Tuwasaidie wajumbe wa baraza kuu CHADEMA

Ben,

Kama ni uongo wa kutunga mbona umepanic? Au huamini this time upo out of loop kabisa.

Mkuu, Ben haamini kabisa. Yaani kapanic ile mbaya. Anatamani mods waufyeke uzi huu na kama yeye angekuwa na uwezo huo angefanya hivyo
 
Mkuu Nduka, hakika ndani ya chadema kuna ubaguzi wa hali ya juu sana. Wajumbe wote wachagga wameshapewa mshiko wao tena unazidi ule wanaopewa wasio wachagga kwa zaidi ya nusu

Mkuu hakuna marefu yasiyo na ncha, ndio maana tunawaomba wapenda demokrasia wawasaidie wajumbe wote wa baraza kuu wafike kuondoa uvundo huu.
 
Ben,
Ninauwezo wa kuweka namba ya uanachama na hata copy ya hiyo transaction ila sintofanya hivyo hapa kwasababu kwanza mimi sio mtu sahihi kufanya hivyo pili yeye mwenyewe atafanya hivyo kwenye kikao halali cha chama.
Na hao Mods hawafanyi kazi za CDM so wewe relax tuwasaidie wajumbe halali wa chama chenu.

Kwanza,Huu ni ujinga kufikiria kuwa kuwaita Mods maana yake nimewataka wafanye kazi za CHADEMA. Uongo huku umekatazwa na ndio maana baada ya kusoma kanuni na sheria hizo tukaridhika kujiunga na JF.

Mimi kama member nina wajibu wa kulinda kanuni na sheria za JF.Hatutaki double standard hapa

Pili,Kama wewe sio mtu sahihi umeanzishaje hii thread?

Acha unafiki na uongo.

Kama hutaweka nyaraka hapa nakupuuza.Na pia wasomaji wa JF kupitia thread hii watazidi kupata taswira halisi ya JF kwa sasa na credibility yake.
 
Mimi ni mwanachama wa kawaida, ngoja niwaache mlio na data nitapita baadaye, lakini naamini hizi ni propada
 
Mkuu, Ben haamini kabisa. Yaani kapanic ile mbaya. Anatamani mods waufyeke uzi huu na kama yeye angekuwa na uwezo huo angefanya hivyo
Ben Saanane aliaminishwa kuwa yupo katika inner circle ya CHADEMA kwasababu tu anamshambulia Zitto. Haamini kuwa hajui chochote kuhusu mpango huu na wala hajagusa senti tano hapa.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza,Huu ni ujinga kufikiria kuwa kuwaita Mods maana yake nimewataka wafanye kazi za CHADEMA. Uongo huku umekatazwa na ndio maana baada ya kusoma kanuni na sheria hizo tukaridhika kujiunga na JF.

Mimi kama member nina wajibu wa kulinda kanuni na sheria za JF.Hatutaki double standard hapa

Pili,Kama wewe sio mtu sahihi umeanzishaje hii thread?

Acha unafiki na uongo.

Kama hutaweka nyaraka hapa nakupuuza.Na pia wasomaji wa JF kupitia thread hii watazidi kupata taswira halisi ya JF kwa sasa na credibility yake.

Ben,

Kweye hili nakuomba wewe na wote mnaofaidika na mfumo wa umangi uliopo sasa MNIPUUZE ili tupate kuung'oa mfumo wenu vizuri.
 
chagadema ni wabaguxzi wameanza na shetan watamaliz na shetan
 
Nduka mbona kama uko tofauti sana na mtazamo wa wengi?

Ama ni mimi ndiyo nakuelewa tofauti nini????
 
Last edited by a moderator:
Watahangaika sana,watashindana sana lakini hawatashindaaaa. Watu wameamka wamechoka kugeuzwa misukule, wabaki akina ben muda 8 et al...
 
Ben Saanane aliaminishwa kuwa yupo katika inner circle ya CHADEMA kwasababu tu anamshambulia Zitto. Haamini kuwa hajui chochote kuhusu mpango huu na wala hajagusa senti tano hapa.

da washamtuompa dakika ii
 
Last edited by a moderator:
Nduka,
CDM hauijui vizuri, na hata huu uwongo wako pengine unamdanganya mamayako tu. Katika hali ya kawaida watanzania tunaweza kujiuliza kwamba, kulikoni ccm na act wawe na uchungu sana na mikutano ya chadema? wana maslahi gani na mkutano wa chadema?

CDM ni chama makini haikurupuki
 
Ben,
Tulia utaletewa ushahidi acha kuwasumbia mods na kiingereza chako cha kurudia maneno!!! Mr Pathetic
ManDla Jr wewe jamaa mtata sana aisee eti Mr Pathetic
 
Last edited by a moderator:
Mods,
Mwambieni Ben atumie maneno mengine ya kiingereza kama hakumbuki mengine atumie hata kihindi....tumechoka

Double standard, pathetic na credibility hayo hayo kila siku.

Pls, mods kindly assist and advice him.
 
Kwanza,Huu ni ujinga kufikiria kuwa kuwaita Mods maana yake nimewataka wafanye kazi za CHADEMA. Uongo huku umekatazwa na ndio maana baada ya kusoma kanuni na sheria hizo tukaridhika kujiunga na JF.

Mimi kama member nina wajibu wa kulinda kanuni na sheria za JF.Hatutaki double standard hapa

Pili,Kama wewe sio mtu sahihi umeanzishaje hii thread?

Acha unafiki na uongo.

Kama hutaweka nyaraka hapa nakupuuza.Na pia wasomaji wa JF kupitia thread hii watazidi kupata taswira halisi ya JF kwa sasa na credibility yake.

mission yako mods wameiabort out.too low
 
Mods,
Mwambieni Ben atumie maneno mengine ya kiingereza kama hakumbuki mengine atumie hata kihindi....tumechoka

Double standard, pathetic na credibility hayo hayo kila siku.

Pls, mods kindly assist and advice him.

Daaaa watu mpo makini sana na details.
 
Nduka,
CDM hauijui vizuri, na hata huu uwongo wako pengine unamdanganya mamayako tu. Katika hali ya kawaida watanzania tunaweza kujiuliza kwamba, kulikoni ccm na act wawe na uchungu sana na mikutano ya chadema? wana maslahi gani na mkutano wa chadema?

CDM ni chama makini haikurupuki

Huo huo umakini wa CDM ndio ungeutumia kukwepa kumuandika mama yangu kwasababu maneno kama hayo huwa hayamaliziki vizuri. Natumai utatumia umakini wa CDM kunielewa.
 
Mods,
Mwambieni Ben atumie maneno mengine ya kiingereza kama hakumbuki mengine atumie hata kihindi....tumechoka

Double standard, pathetic na credibility hayo hayo kila siku.

Pls, mods kindly assist and advice him.

Vipi zile vurugu hapo Mwanza za kumpiga katibu wako na kupelekwa mahakamani umeshasuluhisha nje ya mahakama?Maana kukosa uadilifu kiuongozi na kuanza kuwapiga wanawake badala ya kuwajibu kwa hoja ndio tabia unayoonyesha hapa kwenye hii thread.Mwenyekiti wa CCM Mkoa na Katibu wanapigana?
 
Back
Top Bottom