Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,581
- 7,236
Alijidhulumu sana nafsi yake!Yona Maro. Ndio maana waoga wa JF hawataki kuoa.
Vv
Alijidhulumu sana nafsi yake!Yona Maro. Ndio maana waoga wa JF hawataki kuoa.
Vv
Ipake rangi iwe nzuriAcha roho mbaya
Mtakatifu Ivuga hipaswi kuogopa bali zidi kujitakasa.Acha roho mbaya
Ndioo..kafa kiroho lkin sio kimwiliAre you serious????
Hapana ni member huyu..' sifi leo' ila sijamuona muda kidogoUmetishiwa?..
TutakukumbukaMimi jee
AminaaWapumzike kwa Amani
Daima mileleTutakukumbuka
YaaaniHapana ni member huyu..' sifi leo' ila sijamuona muda kidogo
Hapana ni member huyu..' sifi leo' ila sijamuona muda kidogo
Tunapata wasiwasi kuhusu msiba wa Easymutant. Je alifariki mwezi wa nane au mwezi huu wa kumi?Idadi Ni kubwa... Wachache hutajwa
1. sanguti 2009 RIP
2. regia RIP
3. Msamiati RIP
4. Dotto Mnzava RIP
5. IBRA 87 RIP
6. Kanjunju RIP _ kulikuwa na hisia za kuwepo mauti na aliandika humu
7. Njee RIP
8. legeju Bob RIP
9. Dena Amsi RIP
10. Kenedy lufulondama RIP
Nimemsahau yule alieambiwa na daktari hawezi kupona! Sijawapata wale watatu walio fululiza ku comment katika thread moja enzi za uhai wao.
Mambo ndo haya na muda ni
mchache picha no 2 Ni mkaoi wa Jf Tech maarufu kama Msamiati na ya mwisho Ni Kennedy lufulondama View attachment 1184884View attachment 1184885View attachment 1184886
Aliyeongezeka hivi karibuni
Nelson Olotu
Easymutant
Game Theory yuko wapi mana jana nimecheki accnt yk, ni mda sanaField marshal
Game Theory
Mwafrika Halisi
Shy alijiua kwa wivu wa mapenzi,mke wake alikuwa anachepuka na bosi wake huko walikohamia Mbeya,funzo mwanaume kumtegemea mkeo ni kukaribisha ugonjwa wa moyo.Idadi Ni kubwa... Wachache hutajwa