Tuwasaidie wajumbe wa baraza kuu CHADEMA

Tuwasaidie wajumbe wa baraza kuu CHADEMA

Nduka,

Naomba uache unafiki.Weka namba ya huyo kiongozi hapa au mlete hapa kwa jina lake na Card namba yake ya uanachama.Kwa kuwa umesema yupo tayari kutoa ushirikiano ili JF imsaidie

NB: Moderators wa Jukwaa hili naomba tusimamie kanuni na sheria za JF

Watu wengi walishawahi kufungiwa kwa kusema uongo tangu jukwaa hili limeanzishwa na nikiwa member humu miaka karibia 8 sasa.

Thread hii inapima Credibility ya JF. Sasa mleta mada aje na ushahidi hapa

Hatutaki kuvumilia tena habari za uongo zinazolenga kukichafua CHADEMA na Viongozi wake.

CC: Invisible, Fang, Buchanan, PainKiller, Moderator

Ungekuwa mwepesi wa kuripoti post za kizushi za Yericko Nyerere kama ulivyoripoti hii, ungeisaidia sana JF.
 
Kwanza,Huu ni ujinga kufikiria kuwa kuwaita Mods maana yake nimewataka wafanye kazi za CHADEMA. Uongo huku umekatazwa na ndio maana baada ya kusoma kanuni na sheria hizo tukaridhika kujiunga na JF.

Mimi kama member nina wajibu wa kulinda kanuni na sheria za JF.Hatutaki double standard hapa

Pili,Kama wewe sio mtu sahihi umeanzishaje hii thread?

Acha unafiki na uongo.

Kama hutaweka nyaraka hapa nakupuuza.Na pia wasomaji wa JF kupitia thread hii watazidi kupata taswira halisi ya JF kwa sasa na credibility yake.

Mkuu Ben tupo nawe mpashe huyu kibaraka,hadi alete vielelezo hivyo vionekane hapa vinginevyo apewe adhabu kwa kusema uongo.hili litakuwa ni fundisho kwa vibaraka wengine kuandika habari za uongo hapa jamvini.
 
Wanademokrasia na wananchi kwa ujumla!
Kuna mipango miovu inayopangwa na wahafidhina na wasioitakia mema nchi yetu kuwazuia wajumbe halali wa baraza kuu CHADEMA kuhudhuria mkutano wa baraza kuu hapo Julai 18. Mipango hii inahusisha kuweka vikwazo vya fedha kwa wajumbe hasa masharti ya kuwarejeshea wajumbe posho ya usafiri na kujikimu kipindi chote mkutano. Hii inatishia afya ya demokrasia kwani wajumbe waliopangwa tayari akaunti zimecheka na wengine wameanza kujisogeza eneo la tukio.
Hivyo basi mnaombwa kuwasaidia wajumbe kwenye maeneo yenu kwa michango ili waweze kuhudhuria mkutano huu muhimu unaokwenda kuibadilisha historia ya nchi hii. Kwa wajumbe wa baraza kuu walioathirika na unyanyasaji huu mnaombwa kutoa taarifa zenu hapa ili wana JF wawasaidie.

Mkuu Nduka, kwa hakika nimeisoma hii taarifa kwa huzuni kubwa sana.
 
Last edited by a moderator:
Sasa unasema utaratibu wa Chama chenu,yanayotokea mlango wa jirani yana kuhusu nini?utawajua tu!
 
Wanajua hawawezi ndio maana wamepanic

inasikitisha kuona wajumbe wanabaguliwa kutokana na kanda wanazotoka..wajumbe kutoka kigoma, mwanza, geita, tabora na singida wanaanza kudhibitiwa mapema kwa kupewa masharti maguma ya kushiriki mkutano
 
Mbona ben peke yake ndo anatetea huu uzi..!!!! Wengine mko wapi..? Hapa kuna kaukweli flan hapa...:wacko:
 
Hawa wachumia tumbo ni wanafiki sana .Leo tumeaaibisha sana na imesaidia pia kujua JF ilivyo na hila.Siku hizi hatutakiwi kuwa wastaarabu tena na kufuata kanuni humu mana kila tukifuata kanuni wao wanaziacha zivunjwe.Hatutavumilia tena .Tutashinda hata iweje.Hakuna kurudi nyuma

TUTAPAMBANA NA UNAFIKI WAO HAPAHAPA JF ,hata wakipindisha kanuni , DAWA YAO NI KULA NAO SAHANI MOJA , UPOTOSHAJI UTASHINDWA VIBAYA SANA !
 
inasikitisha kuona wajumbe wanabaguliwa kutokana na kanda wanazotoka..wajumbe kutoka kigoma, mwanza, geita, tabora na singida wanaanza kudhibitiwa mapema kwa kupewa masharti maguma ya kushiriki mkutano

UONGO NA UZANDIKI vitakusaidia nini mkuu ?
 
Kwanza,Huu ni ujinga kufikiria kuwa kuwaita Mods maana yake nimewataka wafanye kazi za CHADEMA. Uongo huku umekatazwa na ndio maana baada ya kusoma kanuni na sheria hizo tukaridhika kujiunga na JF.

Mimi kama member nina wajibu wa kulinda kanuni na sheria za JF.Hatutaki double standard hapa

Pili,Kama wewe sio mtu sahihi umeanzishaje hii thread?

Acha unafiki na uongo.

Kama hutaweka nyaraka hapa nakupuuza.Na pia wasomaji wa JF kupitia thread hii watazidi kupata taswira halisi ya JF kwa sasa na credibility yake.

Usitufundishe kitu cha kufikira we bang man
 
Mbona ben peke yake ndo anatetea huu uzi..!!!! Wengine mko wapi..? Hapa kuna kaukweli flan hapa...:wacko:

Ben amepanic kuna habari hizi na yeye anazisoma hapa JF. Alizoea yeye kuwa miongoni mwa wanaopanga hii mipango.
 
Wanademokrasia na wananchi kwa ujumla!
Kuna mipango miovu inayopangwa na wahafidhina na wasioitakia mema nchi yetu kuwazuia wajumbe halali wa baraza kuu CHADEMA kuhudhuria mkutano wa baraza kuu hapo Julai 18. Mipango hii inahusisha kuweka vikwazo vya fedha kwa wajumbe hasa masharti ya kuwarejeshea wajumbe posho ya usafiri na kujikimu kipindi chote mkutano. Hii inatishia afya ya demokrasia kwani wajumbe waliopangwa tayari akaunti zimecheka na wengine wameanza kujisogeza eneo la tukio.
Hivyo basi mnaombwa kuwasaidia wajumbe kwenye maeneo yenu kwa michango ili waweze kuhudhuria mkutano huu muhimu unaokwenda kuibadilisha historia ya nchi hii. Kwa wajumbe wa baraza kuu walioathirika na unyanyasaji huu mnaombwa kutoa taarifa zenu hapa ili wana JF wawasaidie.

Duh uwe unafanya utafiti kabla ya kukurupuka kurusha vitu visivyoeleweka hapa JF unashusha hadhi ya jukwaa! Kwanza hakuna mkutano wa Baraza kuu July 18. Check again your source!
 
Hivi Tareh 18 Jyly ikifika na hakuna mkutano wa baraza kuu, utakuja kufunga huu uzi wako au itakuwaje? Kuna watu wasio heshimu haiba yao kwenye jamii! Heri Jina Jema kuliko mali nyingi!
 
Wanademokrasia na wananchi kwa ujumla!
Kuna mipango miovu inayopangwa na wahafidhina na wasioitakia mema nchi yetu kuwazuia wajumbe halali wa baraza kuu CHADEMA kuhudhuria mkutano wa baraza kuu hapo Julai 18. Mipango hii inahusisha kuweka vikwazo vya fedha kwa wajumbe hasa masharti ya kuwarejeshea wajumbe posho ya usafiri na kujikimu kipindi chote mkutano. ..
Ben,
Ninauwezo wa kuweka namba ya uanachama na hata copy ya hiyo transaction ila sintofanya hivyo hapa kwasababu kwanza mimi sio mtu sahihi kufanya hivyo ...
Mkuu, Nduka, ulikuwa mtu sahihi kuweka taarifa ya akaunti za baadhi ya wajumbe kucheka, lakini ghafla umekuwa mtu asiye sahihi kuweka copy ya transaction licha ya kuahidiwa ushirikiano na mwenye hayo malipo! Naanza kupata smell fulani hapa!
 
Mbona ben peke yake ndo anatetea huu uzi..!!!! Wengine mko wapi..? Hapa kuna kaukweli flan hapa...:wacko:

Watu wameshachoka ulimbukeni wenu, wanawachora tu mamburula mnavyohangaika na chadema kila siku! Kweli chadema imetoa ajira kwa watu kama ninyi buku saba kwa post hamlali njaa.. Hongereni.
 
Back
Top Bottom