Tuwasaidie wajumbe wa baraza kuu CHADEMA

Tuwasaidie wajumbe wa baraza kuu CHADEMA

ni haibu sana kuwa na vijana wanaojiingiza katika kuaribu democracia hapa nchini ksa matumbo yao
 
Kurugenzi ya habari wekeni taarifa sahihi kwani kuna kikao cha baraza kuu mwezi tajwa na tarehe tajwa hapo juu ?

mimi nilisikiliza audio record ya hiyo press conference tena iliwekwa humu humu jamii forums ....mnyika alisema july 18 ni kikao cha kamati kuu

labda kama wengine walisikia tofauti
 
Wanademokrasia na wananchi kwa ujumla!
Kuna mipango miovu inayopangwa na wahafidhina na wasioitakia mema nchi yetu kuwazuia wajumbe halali wa baraza kuu CHADEMA kuhudhuria mkutano wa baraza kuu hapo Julai 18. Mipango hii inahusisha kuweka vikwazo vya fedha kwa wajumbe hasa masharti ya kuwarejeshea wajumbe posho ya usafiri na kujikimu kipindi chote mkutano. Hii inatishia afya ya demokrasia kwani wajumbe waliopangwa tayari akaunti zimecheka na wengine wameanza kujisogeza eneo la tukio.
Hivyo basi mnaombwa kuwasaidia wajumbe kwenye maeneo yenu kwa michango ili waweze kuhudhuria mkutano huu muhimu unaokwenda kuibadilisha historia ya nchi hii. Kwa wajumbe wa baraza kuu walioathirika na unyanyasaji huu mnaombwa kutoa taarifa zenu hapa ili wana JF wawasaidie.

Nenda zako matatizo ya wajumbe ya kipesa Kama yamekugusa wambie wakupe akaunt mamba zao sio kuleta kuleta umbea humu
 
kuna wajumbe kutoka tabora wanalalamika sana, hawajui watafikaje kwenye huo mkutano
 
Nduka,
Kwanza,hicho kikao/mkutano wa Baraza Kuu Tarehe 18 July umetangazwa na nani na wapi?

-Ajenda ni zipi?

Hakuna malipo yoyote ambayo yamefanyika kwa mujibu wa maelezo ya idara ya Fedha ya chama.

Sasa ili uaminike,na pia katika kulinda hadhi na heshima ya JF na wasomaji wake naomba

1:Utuletee vocha za malipo hayo hapa.

2:Orodhesha majina ya hao wajumbe waliolipwa na ambao hawajalipwa

Vinginevyo itabidi upuuzwe kwa kiwango kinachostahili na pia JF ifuate sheria na kanuni zake

CHADEMA kinafanya kazi zake kwa uwazi katika kukuza demokrasia na kupigania uhuru wa kweli.

Kamwe kelele na hila za maadui wa mabadiliko hazitatutoa nje ya mstari.Mapambano yanaendelea.

Kwani wewe ndo msemaji wa CDM?
 
Khaa Dr Mbowe na Dr Slaa wameanza kutapatapa ama hakika mwisho wa ubaya ni aibu. RIP
 
Nduka,
Kwanza,hicho kikao/mkutano wa Baraza Kuu Tarehe 18 July umetangazwa na nani na wapi?

-Ajenda ni zipi?

Hakuna malipo yoyote ambayo yamefanyika kwa mujibu wa maelezo ya idara ya Fedha ya chama.

Sasa ili uaminike,na pia katika kulinda hadhi na heshima ya JF na wasomaji wake naomba

1:Utuletee vocha za malipo hayo hapa.

2:Orodhesha majina ya hao wajumbe waliolipwa na ambao hawajalipwa

Vinginevyo itabidi upuuzwe kwa kiwango kinachostahili na pia JF ifuate sheria na kanuni zake

CHADEMA kinafanya kazi zake kwa uwazi katika kukuza demokrasia na kupigania uhuru wa kweli.

Kamwe kelele na hila za maadui wa mabadiliko hazitatutoa nje ya mstari.Mapambano yanaendelea.

ben huoni hata aibu kusema kuwa kadima inafanya kazi zake kwa kufuata demokrasia? kuwa mkweli utakuwa huru.
 
kuna wajumbe kutoka tabora wanalalamika sana, hawajui watafikaje kwenye huo mkutano

Wajumbe wa Tbr kuna mwana JF mmoja kajitolea kuwapa flat hapa town na kuna gari ya kuwafikisha kwenye ukumbi wa mkutano na kuwarudisha. Tunawaomba sana JF wengine wawasaidie wajumbe wa mikoa mingine.
 
Wajumbe wa Tbr kuna mwana JF mmoja kajitolea kuwapa flat hapa town na kuna gari ya kuwafikisha kwenye ukumbi wa mkutano na kuwarudisha. Tunawaomba sana JF wengine wawasaidie wajumbe wa mikoa mingine.

afadhali,, na wajumbe kutoka kigoma, mwanza,singida, geita, tutafute jinsi ya kuwasaidia, makao makuu ufipa hawajawatumia nauli
 
Sidhani kama unaakili timamu ndugu yangu maana unapomtukana mama wa mtu ni kukaribisha mama yako pia atukanwe. Sijui utapa faida gani mama yako mzazi akitukanwa hapa kisa wewe mwanae unataka kumtetea Mbowe.
Sasa wewe hutaki apate mdogo wake? pambaf nini wewe
 
Wajumbe wa Tbr kuna mwana JF mmoja kajitolea kuwapa flat hapa town na kuna gari ya kuwafikisha kwenye ukumbi wa mkutano na kuwarudisha. Tunawaomba sana JF wengine wawasaidie wajumbe wa mikoa mingine.

Nafikiri ungewashauri wajumbe wote washiriki Chaguzi ngazi ya msingi, matawi, kata, wilaya then kanda ili waweze timiza vigezo vya kuchagua au kuchaguliwa. Muda wa viongozi Ndani ya chama kuteuliwa umekwisha kwani chadema imekuwa sasa. Chadema ni msingi ni mwisho wa mamluki wote Ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom