Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya

Daaah hivyo vitabu vya kale hata Siku hizi havipatikani. ...Kama Simu ya kifo,sigara yenye sumu, mashahidi wa shetani, tutarudi na roho zetu... na zawadi ya Ushindi.. Daaah...wapi navipata Kwa DSM
 
Musiba, ganzel Duh vyuma hivyo hammie rajab nae anakwambia sanda ya jambazi unakutana na malik mbowe
 
Dah! nafurahi jitihada zangu za kukusanya vitabu inazidi kufanikiwa.
baada ya kuipata vitabu vya alfu lela ulela cha kwanza hadi cha nane, vya Shafi A. Shafi vitano, Shaabani Robert sita, Allan Quarterman viwili, Ben mtobwa Saba, juzi kati nimepata Unyama wa Mafia cha Zahir Ally Zorro, Jamaa hodari kisiwani, kisiwa cha hazina, safari za gulivers, oliver twist, na kubwa lao NJAMA cha marehemu A.E. Musiba.

bado navisaka na kununua. maktaba yangu inazidi kunawiri.
 
Mkuu nitapata wapi Alfu lela ulela? Nisaidie pliiz
 
John Rutayisingwa- Neema Mpaka kaburini- Naomba mtu yeyote anayefahamu nitakapozipata riwaya za huyu muandishi jamani. Alifariki akiwa bado kijana na alikuwa muandishi mzuri sana.
Mwingine jaani Hassan Katalambula RP)-Huyu akua mbunifsana ata alikuwa n vijaria vya hadithi napicha.
 
1)Shafi Adam Shafi
2)Shaaban Robert
3)Mathias Mnyampala
4)Penina Mlama
5)Ndyanao Balisidya
6)Hammie Rajab
7)Alistablus E Musiba
9)Ben R Mtobwa
10)Gray Mchome
11)Sam Kitogo
12)Faraji Katarambula
13)John Simbamwene
14)Hadji Konde
15)Agoro Anduru
16)Ngalimecha Ngahyoma
17)John Rutahisingwa
18)Ngugi Wa Thiong´o(James Ngugi)
19)Peter Abraham
20)Okot Bitek
21)Chinua Achebe

22)S M Bawji
23)Nico Ye Mbajo
Asante mkuu, umemaliza... Mengine ni madogo madogo tu
 
Jamani namkumbuka saana
Shafi Adam Shafi na vitabu vyake vifuatavyo

1.Vuta N'kuvute

2.Nyota Ya Rehema

3.Kasri Ya Mwinyi Fuad

4.Kuli

5.Mbali Na Nyumbani : hiki amekitunga hivi karibuni ni kitabu kizuri saaana

Nyota ya Rehema sio yeye. Shafi vitabu vyake vyote nnavyo plus hicho Mbali na nyumbani nshajinunulia nalala yangu. Kizuri sana. Lkn Kitabu chake cha Haini ndo my favourite
 
Dah! nafurahi jitihada zangu za kukusanya vitabu inazidi kufanikiwa.
baada ya kuipata vitabu vya alfu lela ulela cha kwanza hadi cha nane, vya Shafi A. Shafi vitano, Shaabani Robert sita, Allan Quarterman viwili, Ben mtobwa Saba, juzi kati nimepata Unyama wa Mafia cha Zahir Ally Zorro, Jamaa hodari kisiwani, kisiwa cha hazina, safari za gulivers, oliver twist, na kubwa lao NJAMA cha marehemu A.E. Musiba.

bado navisaka na kununua. maktaba yangu inazidi kunawiri.

Dah. Itabidi tupange urafiki mkuu, maana mie natumia sana pesa kwenye kununua vitabu. Na zaidi napenda sana vya waandishi wa zamani.

Lugha wanayotumia ni adhimu sana.
 
vitabu ambavyo viko katika hazina yangu. Tutarudi na roho zetu?, roho ya paka, salamu toka kuzimu, malaika wa shetani, pesa zako zinanuka, lazima ufe joram, dimbwi la damu vya ben mtobwa..njama, kikomo, kikosi cha kisasi vya elvis musiba pia ninacho mashimo ya mfalme suleiman. Na kijasho chembamba, jogoo la shamba na msako wa hayani vya edie ganzel. Watunzi wote wazuri wamesha fariki.
nipo moshi nawezaje kupata ''msako wa hayawani''
 
Riwaya zipo nyingi;
1.Maisha yangu na Baada ya Miaka 50(S.Robert)
2.PESA ZA MAWE
3.KISIKI KIKAVU
4.MOTO WA MIANZI
5.LILA NA FILA
6.MWISHO WA MAPENZI
7.SAFARI ZA MUHAMED EL MURJEB(Tipp Tippu)
8.MARIMBA YA MAJALIWA
9.PESA ZAKO ZINANUKA
10.ROSA MISTIKA
11.WACHAWI WA WAAFRIKA
12.MFADHILI
13.SIMU YA KIFO
14.BARUA NDEFU KAMA HII n.k
 
Back
Top Bottom