Kuzomea ni ndugu wa kuchoma.kuzomea picha ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman, ni vizuri kufahamu hilo.
halafu hao abiria wazomea picha ni watu wazima au watoto? ulivyowashuhudia unadhani ni wa mikoa gani na gani kwa mfano?🐒
Picha ina nguvu ndo maama kuna picha ya mtu ilichomea na mchoma picha akashitakiwa na kuhukumiwa badae akapotezwakuzomea picha ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman, ni vizuri kufahamu hilo.
halafu hao abiria wazomea picha ni watu wazima au watoto? ulivyowashuhudia unadhani ni wa mikoa gani na gani kwa mfano?[emoji205]
Ngoja tuone itakuwajeNilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments.
Maneno yaliyoongewa humo yakiambatana na hiyo zomea siwezi kuyasema humu kwani nitapigwa ban. Ukweli mchungu kuwa ni kweli CCM wanasemwa kwa ukweli kabisa tumeziba masikio kwa pamba na ukatili umetujaa mno.
Kabla ya Puma tulipita pale Ikungi na maneno yaliyosemwa kuhusu TAL utaona utofauti. Mpaka sasa hatuwezi kamwe kuiua CHADEMA mioyoni mwa watu hata tufanye nini!
Utanishtua akileta majibuNionyeshe wizi wa Lissu, mzee Kibao saa nane, Mawazo n.k
Wewe ni pimbi?
Kweny hili jukwaa utabaki pekeyako kuwa lamba watawala miguuu kama kweli wew ni mzalendo tuletee hapa ripoti ya CAG hatua iliyo chukuliwakuzomea picha ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman, ni vizuri kufahamu hilo.
halafu hao abiria wazomea picha ni watu wazima au watoto? ulivyowashuhudia unadhani ni wa mikoa gani na gani kwa mfano?🐒
sina haja kua na yeyote kwenye kueleza ukweli gentleman, ni vizur malofa wa kuzomea picha mkaungana na kua pamoja na itapendeza zaidi 🐒Kweny hili jukwaa utabaki pekeyako kuwa lamba watawala miguuu kama kweli wew ni mzalendo tuletee hapa ripoti ya CAG hatua iliyo chukuliwa
kwahiyo wewe ni miongni mwa wale wanaokulaga msosi na picha ya samaki alierostiwa sio gentleman?🤣Picha ina nguvu ndo maama kuna picha ya mtu ilichomea na mchoma picha akashitakiwa na kuhukumiwa badae akapotezwa
Hii ni kweli kabisa, asilimia kubwa wapo tayari kuua kuliko kung'olewa madaraka...ni wauaji kweliukatili umetujaa mno.
kuchoma vitenge kama wale malofa wa BAWACHA, right gentleman?🐒Kuzomea ni ndugu wa kuchoma.
Hamcherewi kuwaua.
ili ionekane kama wanafanana na mropkaji heche au tapeli lema 🐒Uwajue ili uwateke? Nonsense
Lofa wa kwenye matibabu hachekewi gentleman 🐒Kwamba mtawatibu afya ya akili mkiwa na uso wa tabasamu lakini mkononi mna sindano ya sumu.
sasa si itakua ni ulofa wa kiwango kibaya zaidi gentleman, kwasababu by August 2025, barabara zote za mikoani, nguzo za umeme na zile za matangazo barabara na kuelekea katika kila nyumba ya mtanzania zitakua na picha za mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2025🐒Kuzomea picha ni kuwapelekea ujumbe wenye picha. Ndiyo maana aliyechora picha kisha akaichoma/kaichana alifungwa kisha katoweka. Unadhani kwa nini hayo yalitokea. Kama ni upuuzi na ubatili kwa ninj alifungwa na kisha "kutoweka".
Zikisema mama kawezesha hayo mafanikio!sasa si itakua ni ulofa wa kiwango kibaya zaidi gentleman, kwasababu by August 2025, barabara zote za mikoani, nguzo za umeme na zile za matangazo barabara na kuelekea katika kila nyumba ya mtanzania zitakua na picha za mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2025🐒
ndiyo,Zikisema mama kawezesha hayo mafanikio!
Iwapo wewe upo ccm ama ubongo wako uliuuza pindi ulipoenda kutafuta usajili kwao ama ulivuka na ubongo wako getini baadae wakaupora baaba ya kuwa mtumwa wao.Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments.
Maneno yaliyoongewa humo yakiambatana na hiyo zomea siwezi kuyasema humu kwani nitapigwa ban. Ukweli mchungu kuwa ni kweli CCM wanasemwa kwa ukweli kabisa tumeziba masikio kwa pamba na ukatili umetujaa mno.
Kabla ya Puma tulipita pale Ikungi na maneno yaliyosemwa kuhusu TAL utaona utofauti. Mpaka sasa hatuwezi kamwe kuiua CHADEMA mioyoni mwa watu hata tufanye nini!
Asee!Iwapo wewe upo ccm ama ubongo wako uliuuza pindi ulipoenda kutafuta usajili kwao ama ulivuka na ubongo wako getini baadae wakaupora baaba ya kuwa mtumwa wao.