Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya

ule mwenye vitabu hivi hata kama nivizee aniazime tafadhali:

Pesa Zako Zinanuka
Duka La Kava
Karibu Ndani
Siri Ya Sufuri
Mzimu Wa Watu Wa Kale
Kisima Cha Giningi
Funke Bugebuge
Rosa Mistika
Kuli
Pepo Za Mabwege
Adili Na Nduguze
Mrithi Wa Baba Ana Radhi
Mashimo Ya Mfalme Sulemani
Kaptura La Max
nitumie text via +254724156470....Joseph kamau
 
NADHANI KUNA HAJA YA VIJANA WA SIKU HIZI KULAZIMISHWA KUSOMA VITABU BADALA YA KUJIKITA ZAIDI KWENYE NYIMBO.
 
Jamani namkumbuka saana
Shafi Adam Shafi na vitabu vyake vifuatavyo

1.Vuta N'kuvute

2.Nyota Ya Rehema

3.Kasri Ya Mwinyi Fuad

4.Kuli

5.Mbali Na Nyumbani : hiki amekitunga hivi karibuni ni kitabu kizuri saaana
Pia ana riwaya inaitwa " Haini " moja bonge la riwaya.
 
Waandishi wangu bora wa wakati wote (Riwaya za ujasusi)
Ben Mtobwa

Roho ya Paka
Dar es salaam Usiku
Najisikia kuua tena
Nyuma ya pazia
Lazima ufe Joram
zawadi ya ushindi
pesa zako zinanuka
tutarudi na roho zetu?
Malaika wa shetani
mikononi mwa nunda
kipofu mwenye miwani myeusi
mpishi mwenye kibiongo
mwalimu mwenye mguu wa bandia
mhariri msalabani

Elvis Musiba
njama
kikosi cha kisasi
kufa au kupona

Hata nikipanga orodha ya watu kumi SHIGONGO hawezi kuwamo.
 
Hivi ni nani aliandika vitabu hivi

1. Mpenzi 1&2
2. Nataka Iwe Siri
3. Sikudhani
4. Ushindi wa Mhaba
 
Agoro Anduru (ingawa hadithi zake nyingi zilikuwa za kiingereza. Huyu jamaa pia alikuwa anachapisha hadithi zake kwenye gazeti la Sunday News la enzi hizo)

1. A Bed of Roses and Other Writings
2. Loyalty to My Friend
3. Temptation and Other Stories

This is living and other stories
 
Nimefurahi sana kukutana na wakongwe wenzangu nimejikuta kimya...hebu niwape bonus Old Timers
 

Attachments

  • Mziki wa dansi zilipendwa -Zahir Ali na Kimulimuli- Sakina.mp4
    8.5 MB · Views: 41
Back
Top Bottom