Tuwasaidie wajumbe wa baraza kuu CHADEMA

Tuwasaidie wajumbe wa baraza kuu CHADEMA

Moderator, hapa Ben Saanane aliomba uzi huu utolewe kwa kuwa unatoa habari za uongo kwa asilimia 100, maana mimi ni mmoja wa viongozi ngazi ya wilaya, taarifa za uhakika zilizopo kikao kijacho si cha baraza kuu kama mleta uzi alivyoandika, nilidhani kwa kuwa uzi huu una lengo ovu la kupotosha, ushauri wa Ben moderator ungeufanyia kazi, kwa muda sasa kumekuwa kukianzishwa taarifa za upotoshaji zinazohusisha wajumbe feki wa baraza kuu. Hivyo hivyo uzi huu una malengo yale yale ya kuupotosha umma, nazidi kujiuliza kama mods hana maslahi na upotoshaji huu ni kwanini anatuongoza kuvunja kanuni?
Hakuna mjumbe wa baraza kuu alielipwa na chama(Chadema) kuja Dar kwa ajili ya mkutano wa baraza kuu na hakuna mkutano wala kikao cha baraza kuu. Je mleta mada kayatoa wapi kama sio mwendelezo ule ule wa kupotosha na siasa za maji taka?
Nazidi kushauri uzi huu ufutwe

Mkuu,
Tumewashauru sana wamepuiza mtu anaweka habari nzito bila hata kuwa na source wala hoja unaachwa tu.

Tumeshajua hao mods baadhi wanafadhiliwa na MM kutwa uzi za ACT
Mkuu mbwa ukishamjua jina hasumbui.
 
POMPO,

Tuebdelee kupambana makamanda hakuna jambo jema walilofanya JF kama hili la kuacha uzi huu wa uzushi,uongo na unaovunja kanuni zao walizojiwekea.Wamejianika wazi wazi..!Kumbe humu habari zozote za uongo zinaruhusiwa. Motto wetu umebadilika na kuwa "Where we dare to lie Openly"?
 
Last edited by a moderator:
Hawa wachumia tumbo ni wanafiki sana .Leo tumeaaibisha sana na imesaidia pia kujua JF ilivyo na hila.Siku hizi hatutakiwi kuwa wastaarabu tena na kufuata kanuni humu mana kila tukifuata kanuni wao wanaziacha zivunjwe.Hatutavumilia tena .Tutashinda hata iweje.Hakuna kurudi nyuma

kanuni zipi unazozijua, kama mchumia tumbo ni wewe kujipendekeza kwa slaa upate cheo
 
Hawa wachumia tumbo ni wanafiki sana .Leo tumeaaibisha sana na imesaidia pia kujua JF ilivyo na hila.Siku hizi hatutakiwi kuwa wastaarabu tena na kufuata kanuni humu mana kila tukifuata kanuni wao wanaziacha zivunjwe.Hatutavumilia tena .Tutashinda hata iweje.Hakuna kurudi nyuma

Mkuu mpango wetu ni uleule ili kukabiliana na hila za wazi za jukwaa hili, hawataturudisha nyuma wala hawatatuangusha,
 
Kazi kweli kweli na muda si mrefu watu wataaibika mpaka basi CHADEMA Mungu awepe nguvu na hapa mshinde lazima myapitie haya ili kuwaimalisha Mungu ana makusudi kabisa kuwapitisha hapa mnakopita siku yaja ukuta wa yeriko utavunjika vipande vipande nasi tutamtuguza Mungu kwa maana ametenda makuu, muhimu uongozi wajuu mkatumia busara, hekima na maarifa kuwajibu hao wachimba shimo ili waje waanguke wenyewe kwenye shimo walilolichimba wao, ili dhahabu iende sokoni upitia moto mkali msiogope Mungu yu pamoja nanyi muwe shujaa na moyo wa ujasili ilo tu.
chadema na viongozi wa upinzani angalieni watu walivyo na uchungu na mageuzi. msituangushe, msitukatishe tamaa. watz wengj tupo nyuma yenu. epuken kutengeneza loopholes za ccm kupumua. tupo Uunyuma yenu. act promptly. hakikisheni sisi tunattack ccm wawe kn the defensive. tusikubali kuwa on the defensive! tusiwaruhusu interahamwe kuattach, we should always keep them on the defensive, bravo ben,
 
POMPO,

Tuebdelee kupambana makamanda hakuna jambo jema walilofanya JF kama hili la kuacha uzi huu wa uzushi,uongo na unaovunja kanuni zao walizojiwekea.Wamejianika wazi wazi..!Kumbe humu habari zozote za uongo zinaruhusiwa. Motto wetu umebadilika na kuwa "Where we dare to lie Openly"?

Mkuu reaction yako kwenye juu UONGO ndio hasa punchline ya stori yenyewe. Endelea kutest my patient ili nifanye nisichotaka kufanya. Be warned tunataarifa za kutosha kuhusu mpango huu. Najua hujui kwanini siku hizi umekuwa sidelined kwenye hii mipango nitakufahamisha pia.
 
Last edited by a moderator:
Wanademokrasia na wananchi kwa ujumla!
Kuna mipango miovu inayopangwa na wahafidhina na wasioitakia mema nchi yetu kuwazuia wajumbe halali wa baraza kuu CHADEMA kuhudhuria mkutano wa baraza kuu hapo Julai 18. Mipango hii inahusisha kuweka vikwazo vya fedha kwa wajumbe hasa masharti ya kuwarejeshea wajumbe posho ya usafiri na kujikimu kipindi chote mkutano. Hii inatishia afya ya demokrasia kwani wajumbe waliopangwa tayari akaunti zimecheka na wengine wameanza kujisogeza eneo la tukio.
Hivyo basi mnaombwa kuwasaidia wajumbe kwenye maeneo yenu kwa michango ili waweze kuhudhuria mkutano huu muhimu unaokwenda kuibadilisha historia ya nchi hii. Kwa wajumbe wa baraza kuu walioathirika na unyanyasaji huu mnaombwa kutoa taarifa zenu hapa ili wana JF wawasaidie.
Hivi kamati kuu ya ACT itakaa tarehe 18 kwa katiba ipi? ACT ni jumuiya ya CCM kama UWT na UVCCM!
 
Nduka,
Kwanza,hicho kikao/mkutano wa Baraza Kuu Tarehe 18 July umetangazwa na nani na wapi?

-Ajenda ni zipi?

Hakuna malipo yoyote ambayo yamefanyika kwa mujibu wa maelezo ya idara ya Fedha ya chama.

Sasa ili uaminike,na pia katika kulinda hadhi na heshima ya JF na wasomaji wake naomba

1:Utuletee vocha za malipo hayo hapa.

2:Orodhesha majina ya hao wajumbe waliolipwa na ambao hawajalipwa

Vinginevyo itabidi upuuzwe kwa kiwango kinachostahili na pia JF ifuate sheria na kanuni zake

CHADEMA kinafanya kazi zake kwa uwazi katika kukuza demokrasia na kupigania uhuru wa kweli.

Kamwe kelele na hila za maadui wa mabadiliko hazitatutoa nje ya mstari.Mapambano yanaendelea.
Mkuu Ben, hawa akina Nduka ndio kundi lilelile linalokesha mitandaoni na kwenye midia nyingine na ile ajenda yao ovu eti kuisambalatisha CHADEMA! hawataweza kamwe! wamechoka kabla hawajaanza.
 
Wajumbe wakuongea kwenye huo mkutano wameshapangwa. Kiongozi wa mkutano na muongeaji mkuu ni Aweda kwa sababu ndio mtetezi wa ubabe wa Mbowe na Slaa..
Wajumbe kutoka kanda za ziwa na magharibi watadhibitiwa kwa kiwango kikubwa..
 
Mkuu reaction yako kwenye juu UONGO ndio hasa punchline ya stori yenyewe. Endelea kutest my patient ili nifanye nisichotaka kufanya. Be warned tunataarifa za kutosha kuhusu mpango huu. Najua hujui kwanini siku hizi umekuwa sidelined kwenye hii mipango nitakufahamisha pia.

Vipi ni habari za kweli kuwa Zitto anataka kwenda CCM badala ya ACT?!
 
Wajumbe wakuongea kwenye huo mkutano wameshapangwa. Kiongozi wa mkutano na muongeaji mkuu ni Aweda kwa sababu ndio mtetezi wa ubabe wa Mbowe na Slaa..
Wajumbe kutoka kanda za ziwa na magharibi watadhibitiwa kwa kiwango kikubwa..
Mwenyekiti wa BARAZA KUU atakuwa Zitto? NDUKA na LAKI SI PESA wao ni kondom? Betlehem je?
 
chadema na viongozi wa upinzani angalieni watu walivyo na uchungu na mageuzi. msituangushe, msitukatishe tamaa. watz wengj tupo nyuma yenu. epuken kutengeneza loopholes za ccm kupumua. tupo Uunyuma yenu. act promptly. hakikisheni sisi tunattack ccm wawe kn the defensive. tusikubali kuwa on the defensive! tusiwaruhusu interahamwe kuattach, we should always keep them on the defensive, bravo ben,
Pengine wewe hujui!... ACT ni jumuiya ya CCM kama UWT ilivyo!
 
Wanademokrasia na wananchi kwa ujumla!
Kuna mipango miovu inayopangwa na wahafidhina na wasioitakia mema nchi yetu kuwazuia wajumbe halali wa baraza kuu CHADEMA kuhudhuria mkutano wa baraza kuu hapo Julai 18. Mipango hii inahusisha kuweka vikwazo vya fedha kwa wajumbe hasa masharti ya kuwarejeshea wajumbe posho ya usafiri na kujikimu kipindi chote mkutano. Hii inatishia afya ya demokrasia kwani wajumbe waliopangwa tayari akaunti zimecheka na wengine wameanza kujisogeza eneo la tukio.
Hivyo basi mnaombwa kuwasaidia wajumbe kwenye maeneo yenu kwa michango ili waweze kuhudhuria mkutano huu muhimu unaokwenda kuibadilisha historia ya nchi hii. Kwa wajumbe wa baraza kuu walioathirika na unyanyasaji huu mnaombwa kutoa taarifa zenu hapa ili wana JF wawasaidie.

ACT ni jumuiya ya CCM kama UWT na UVCCM! Hutaki acha!
 
Wajumbe wakuongea kwenye huo mkutano wameshapangwa. Kiongozi wa mkutano na muongeaji mkuu ni Aweda kwa sababu ndio mtetezi wa ubabe wa Mbowe na Slaa..
Wajumbe kutoka kanda za ziwa na magharibi watadhibitiwa kwa kiwango kikubwa..

Wanajua hawawezi ndio maana wamepanic
 
Ninachoshangaa siku zote ni kwamba binadamu kukubali madhaifu kwanini iwe mtihani?
 
Ben,

Siwezi kuweka hizo vocha za malipo kwasababu hayo hayakulipwa kwa utaratibu/ taratibu za chama chenu. Pia sina orodha ya wajumbe wote mliowalipa ila ninazotaarifa za mwenyekiti wa wilaya ya uyui ( sijasema wa chama au jumuia ili msije kumhukumu) ambaye tayari akaunti imecheka na yupo tayari kutoa ushirikiano kukomesha ubaguzi huu.
kuhusu baraza kuu tarehe 18 mpigie Mnyika sasa hivi muulize ni lini wamekutoa kwenye inner circle?

Wewe huna lolote bali ni mtumwa kwa ujira wa sh 7000/Mtu na akili zako unajitia uwendawazimu kwa ajili ya posho ya siku?Aibu sana.
 
Mwenyekiti wa BARAZA KUU atakuwa Zitto? NDUKA na LAKI SI PESA wao ni kondom? Betlehem je?

Utakuwa vipi mfuasi wa Slaa na Mbowe bila mijitusi
 
Hapa? Atakuja nao yeye mwenyewe na safari hii ni kwenye kikao cha chama kama mnavyopenda.

Mtafanya kila mbinu ya kuleta migogoro ndani ya cdm,lakini hamtafanikiwa kwani wana cdm kote nchini washajua hila za ccm kutaka kuikoroga cdm,ili hisifanye vyema ktk uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Ben,
Tulia utaletewa ushahidi acha kuwasumbia mods na kiingereza chako cha kurudia maneno!!! Mr Pathetic

Nimepekua kamusi nimeshindwa kupata maana halisi ya neno KUWASUMBIA
 
Back
Top Bottom