Tuwaoneni huruma Wazee wasiojiweza jamani

Tuwaoneni huruma Wazee wasiojiweza jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1977200_595229673895672_318814435_n.jpg


Kama ukimuona mwanamke mwenye umri kama huyu, tafadhali nunua mboga yake anayouza. Biashara yake anayoifanya sio ya kujenga maduka au Sio biashara ya kununuwa majumba. bibi anafanya biashara ili apate riziki yake ya kuweza kuishi yeye na wajukuu zake jamani tuwaoneeni huruma vikongwe kama huyu.

If you see old woman like this ,Please buy her vegetable.They sell products for very less margins.They do business not to build a shopping mall. They do business for their daily Living.
 
Umeongea jambo la maana sana MziziMkavu....mungu akubarik

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
1977200_595229673895672_318814435_n.jpg


Kama ukimuona mwanamke mwenye umri kamahuyu, tafadhalinunua mboga yake anayouza. Biashara yake anayoifanya sio ya kujengamaduka au Sio biashara ya kununuwa majumba. bibi anafanya biashara ili apate riziki yake ya kuweza kuishi yeye na wajukuu zake jamani tuwaoneeni huruma vikongwe kama huyu.

If you see old woman like this ,Please buy her vegetable.They sell products for very less margins.They do business not to build a shopping mall. They do business for their daily Living.

Ningenunua mboga yote hiyo na kuitowa msaada kwa wahitaji.
 
asians hatutofauniani sana kwa backwardness. social security programs zingewasaidia wazee kama hawa badala ya kutegemea 'huruma' ya kununuliwa mboga
 
Back
Top Bottom