Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk

Amina Chifupa wa Mpakanjia
Alikuwa maarufu sana kwa wakati wake na pengine hakuna staa wa kike aliyemfikia kwa umaarufu.

Ali Choki mzee wa farasi. Huyu alikuwa maarufu mpaka kuna viatu vikapewa jina lake.

Staa yupi unamkumbuka zaidi?
Shati aina ya Bushoke ninalo mpaka leo.
 
Je nani anamkumbuka huyu mwamba?

1000073703.jpg
 
Mtoto wa Dandu mahala pema Complex na Vivi r.i.p stive 2k naimwaga pombe chini kwa Albert Mangwea
 
Alfred Tibaigana (tumefanya kitu kinaitwa general attachment)
Seki
Dr Chen
Mwaibula
Lundenga
Sinta
Nora
Swebe
Max na Zembwela
Aisha madinda
Mama Dotnata
Ndanda kosovo
Number moja anakaa Banza stone a k a bambino,ticha wa maticha
 
Back
Top Bottom