Tuwe makini usalama sasa haupo

Tuwe makini usalama sasa haupo

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Posts
3,402
Reaction score
320
Maji yameingia mdudu.....heri kuchimba kisima chako mwenyewe....ili uyafaidi yaliyo salama, chupa kubwa na ndogo zote ni hatari....mengine hupatikana bure, unywe uishi kwa matumaini ....na baadae ili ufe, yapo yanayopitishwa mitaani kwa rebo fupi na ndefu hupendeza ukiomba tu wapewa. na dawa ya mdudu haijapatikana........,.......kuwa makini ewe mwenye kiu,,,,,,,!!!!!
 
asante kwa ujumbe maridhawa, na mwenye masikio na asikie.
 
Maji yameingia mdudu.....heri kuchimba kisima chako mwenyewe....ili uyafaidi yaliyo salama, chupa kubwa na ndogo zote ni hatari....mengine hupatikana bure, unywe uishi kwa matumaini ....na baadae ili ufe, yapo yanayopitishwa mitaani kwa rebo fupi na ndefu hupendeza ukiomba tu wapewa. na dawa ya mdudu haijapatikana........,.......kuwa makini ewe mwenye kiu,,,,,,,!!!!!

Mbona siku nyingi sana, wewe walijua leo? au umeanza kunywa juzi baada ya kuanza pata Kiu?, au kwa kuwa umehamia Dar kwenye Joto kali na kujikuta kila hatua ukipiga wapata kiu na kutamani kunywa?.

Dawa ya kiu ni kutumia tikitiki au hata dafu, ukishindwa tumia ya supermarket kwani yana ubora japo ni ghali. Ukipenda ya bei chipu utauziwa yenye mdudu! japo miongoni mwao na salama yapo ila ukiwa na bahati. Kwani si wote watumiao maji chipu wamepatwa na magonjwa ya mdudu. Ila kuwa salama zaidi ni kuvuta bomba lako ambalo halijatoboka njiani kuvutia wadudu kuingia kwako ndani!
 
onesha hekima yako usioneshe uchoyo wako, ikiwa wewe ulijua tangu zamani si wote, umesahau kuwa alishiba hahitaji kula bali mwenye njaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom