Tuwasaidie wajumbe wa baraza kuu CHADEMA

Tuwasaidie wajumbe wa baraza kuu CHADEMA

Mods,
Mwambieni Ben atumie maneno mengine ya kiingereza kama hakumbuki mengine atumie hata kihindi....tumechoka

Double standard, pathetic na credibility hayo hayo kila siku.

Pls, mods kindly assist and advice him.

mods wamempuuza oo ondoa huu uzi kaanzishe forum yk uwe moderator. unalilia tu apa
 
Ben,

Siwezi kuweka hizo vocha za malipo kwasababu hayo hayakulipwa kwa utaratibu/ taratibu za chama chenu. Pia sina orodha ya wajumbe wote mliowalipa ila ninazotaarifa za mwenyekiti wa wilaya ya uyui ( sijasema wa chama au jumuia ili msije kumhukumu) ambaye tayari akaunti imecheka na yupo tayari kutoa ushirikiano kukomesha ubaguzi huu.
kuhusu baraza kuu tarehe 18 mpigie Mnyika sasa hivi muulize ni lini wamekutoa kwenye inner circle?

Hivi hawa wajinga kama wewe si ndio mnahubiri kila kukicha kwamba chadema imekufa? sasa mbona mnahangaika sana na mfu? au 2013 haijafika? wewe inaonekana ni punguani 100%.

Umesema watu wamelipwa unaambiwa utoe ushaihidi unaanza kuweweseka.kama malipo hayakufuata utaratibu ndio tunataka tuone hizo vocha ambazo haziko kwenye utaratibu

Pia utuambie ni utaratibu gani unaotumika kufanya malipo ambao haukufuatwa na chama. usipojibu haya wewee utakuwa ni sawa na mipira ileinayotumika mara moja na kutupwa?
 
Hizo fedha zilizoingia kwenye A/c yake bila shaka imetoka ACT... pengine ni makosa ya kiufundi yalifanyika kwa yeye kuwekewa mchuzi bila kujulishwa! Tunajua kuwa zile 200Billions zilizotoka kwa jina la IPTL mlipewa mgawo wa kuwanunua wajumbe wa CDM... Tatizo lenu mko predictable ile mbaya... eti kuwasaidia wajumbe waandike historia ya demokrasia ktk nchi hii!!! Grrr... Kwanini mnapenda kuwatukana Wananchi? kwanini hamtumii nguvu nyingi kukataa MADINI yetu kukwapuliwa huku wananchi wakiishi maisha ya kifukara kupitiliza? kwanini hamchukii ufisadi wa kutisha wa kukwapua kwenye kapu letu (BOT) kwa maslahi ya wachache wakati huduma muhimu za kijamii hazipatikani?... Mmelogwa?...
 
kazi kweli kweli na muda si mrefu watu wataaibika mpaka basi chadema mungu awepe nguvu na hapa mshinde lazima myapitie haya ili kuwaimalisha mungu ana makusudi kabisa kuwapitisha hapa mnakopita siku yaja ukuta wa yeriko utavunjika vipande vipande nasi tutamtuguza mungu kwa maana ametenda makuu, muhimu uongozi wajuu mkatumia busara, hekima na maarifa kuwajibu hao wachimba shimo ili waje waanguke wenyewe kwenye shimo walilolichimba wao, ili dhahabu iende sokoni upitia moto mkali msiogope mungu yu pamoja nanyi muwe shujaa na moyo wa ujasili ilo tu.
nafasi pekee ya kukisafisha chama chenu na uchafu wa ubadhilifu,ukabila,udini,udikiteta,ukandamizaji,demokrasia finyu.mkishindwa nafasi hiyo basi kachongeni jeneza la kuzika hicho chama chenu.
 
chagadema ss inakufa vibaya inanunua adi wajumbe wakumboost padre na dj
 
Hivi hawa wajinga kama wewe si ndio mnahubiri kila kukicha kwamba chadema imekufa? sasa mbona mnahangaika sana na mfu? au 2013 haijafika? wewe inaonekana ni punguani 100%.

Umesema watu wamelipwa unaambiwa utoe ushaihidi unaanza kuweweseka.kama malipo hayakufuata utaratibu ndio tunataka tuone hizo vocha ambazo haziko kwenye utaratibu

Pia utuambie ni utaratibu gani unaotumika kufanya malipo ambao haukufuatwa na chama. usipojibu haya wewee utakuwa ni sawa na mipira ileinayotumika mara moja na kutupwa?

Typically BAVICHA standard response to any argument. It will be insult to my inteligence if I expected anything less than this

Hizo fedha zilizoingia kwenye A/c yake bila shaka imetoka ACT... pengine ni makosa ya kiufundi yalifanyika kwa yeye kuwekewa mchuzi bila kujulishwa! Tunajua kuwa zile 200Billions zilizotoka kwa jina la IPTL mlipewa mgawo wa kuwanunua wajumbe wa CDM... Tatizo lenu mko predictable ile mbaya... eti kuwasaidia wajumbe waandike historia ya demokrasia ktk nchi hii!!! Grrr... Kwanini mnapenda kuwatukana Wananchi? kwanini hamtumii nguvu nyingi kukataa MADINI yetu kukwapuliwa huku wananchi wakiishi maisha ya kifukara kupitiliza? kwanini hamchukii ufisadi wa kutisha wa kukwapua kwenye kapu letu (BOT) kwa maslahi ya wachache wakati huduma muhimu za kijamii hazipatikani?... Mmelogwa?...

ACT? Ndio mpinzani mpya wa CHADEMA?
 
Wanademokrasia na wananchi kwa ujumla!
Kuna mipango miovu inayopangwa na wahafidhina na wasioitakia mema nchi yetu kuwazuia wajumbe halali wa baraza kuu CHADEMA kuhudhuria mkutano wa baraza kuu hapo Julai 18. Mipango hii inahusisha kuweka vikwazo vya fedha kwa wajumbe hasa masharti ya kuwarejeshea wajumbe posho ya usafiri na kujikimu kipindi chote mkutano. Hii inatishia afya ya demokrasia kwani wajumbe waliopangwa tayari akaunti zimecheka na wengine wameanza kujisogeza eneo la tukio.
Hivyo basi mnaombwa kuwasaidia wajumbe kwenye maeneo yenu kwa michango ili waweze kuhudhuria mkutano huu muhimu unaokwenda kuibadilisha historia ya nchi hii. Kwa wajumbe wa baraza kuu walioathirika na unyanyasaji huu mnaombwa kutoa taarifa zenu hapa ili wana JF wawasaidie.

hivi upo timamu kweli,kudhihirisha ulivyo kanjanja unasema wajumbe wameanza kusogea leo tar 6 huku kikao kipo tar 18 kwa gharama za nani hizo zitakazowaweka mjini siku 10 kabla ya kikao? Hizi ni dalili za mamluki na wasaliti kuweweseka,Tunapenda kuwapa onyo kuwa CDM ni ya wanachama wa cdm na si vinginevyo! Wenye mamlaka na cdm ni sisi wanachama na si magamba and co na hatutaruhusu wala kukubali upuuzi wa aina yoyote!
 
Vipi zile vurugu hapo Mwanza za kumpiga katibu wako na kupelekwa mahakamani umeshasuluhisha nje ya mahakama?Maana kukosa uadilifu kiuongozi na kuanza kuwapiga wanawake badala ya kuwajibu kwa hoja ndio tabia unayoonyesha hapa kwenye hii thread.Mwenyekiti wa CCM Mkoa na Katibu wanapigana?

Binafsi Mr Ben nakuomba badilisha hayo maneno kiroho safi. Nafuatilia sana thread zako kaka, pls you need to change. Kaka si umekaa India leta kihindi hapa watu tunufaike.
 
hivi upo timamu kweli,kudhihirisha ulivyo kanjanja unasema wajumbe wameanza kusogea leo tar 6 huku kikao kipo tar 18 kwa gharama za nani hizo zitakazowaweka mjini siku 10 kabla ya kikao? Hizi ni dalili za mamluki na wasaliti kuweweseka,Tunapenda kuwapa onyo kuwa CDM ni ya wanachama wa cdm na si vinginevyo! Wenye mamlaka na cdm ni sisi wanachama na si magamba and co na hatutaruhusu wala kukubali upuuzi wa aina yoyote!

Tupo pamoja hapo kwenye kuhoji malipo ya kikao kabla ya kikao. Mengine hayo tumeyazoea majibu ya BAVICHA kwenye kila hoja. Sijui huwa kuna template mnatumia?
 
Poleni sana magamba na mawakala wao! Tunawapa tu onyo kuwa ole wao watakaokubali kutumiwa kama mipira ya kike ili kujaribu kuvuruga kikao,watajuta kuzaliwa! Fanyeni mbwembwe zote huku mkilizingatia hilo!
 
Vipi Lwakatare atawashughulikia?
 
Wachummia tumbo wa Lumumba mnashida sana, kila kukicha mnahangaika na chadema, kwa miaka mingine mitano tangu mmepora ushindi kwa mgongo wa wapiga kura huku mkitumia ngao ya vyombo vya dola, hususan TISS ,mmeshindwa kushughulikia matatizo ya watanzania, matokeo yake, kila kukicha matatizo yanaongezeka na hakuna utatuzi, cha mno mmeongeza mbinu za kuiba mali ya umma, na baadhi ya fedha hizo mnazitumia eti kutaka kuiua chadema, akili zenu hazina akili, mtashindana sana lkn mtashindwa.Maintarahamwe nyie
 
Kwani chadema ziko ngapi?mbona Ben Saanane anakana habari hizi?
 
Last edited by a moderator:
Chadema inahangaika sana. Hizi zote ni hila za kutaka kusimika utawala wa kiimla

Naona soon kibarua chako kitaota nyasi, 2015 sio mbali na kamwe hamuwezi kushindana na wakati, Muhubiri anasema kila jambo na wakati wake sasa wakati wenu umeishia na zaidi mkizidi kulazimisha mtaambulia maumivu.Period
 
Tupo pamoja hapo kwenye kuhoji malipo ya kikao kabla ya kikao. Mengine hayo tumeyazoea majibu ya BAVICHA kwenye kila hoja. Sijui huwa kuna template mnatumia?

dj ataki kutoka ni mkakati ila umebuma
 
Joyce Masunga na Dr feki Antony Dialo mmeshamaliza kuwasuluhisha baada ya kuzichapa wakigombea fedha za escrow?maana mnarukia kutunga uongo badala myamalize ma ugomvi yenu kwanza, Intarahamwe tabu sana
 
Back
Top Bottom