Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk

Amina Chifupa wa Mpakanjia
Alikuwa maarufu sana kwa wakati wake na pengine hakuna staa wa kike aliyemfikia kwa umaarufu.

Ali Choki mzee wa farasi. Huyu alikuwa maarufu mpaka kuna viatu vikapewa jina lake.

Staa yupi unamkumbuka zaidi?
Dr Limbe Ng'wizukulu Jilala
 
Mimi kama mzee wa zamani nawakumbuka sana franco luambo makiad,pepekalle na kundi lake la empire bakuba,boziboziana,josk kiambuktu,vick longomba,papa ndombe n.k.miaka ya 1970 tuliburudika sana japo hatukuwa tunaelewa lugha ya kilingara na kifaransa
 
Mangwair....
Mitungi mikasi...
mpk leo ni mtu mzima ila wimbo upo kwny simu yangu...
 
Mimi kama mzee wa zamani nawakumbuka sana franco luambo makiad,pepekalle na kundi lake la empire bakuba,boziboziana,josk kiambuktu,vick longomba,papa ndombe n.k.miaka ya 1970 tuliburudika sana japo hatukuwa tunaelewa lugha ya kilingara na kifaransa
Bila kuwasahau akina mama Mbilia Bel, Faya Tess, Tshala Muana etc..
 
Back
Top Bottom