambia yeye huwa anachoangali ni sura tu..
Sasa tuwe na lugha moja, demu mkali ni yupi na wote waseme NDIYO ...
Kwanza hakuna aliyekamilika, kama wewe ulivyo na mapungufu yako basi tambua kuwa kila mwanadamu ana mapungufu yake, wewe chagua mke atakayekufaa wewe kwa hali yako halafu uwe mstahamilivu kwa mkeo kwa mapungufu yake hapo utakuwa umempata mke bomba.
Tambua ya kwamba uzuri wa sura baadaye huzeeka na uzuri wa umbo nao baada ya muda hufujika lakini tabia ya mtu hubaki milele.
kwa urembo wa sura kuna make up na uzuri wa umbo kuna gym lakini uzuri wa tabia ...............
 
Wazuri wapo ila tunapenda kujipa moyo kwa kauli hizi
1.Uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu
2.Uzuri wa mwanamke tabia.

beyonce-wearing-yellow-lemonade-2004-cfda.jpg
b49cbb4fa7b203ee548b848174eed2ee.jpg

288FBEC500000578-3077010-Nice_curves_Kim_Kardashian_looked_in_perfect_shape_on_Monday_in_-m-86_1431363983357.jpg

Hawa ni wazuri machoni mwa mtu yeyote labda uwe na chuki binafsi.
 
Beauty is in the eye of the beholder


Ila mimi tunaanza na Chura!
 
Back
Top Bottom