PreGE2025 Tuwe Makini! Mwaka Huu CCM tutazomewa sana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments. Maneno yaliyoongewa humo yakiambatana na hiyo zomea siwezi kuyasema humu kwani nitapigwa ban. Ukweli mchungu kuwa ni kweli CCM wanasemwa kwa ukweli kabisa tumeziba masikio kwa pamba na ukatili umetujaa mno. Kabla ya Puma tulipita pale Ikungi na maneno yaliyosemwa kuhusu TAL utaona utofauti. Mpaka sasa hatuwezi kamwe kuiua CHADEMA mioyoni mwa watu hata tufanye nini!
ccm inatapatapa imechanganyikiwa, inadhani iki deal na chadema ndio itakomesha spirit ya wananchi kutaka mabadiliko ya kisiasa. Hata bila chadema wananchi wanataka reforms
 
Changamoto nyingine ya afya ya akili ni pamoja na kuukataa ukweli,nyeusi kuiita nyeupe.!
unaiona picha usio ipenda mahali halafu unaanza kuizomea right gentleman?🤣

so,
utakua unarudi kuizomea hadi hiyo picha iondoke right?🤣
 
changamoto ya afya ya akili ni pamoja na kuwafungulia kesi za uhaini waafrika wenzio, kesi za ugaidi, kuwateka, kuwatesa na kuwaua...utadhani utaishi milele... kisa tu uroho wa madaraka..
picha sio ya kuzomea bana ndugu zangu. Fanyeni mambo kama watu wazima na msio na matatizo ya kisaikojia 🐒
 
kuzomea picha ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman, ni vizuri kufahamu hilo.

halafu hao abiria wazomea picha ni watu wazima au watoto? ulivyowashuhudia unadhani ni wa mikoa gani na gani kwa mfano?🐒
Boda wa pikipiki za samia anapata ajali anakata roho watu wanamtazama tu wakisema mitano tena
 
Elibariki kingu kayatandaza hasa hayo mapicha yake jimbo zima. Huko ni kutaka sifa na kujipendekeza
 
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments. Maneno yaliyoongewa humo yakiambatana na hiyo zomea siwezi kuyasema humu kwani nitapigwa ban. Ukweli mchungu kuwa ni kweli CCM wanasemwa kwa ukweli kabisa tumeziba masikio kwa pamba na ukatili umetujaa mno. Kabla ya Puma tulipita pale Ikungi na maneno yaliyosemwa kuhusu TAL utaona utofauti. Mpaka sasa hatuwezi kamwe kuiua CHADEMA mioyoni mwa watu hata tufanye nini!
Wewe ni Chadema:

unakumbuka hii
 
changamoto ya afya ya akili ni pamoja na mtu mzima kuzomea picha, ni vizuri kusaidiwa kwa tiba ya kisakolojia mapema kabla mbambo kuharibika zaidi gentleman 🐒

Hivi kuchangia na kuanzisha nyuzi za sifa na utukufu ni fulltime job yako mkuu? Naona contribution yako ni kubwa sna na muda wote upo available! Just curious though, no offense😎
 
kuzomea picha ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman, ni vizuri kufahamu hilo.

halafu hao abiria wazomea picha ni watu wazima au watoto? ulivyowashuhudia unadhani ni wa mikoa gani na gani kwa mfano?🐒
Kuzomea picha ni kuwapelekea ujumbe wenye picha. Ndiyo maana aliyechora picha kisha akaichoma/kaichana alifungwa kisha katoweka. Unadhani kwa nini hayo yalitokea. Kama ni upuuzi na ubatili kwa ninj alifungwa na kisha "kutoweka".
 
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments. Maneno yaliyoongewa humo yakiambatana na hiyo zomea siwezi kuyasema humu kwani nitapigwa ban. Ukweli mchungu kuwa ni kweli CCM wanasemwa kwa ukweli kabisa tumeziba masikio kwa pamba na ukatili umetujaa mno. Kabla ya Puma tulipita pale Ikungi na maneno yaliyosemwa kuhusu TAL utaona utofauti. Mpaka sasa hatuwezi kamwe kuiua CHADEMA mioyoni mwa watu hata tufanye nini!
Mi sijui nilizan nn kuzomea kumbe kuzomea picha huyo Yesu na utukufu wake walimsulubisha usiwaamin wanadamu pambania familia yako
 
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments. Maneno yaliyoongewa humo yakiambatana na hiyo zomea siwezi kuyasema humu kwani nitapigwa ban. Ukweli mchungu kuwa ni kweli CCM wanasemwa kwa ukweli kabisa tumeziba masikio kwa pamba na ukatili umetujaa mno. Kabla ya Puma tulipita pale Ikungi na maneno yaliyosemwa kuhusu TAL utaona utofauti. Mpaka sasa hatuwezi kamwe kuiua CHADEMA mioyoni mwa watu hata tufanye nini!
Wenye vichwa vya kenge hawawezi kukuelewa
 
changamoto ya afya ya akili ni pamoja na mtu mzima kuzomea picha, ni vizuri kusaidiwa kwa tiba ya kisakolojia mapema kabla mbambo kuharibika zaidi gentleman 🐒
Kwamba mtawatibu afya ya akili mkiwa na uso wa tabasamu lakini mkononi mna sindano ya sumu.
 
kuzomea picha ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman, ni vizuri kufahamu hilo.

halafu hao abiria wazomea picha ni watu wazima au watoto? ulivyowashuhudia unadhani ni wa mikoa gani na gani kwa mfano?🐒
Uwajue ili uwateke? Nonsense
 
kuzomea picha ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman, ni vizuri kufahamu hilo.

halafu hao abiria wazomea picha ni watu wazima au watoto? ulivyowashuhudia unadhani ni wa mikoa gani na gani kwa mfano?
 
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments.

Maneno yaliyoongewa humo yakiambatana na hiyo zomea siwezi kuyasema humu kwani nitapigwa ban. Ukweli mchungu kuwa ni kweli CCM wanasemwa kwa ukweli kabisa tumeziba masikio kwa pamba na ukatili umetujaa mno.

Kabla ya Puma tulipita pale Ikungi na maneno yaliyosemwa kuhusu TAL utaona utofauti. Mpaka sasa hatuwezi kamwe kuiua CHADEMA mioyoni mwa watu hata tufanye nini!
sidhani.tutavuka kama tulivyovuka 2015
 
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments.

Maneno yaliyoongewa humo yakiambatana na hiyo zomea siwezi kuyasema humu kwani nitapigwa ban. Ukweli mchungu kuwa ni kweli CCM wanasemwa kwa ukweli kabisa tumeziba masikio kwa pamba na ukatili umetujaa mno.

Kabla ya Puma tulipita pale Ikungi na maneno yaliyosemwa kuhusu TAL utaona utofauti. Mpaka sasa hatuwezi kamwe kuiua CHADEMA mioyoni mwa watu hata tufanye nini!
Maneno yaliyoongewa humo yakiambatana na hiyo zomea siwezi kuyasema humu kwani nitapigwa ban. Ukweli mchungu kuwa ni kweli CCM wanasemwa kwa ukweli kabisa tumeziba masikio kwa pamba na ukatili umetujaa mno.
 
changamoto ya afya ya akili ni pamoja na kuwafungulia kesi za uhaini waafrika wenzio, kesi za ugaidi, kuwateka, kuwatesa na kuwaua...utadhani utaishi milele... kisa tu uroho wa madaraka..
Sasa kama hawataki kuheshimu mamlaka iliyopo wafanywe nini?
 
Back
Top Bottom