Tuwasaidie wajumbe wa baraza kuu CHADEMA

Tuwasaidie wajumbe wa baraza kuu CHADEMA

Joyce Masunga na Dr feki Antony Dialo mmeshamaliza kuwasuluhisha baada ya kuzichapa wakigombea fedha za escrow?maana mnarukia kutunga uongo badala myamalize ma ugomvi yenu kwanza, Intarahamwe tabu sana

Kama upo Mwanza mwenyekiti wa jimbo Nyamagana anahitaji msaada wako.
 
Moderator, hapa Ben Saanane aliomba uzi huu utolewe kwa kuwa unatoa habari za uongo kwa asilimia 100, maana mimi ni mmoja wa viongozi ngazi ya wilaya, taarifa za uhakika zilizopo kikao kijacho si cha baraza kuu kama mleta uzi alivyoandika, nilidhani kwa kuwa uzi huu una lengo ovu la kupotosha, ushauri wa Ben moderator ungeufanyia kazi, kwa muda sasa kumekuwa kukianzishwa taarifa za upotoshaji zinazohusisha wajumbe feki wa baraza kuu. Hivyo hivyo uzi huu una malengo yale yale ya kuupotosha umma, nazidi kujiuliza kama mods hana maslahi na upotoshaji huu ni kwanini anatuongoza kuvunja kanuni?
Hakuna mjumbe wa baraza kuu alielipwa na chama(Chadema) kuja Dar kwa ajili ya mkutano wa baraza kuu na hakuna mkutano wala kikao cha baraza kuu. Je mleta mada kayatoa wapi kama sio mwendelezo ule ule wa kupotosha na siasa za maji taka?
Nazidi kushauri uzi huu ufutwe
 
Tupo pamoja hapo kwenye kuhoji malipo ya kikao kabla ya kikao. Mengine hayo tumeyazoea majibu ya BAVICHA kwenye kila hoja. Sijui huwa kuna template mnatumia?

Taarifa za kikao hicho cha tar 18 umezitoa wapi? Mi ni kiongozi na nashangaa sana hizi taarifa zako za upotoshaji hadi sasa zipo kwa maslahi ya nani! Mtaaweweseka hadi lini nyie interahamwe? Tutafanya kikao mara baada ya uchaguzi kukamilika ngazi za wilaya na mikoa,hivyo jipangeni upya!
 
Ben,

Siwezi kuweka hizo vocha za malipo kwasababu hayo hayakulipwa kwa utaratibu/ taratibu za chama chenu. Pia sina orodha ya wajumbe wote mliowalipa ila ninazotaarifa za mwenyekiti wa wilaya ya uyui ( sijasema wa chama au jumuia ili msije kumhukumu) ambaye tayari akaunti imecheka na yupo tayari kutoa ushirikiano kukomesha ubaguzi huu.
kuhusu baraza kuu tarehe 18 mpigie Mnyika sasa hivi muulize ni lini wamekutoa kwenye inner circle?
Sasa kama ni suala la kumpigia Mnyika wewe umeleta hii thread ya nini pambaf Mkubwa wewe
 
Taarifa za kikao hicho cha tar 18 umezitoa wapi? Mi ni kiongozi na nashangaa sana hizi taarifa zako za upotoshaji hadi sasa zipo kwa maslahi ya nani! Mtaaweweseka hadi lini nyie interahamwe? Tutafanya kikao mara baada ya uchaguzi kukamilika ngazi za wilaya na mikoa,hivyo jipangeni upya!

Mkutano wa waandishi wa habari tare 26 June 2014 huku Dodoma.
 
Baada ya hapo watamboost mama yako upate mdogo wako ili uache kudeka

Sidhani kama unaakili timamu ndugu yangu maana unapomtukana mama wa mtu ni kukaribisha mama yako pia atukanwe. Sijui utapa faida gani mama yako mzazi akitukanwa hapa kisa wewe mwanae unataka kumtetea Mbowe.
 
Kwanza,Huu ni ujinga kufikiria kuwa kuwaita Mods maana yake nimewataka wafanye kazi za CHADEMA. Uongo huku umekatazwa na ndio maana baada ya kusoma kanuni na sheria hizo tukaridhika kujiunga na JF.

Mimi kama member nina wajibu wa kulinda kanuni na sheria za JF.Hatutaki double standard hapa

Pili,Kama wewe sio mtu sahihi umeanzishaje hii thread?

Acha unafiki na uongo.

Kama hutaweka nyaraka hapa nakupuuza.Na pia wasomaji wa JF kupitia thread hii watazidi kupata taswira halisi ya JF kwa sasa na credibility yake.

Huyu wewe mpuuze tu, maana hana mpango wa kuleta hivyo vielelezo, ila sisi ambao hatuhitaji vielelezo tumemwelewa.

Halafu ukipanic kwa sauti unasababisha baadhi ya watu wahisi ni kweli.
 
Moderator, hapa Ben Saanane aliomba uzi huu utolewe kwa kuwa unatoa habari za uongo kwa asilimia 100, maana mimi ni mmoja wa viongozi ngazi ya wilaya, taarifa za uhakika zilizopo kikao kijacho si cha baraza kuu kama mleta uzi alivyoandika, nilidhani kwa kuwa uzi huu una lengo ovu la kupotosha, ushauri wa Ben moderator ungeufanyia kazi, kwa muda sasa kumekuwa kukianzishwa taarifa za upotoshaji zinazohusisha wajumbe feki wa baraza kuu. Hivyo hivyo uzi huu una malengo yale yale ya kuupotosha umma, nazidi kujiuliza kama mods hana maslahi na upotoshaji huu ni kwanini anatuongoza kuvunja kanuni?
Hakuna mjumbe wa baraza kuu alielipwa na chama(Chadema) kuja Dar kwa ajili ya mkutano wa baraza kuu na hakuna mkutano wala kikao cha baraza kuu. Je mleta mada kayatoa wapi kama sio mwendelezo ule ule wa kupotosha na siasa za maji taka?
Nazidi kushauri uzi huu ufutwe

Unapingana na kauli ya Mnyika ya tar 18 alipokuwa akgea na waandishi wa habari, Tumaini Makene alikuwepo, probably wewe ni mmoja ya wale wasiotakiwa kufika; huna taarifa.
 
Last edited by a moderator:
Nduka,

Naomba uache unafiki.Weka namba ya huyo kiongozi hapa au mlete hapa kwa jina lake na Card namba yake ya uanachama.Kwa kuwa umesema yupo tayari kutoa ushirikiano ili JF imsaidie

NB: Moderators wa Jukwaa hili naomba tusimamie kanuni na sheria za JF

Watu wengi walishawahi kufungiwa kwa kusema uongo tangu jukwaa hili limeanzishwa na nikiwa member humu miaka karibia 8 sasa.

Thread hii inapima Credibility ya JF. Sasa mleta mada aje na ushahidi hapa

Hatutaki kuvumilia tena habari za uongo zinazolenga kukichafua CHADEMA na Viongozi wake.

CC: Invisible, Fang, Buchanan, PainKiller, Moderator

Acha kukimbilia kwa mood na kutisha hili jukwaa la wote kama hili ni uongo weka wewe la kweli sio kuiliza maswali
 
Last edited by a moderator:
Huyu wewe mpuuze tu, maana hana mpango wa kuleta hivyo vielelezo, ila sisi ambao hatuhitaji vielelezo tumemwelewa.

Halafu ukipanic kwa sauti unasababisha baadhi ya watu wahisi ni kweli.

Mwenzako amepanic kuona mabosi wake sasa hivi wanafanya mipango yao bila yeye kuhusishwa. Dalili za matumizi yake kwenye kundi hilo kufikia ukomo.
 
Joyce Masunga na Dr feki Antony Dialo mmeshamaliza kuwasuluhisha baada ya kuzichapa wakigombea fedha za escrow?maana mnarukia kutunga uongo badala myamalize ma ugomvi yenu kwanza, Intarahamwe tabu sana

Nashangaa anaacha kushughulikia ugomvi wake na katibu wake yupo humu anatukana matusi kwa Chadema utadhani yupo under influence.
 
CCM hamjui hata kutunga uongo. Ukiwa CCM ni lazima uweke akiri zako rehani?
 
Nduka,

Umeleta tuhuma hapa JF na ukaomba wanaJF wasaidie.Ukarusha tuhuma za uongo.

Sasa uliposema yupo tayari kutoa ushirikiano halafu unasema atapeleka kwenye vikao vya chama una maana gani?Kwanini ulileta huku at first place kama ulijua kuna taratibu za vikao?

Mnatunga uongo kwa kushirikiana na wasaliti wa mabadiliko halafu mnaweka huku.JF inakaa kimya.

Nawashauri wasomaji wa Jukwaa hili wakupuuze sasa na JF ikuchukulie hatua kama nao hawanufaiki na uongo wako huu ili kulinda hadhi yetu sisi wasomaji na wachangiaji wa jukwaa hili na JF kwa ujumla.

Hatuwezi kumpuuza ila tunakupuuza wewe mchumia tumbo
 
Last edited by a moderator:
Mods,
Mwambieni Ben atumie maneno mengine ya kiingereza kama hakumbuki mengine atumie hata kihindi....tumechoka

Double standard, pathetic na credibility hayo hayo kila siku.

Pls, mods kindly assist and advice him.

My boy(Of Course Mr.Chairman),I know comprehension skills didnt come with the free education package you received from your government.

Please,Work on your comprehension skills.
 
Ben,

Siwezi kuweka hizo vocha za malipo kwasababu hayo hayakulipwa kwa utaratibu/ taratibu za chama chenu. Pia sina orodha ya wajumbe wote mliowalipa ila ninazotaarifa za mwenyekiti wa wilaya ya uyui ( sijasema wa chama au jumuia ili msije kumhukumu) ambaye tayari akaunti imecheka na yupo tayari kutoa ushirikiano kukomesha ubaguzi huu.
kuhusu baraza kuu tarehe 18 mpigie Mnyika sasa hivi muulize ni lini wamekutoa kwenye inner circle?

Wewe ni mnafiki tu
 
Kwanza,Huu ni ujinga kufikiria kuwa kuwaita Mods maana yake nimewataka wafanye kazi za CHADEMA. Uongo huku umekatazwa na ndio maana baada ya kusoma kanuni na sheria hizo tukaridhika kujiunga na JF.

Mimi kama member nina wajibu wa kulinda kanuni na sheria za JF.Hatutaki double standard hapa

Pili,Kama wewe sio mtu sahihi umeanzishaje hii thread?

Acha unafiki na uongo.

Kama hutaweka nyaraka hapa nakupuuza.Na pia wasomaji wa JF kupitia thread hii watazidi kupata taswira halisi ya JF kwa sasa na credibility yake.

Acha unafiq kanuni ngapi zinavunjwa humu na husemi chochote
 
Weka ushahidi wa usemayo ili uongo wako uweze kuaminika

Hawa wachumia tumbo ni wanafiki sana .Leo tumeaaibisha sana na imesaidia pia kujua JF ilivyo na hila.Siku hizi hatutakiwi kuwa wastaarabu tena na kufuata kanuni humu mana kila tukifuata kanuni wao wanaziacha zivunjwe.Hatutavumilia tena .Tutashinda hata iweje.Hakuna kurudi nyuma
 
Back
Top Bottom