Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

tatizo la sisi waafrika kwa kuwa mtu ni muislamu basi anafikiri kwamba mwarabu ni ndugu yake na yuko tayari kumtetea na upande mwingine kwa kuwa mtu ni mkristo basi anafikiri mzungu ni ndugu yake na yuko tayari kumtetea, kumbe tusichokijua maskini ya mungu sisi waafrika kwa macho ya mwarabu na mwarabu ni nyani tu!

Kwa mzungu kama ataambiwa achague kati ya mwarabu muislamu na mwafrika mkristu atachagua mwarabu muislamu mara 100 kutuacha waafrika wakristo, mwarabu hivyo hivyo ukimwambia achague mzungu makristo na mwafrika muislamu atachagua mzungu mkristo!

imani ina nguvu kuliko unavoichukulia
 
SISI tumekuumbeni: HAKIKA ALLAH ANAYE MSAIDIZI.

Msiba huu


Wewe ni punguani ambae karibuni utaokota makopo!

Unapoamua kusema jambo weka na ushahidi wa maneno yako ili wasiojua wajue na wanaojuwa wasibitishe.

Hii aya inayosema hivi kwenye Quran hakuna! Hivyo usijifanye huna akili hata kama kitabu unachokiamini kimesema hamna akili "Enye wagalatia msiokuwa na akili......"
 
Mimi nimeishi na hawa WaOman ni wabaguzi. wabaguzi tena wa kutupwa wamejaa miji ya Kigoma, Tabora Dodoma, Kondoa, Kilosa Moro Dar Tanga hadi Zaznibar ni bora ukutane na Waarabu kutoka Yemen au Falme za Kiarabu, na sii hili kabila
Kweli Utumwa ulikuwepo na upo kila mahali hapa Duniani, kutokana na matabaka, km India ndio zaidi ila Mada ni Oman watuombe msamaha kwani wamekuja kutuzalishia Mabibi zetu na kuwatelekeza huko Pemba na leo ndio hawahawa wanaotusumbua kutaka na Visiwa vyetu viwe vyao
Hapa sisi tunazungumzia Utumwa kutoka Oman wenzetu wanauingiza Uislam, ikiwa na maana unaruhusu Muislam Muarabu wa Oman awe Mtukufu zaidi ya Muislam Muafrika (ingawa ni Mtumwa wake)

....Ukiingia tu kwenye Uislaam, wewe si mtumwa tena !.........huo ndio msimamo wa Uislaam. Kwani 'bwana' wako mtakuwa mkiswali naye bega kwa bega !.... Saidna Abbubakar Bin Sidiq alikomboa watumwa wengi kutoka kwa mabwana zao na kuwaingiza katika Uislaam. Na wanapoingia huwa watu huru !

Suala la ubaguzi, hata Wahaya na Wahutu wanao !
Ukwaju !
 
Last edited by a moderator:
If you dont know anything it is better to stay silent. You dont know anything about tribal Arabs and yet you are talking on others tribes. You dont know anything about international maritime rules and yet you are talking about issues of global politics that you dont know. Why dont you shut up?
Come to Gerezani in our temple we teach about politness to other people.

Jesus has 12 Apostles and four bible writers what! It must be a thing to celebrate right? Tum hare mukh chotisi hogea!
You like to Judaize yourselves huh? Israel is an apartheid state and does not like black AfricanS, They worked hand in hand with past Apartheid Regimes of South Africa, during the struggle they went further by kidnapping SA freedom fighter and sometimes assasinating on behalf of the Boers. They went further to show theor evil by de-fertalizing Falasha Female Jews from Ethiopia so as to control the black race in Israel !
Black Jews, White Jews? J

Singh now you are total confusing about what we are talking in this thread
we are talking about Slave Trade not religion
why Oman apologies for that trade did and make a compensated?

read this heading
Re: Tuwashitaki Oman kwa biashara haramu ya utumwa

7758493.jpg
 
Tukishikana wenyewe kwa wenyewe ,yaani ukiwa na nguvu tu unakamata wenzako unaenda kupata bei ,halafu biashara ya utumwa ni kipindi ambacho dunia nzima ilipitia ,hakuna wa kulaumiwa ,hivi kna nchi hapa duniani haikupitia utumwa ,sasa baada ya kupingana na ccm mnapingana na wakati ,jamani wakati ni ukuta ,hivi kufanya kazi ya nyumbani hapa tz na huko maulaya arabuni wapi bora ?

Ila kuna kitu kimoja nimesikia usije ukaenda masikati ukamkuta jamaa mweusi ukamwambia wewe unatoka Tanganyika au Afrika mbona itakuwa kesi kubwa.
 
Narudia tena usiwe mjinga na mchache wa kuelewa!

Halafu hayo mawazo yako ni ya kiwendaazimu maana nimekwambia wazi kuwa utafautishe UISLAMU NA MUISLAMU,

Uislamu ni IMANI na muislamu ni BINAADAMU ambae anaiamini IMANI ya kiislamu, sasa Kama IMANI nyengine yeyote ile uislamu una maamrisho yake na makatazo yake, hivyo muislamu kufanya mambo ambayo UISLAMU wake umeyakataza haimaanishi kuwa ndio maamrisho ya kiislamu.

Wako waislamu wanakula RIBA lakini UISLAMU Kama dini unasemaje kuhusu riba!? Iko wazi kabisa na unasema "MUNGU KAIHALALISHA BEI NA KAIHARAMISHA RIBA" Sasa ukimuona muislamu anakula RIBA hilo ni kosa lake binafsi na wala uislamu haukuamrisha hivyo.

Sasa hata kama waislamu wote wanakula kiboga kama unavyosema wewe bado matendo yao hayawezi kuwa ni matendo ya KIISLAMU! Na ndio maana mungu kaweka siku ya malipo ili kuja kuwalipa wale wanaadamu kwa matendo yao!

Umekatazwa kuzini wewe ukazini basi mungu na dini yake ya uislamu hana hasara hata nukta ila wewe uliyevunja amri ya mungu ndie mwenye hasara.

USIWE KAMA NGURUWE PORI KUKOSA MAARIFA YA KUFAHAMU.
nashukuru majibu yako mazuri

katika majini yako umetaja kama muislam akitenda zambi mungu ndie hatakae muhukumu siku ya kihama

je ni kwanini mataifa ya kiarabu yanayotumia sharia huwa wanatoa hukumu ya kifo kwa watu walio fanya zinaa je wao wao wana haki gani ya kutoa hukumu hiyo

na tunavyojua hakuna mtu ambaye ni msafi?
 
....Ukiingia tu kwenye Uislaam, wewe si mtumwa tena !.........huo ndio msimamo wa Uislaam. Kwani 'bwana' wako mtakuwa mkiswali naye bega kwa bega !.... Saidna Abbubakar Bin Sidiq alikomboa watumwa wengi kutoka kwa mabwana zao na kuwaingiza katika Uislaam. Na wanapoingia huwa watu huru !
Suala la ubaguzi, hata Wahaya na Wahutu wanao !
Ukwaju !
wa Oman hata Msikitini hawaendi bado wanajiona ni bora kuliko Wamahra
ninachogomba ni kile kitendo cha kujiweka bora katika daraja amabalo si lao
Nakubaliana na ww hata Waisrael wana makabila yao 12 ambayo wanadai ni koo 144 tu
Wahaya vilevile
Watutsi ndio kabisa
lakini Mhutu Myemen, Msomali mgogo na wengineo wafundishwa kujishusha
Kwa nini wa Oman sasa ndio wanaanza Undugu wakati hawajatuomba msamaha

 
unapata hasira eee
hii dini yetu na viongozi wetu wanatupandikisha chuki sana ndio maana asilimia 80 ya waislam huwa tunatumia hasira sana bila ya kutumia hakili

inapelekea sasa sisi kwa sisi tunauwana
Anakufa kafiri mmoja sisi tunakufa mia mbili eti ndio tunapata swawabu kwa mola cha ajabu haoo viongozi wetu wanatuhamasisha kufanya maovu wao wapo mbali

tubadilike
hii mada imenifungua macho sasa nilikuwa najiuliza kwa nini ndani ya mataifa ya kiarabu hakuna mixer kabisa za black people kumbe

hawa wakubwa zetu wanatubangua sana ingawa idadi kubwa ya waafrica walikuwa utumwani nchi za kiarabu


but cheki nchi za ulaya na amerika damu ya waafrika imetapakaa kila kona
hii inatisha jamani ndugu zangu.
Hata ukijificha, ugalatia wako haufichiki, kwa sababu mlishikiwa akili. Pole sana.
 
Kwa hiyo hapa lipi lisilo la kweli? Kwamba mnawabaka na kuwadomize watumishi wa ndani? Hata kama huna akli, tumia hata pua kunusa. Sodama na Gomora ambazo Mungu alizichoma moto kwa ufiraji ziko katika nchi gani? Leo inakuwaje utake kubisha kipumbavu hapa? Nani asiyejua dini ya amani imejengwa kwenye ngono? Na kwamba sodomy asili yake ni uarabuni kwamba huko wala si jambo la ajabu, ila hawa wageni ndio wanashangaa kwa kuwa wanaokotoka ni jambo lenye kuleta msuguano hata katika jamii ya wasio dini?

Ukiona ushetani unakuletea fedheha unaacha, na si kukataa kama juha huku unatembea nao. Mwehu!
Jaribu kuficha ujinga na ujuha wako.
 
tatizo la sisi Waafrika kwa kuwa mtu ni Muislamu basi anafikiri kwamba Mwarabu ni ndugu yake na yuko tayari kumtetea na upande mwingine kwa kuwa Mtu ni mkristo basi anafikiri Mzungu ni ndugu yake na yuko tayari kumtetea, kumbe tusichokijua maskini ya Mungu sisi Waafrika kwa macho ya Mwarabu na Mwarabu ni Nyani tu!

kwa Mzungu kama ataambiwa achague kati ya Mwarabu Muislamu na Mwafrika mkristu atachagua Mwarabu Muislamu mara 100 kutuacha Waafrika wakristo, Mwarabu hivyo hivyo ukimwambia achague Mzungu Makristo na Mwafrika muislamu atachagua Mzungu Mkristo!

Mkuu,

Msingi wa umasikini wa mwafrika umejengeka hapa. Ni muhimu mwafrika kujua kujua kuwa ndugu yake ni mwafrika mwenzake na ili wafanikiwe duniani ni lazima waungane kupambana dhidi ya manyang'au wanaowanyonya.
Hata hivyo changamoto kubwa ipo kwenye kuondoa tatizo la vibaraka wengi wa kiafrika unaotokana na mawazo mabaya yaliyoota mizizi ya kitumwa.
Ukombozi wa fikra unatakiwa kuanzia kwa mtu mmoja mmoja hadi taifa na mwisho jamii yote ya kiafrika (mfano wa fikra duni ni kama wa wananchi wa kijiji fulani wanaomlalamikia mgeni aliyehodhi ardhi yao badala ya kumaliza kimya kimya ili iwe fundisho kwa wengine!).
Serikali nyingi za kiafrika zinaongozwa kwa fikra duni na hasi zinazosababisha woga na kukosa uthubutu na hivyo kuwa ombaomba (utumwa wa nyakati hizi).
 
Hatari sana kuwa na watu kama ninyi makafiri (hamna faida duniani).
Hata Mungu mnampinga!!!

Mungu kawapa mahitaji yenu yote na bado mnamzulia uongo na kumsingizia eti aligeuka (akawa) mtu kisha akafa kifo cha laana (Astaghfirullah)

Mungu hafi. God is Immortal.

Hata Biblia pia inasema kwamba Mungu hafi.

The Bible, 1 Timothy 6:16 says:

"who alone is immortal and who lives in unapproachable light, whom no one has seen or can see. To him be honor and might forever. Amen."

(New International Version)

wewe mtu mweusi naona ushachanganyikiwa na dini,hujui unachokiongea wala husikii unachoambiwa..
 
nashukuru majibu yako mazuri

katika majini yako umetaja kama muislam akitenda zambi mungu ndie hatakae muhukumu siku ya kihama

je ni kwanini mataifa ya kiarabu yanayotumia sharia huwa wanatoa hukumu ya kifo kwa watu walio fanya zinaa je wao wao wana haki gani ya kutoa hukumu hiyo

na tunavyojua hakuna mtu ambaye ni msafi?

Haki hiyo wanayo katika uislamu! Dini ya kiislamu ina sheria na hukumu, hivyo nchi zinazofuata sheria za kiislamu mfano mwizi ikisibitika kweli kaiba, hukumu yake ni kukatwa kiganja cha mkono.

MZINIFU ambae kaoa au kuolewa ikithibitika kutoka mashahidi wanne kuwa amezini hukumu ambayo mungu kaileta ni kupigwa mawe hadi atakapokufa.

Hivyo nchi zote ambazo zinafuata amri, sheria na hukumu za kiislamu hawakuzipendekeza wao bali ni kutoka kwa mungu wanaemuamini.

Kumbuka hizi amri na hukumu sio za kwanza kuletewa wafuasi wa Mtume Muhammad, zilikuwepo tokea nabii Mussa hivyo waislamu hawafanyi jambo jipya.
 
Haki hiyo wanayo katika uislamu! Dini ya kiislamu ina sheria na hukumu, hivyo nchi zinazofuata sheria za kiislamu mfano mwizi ikisibitika kweli kaiba, hukumu yake ni kukatwa kiganja cha mkono.

MZINIFU ambae kaoa au kuolewa ikithibitika kutoka mashahidi wanne kuwa amezini hukumu ambayo mungu kaileta ni kupigwa mawe hadi atakapokufa.

Hivyo nchi zote ambazo zinafuata amri, sheria na hukumu za kiislamu hawakuzipendekeza wao bali ni kutoka kwa mungu wanaemuamini.

Kumbuka hizi amri na hukumu sio za kwanza kuletewa wafuasi wa Mtume Muhammad, zilikuwepo tokea nabii Mussa hivyo waislamu hawafanyi jambo jipya.

thibitisha kama mungu alimpa binadamu ya kuhukumu.binadamu mwenzake
 
Wewe ni punguani ambae karibuni utaokota makopo!

Unapoamua kusema jambo weka na ushahidi wa maneno yako ili wasiojua wajue na wanaojuwa wasibitishe.

Hii aya inayosema hivi kwenye Quran hakuna! Hivyo usijifanye huna akili hata kama kitabu unachokiamini kimesema hamna akili "Enye wagalatia msiokuwa na akili......"

we ndiyo wa ajabu kweli, unataka Ishmail akufundishe hadi lile primary manual of terrorism?
 
In the first video where you see Sudanese or sub Saharan turbaned men and actors with gulf arabs looks clean shaven amd.some wearing Rayban sunglasses and black women with shaven eyebrows it is enough evidence of blatant lies depicting the muslims as evil slavers than western slavers.
Both presentaions shows drawings of arabs.with slaves why if they have video of that te then have dont have still photographes.

The Arab narator is a Christian stooge. The videoclips themselves on Youtube are made and uploaded by a certain "Great Zionist " what we should expect from him? Everything Anti Arab or Anti Muslim.

Punjab Singh, your English is very poor. Go back to school for `MEMKWA'
 
Last edited by a moderator:
Mimi sikubaliani kabisa na huyu Mtemvu pamoja na biashara yake ya Utumwa. Nimfurahi sana kuona nawe unaipinga hii biashara

Hakuna utumwa hapo ewe punguani, hakuna anaelazimishwa kwenda kufanya kazi nje ya Tanzania.

Utumwa upo nyumbani kwenu, na link hiyo umeona, ni hapa hapa Tanzania, au hujaliona hilo?

Punguani wahed.
 
Weka na wale waliotobolewa visigino na kufungwa minyororo kule kaole bagamoyo! By the way weusi waliopelekwa oman waliishia wapi? Mmejaa ushenzi na ubaguzi hapo somalia tu wabantu wanabaguliwa wakaamua kurudi tanga ndio maana napenda vichapo mnavopewa ma na bush na netanyahu

Wameishia kuwa watawala.
 
thibitisha kama mungu alimpa binadamu ya kuhukumu.binadamu mwenzake

Kwa waislamu Quran ni maneno ya mungu! Hivyo moja ya maneno ya mungu yaliyompa muislamu kumhukumu muislamu mwenzake pindi akifanya kosa ambalo mungu kalikataza NA kaliwekea hukumu.

Haya hapa ni maneno ya Quran yanayotoa ruhusa kwa waislamu kuwaazibu wote ambao wanayo tabia ambayo mungu kaikataza.



""Na mwizi mwanamume na mwizi mwanamke, ikateni mikono yao, hayo ni malipo ya waliyo yachuma, ndiyo adhabu ya mfano itokayo kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima"" (Al-Maeda 5:38, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)


""Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mtandikeni kila mmoja katika wao bakora mia. Wala isikushikeni huruma kwa ajili yao katika hukumu ya Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la Waumini""". (An-Noor 24:2, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)
 
Wewe ni punguani ambae karibuni utaokota makopo!

Unapoamua kusema jambo weka na ushahidi wa maneno yako ili wasiojua wajue na wanaojuwa wasibitishe.

Hii aya inayosema hivi kwenye Quran hakuna! Hivyo usijifanye huna akili hata kama kitabu unachokiamini kimesema hamna akili "Enye wagalatia msiokuwa na akili......"
Unaona jinsi ambavyo unatokwa POVU baada ya kugundua kuwa Allah anaye mshirika. Hakika ukilema wa akili umewajaa nyie Mafilisti wa Allah.

If Allah is the only one God, why does He use the pronoun "we"instead of "I" referring to Himself in the Quran?

This is part of the tidings of the things unseen, which We reveal unto thee (O Apostle!) by inspiration: Thou wast not with them when they cast lots with arrows, as to which of them should be charged with the care of Mary: Nor wast thou with them when they disputed (the point). S. 3:44 Y. Ali


And no soul can die except by ALLAH's leave, - a decree with a fixed term. And whoever desires the reward of the present world, WE will give him thereof; and whoever desires the reward of the Hereafter, WE will give him thereof; and WE will surely reward the grateful. S. 3:145 Shakir


Glory be to Him Who made His servant to go on a night from the Sacred Mosque to the remote mosque of which We have blessed the precincts, so that We may show to HIM some of Oursigns; surely He is the Hearing, the Seeing. S. 17:1 Shakir
 
Back
Top Bottom