NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,281
- 24,078
Ni mahaba tu,wewe unashangaa mwanamke kuhongwa ist wakati hayati aligawa nyumba nzima na vilivyomo.
Hata huyo mke anaweza kukugeuka siku moja cha msingi fanya yote hayo huku ukijua kuna siku mambo yanaweza badilika wala hutateseka.kuna baba yangu mdogo nae ni mSoja, anamke wake wanapendana na amemzalia watoto wazuri sana tena anajivuniaga sana kuitwa baba na wale watoto wàke aliofanana nao vilivyo,
akapata mchepuko then kamfanyia vitu vikubwa uyo mchepuko ambavyo ata mkewe wa ndoa hajawai kumfanyia, akampangia nyumba ya kisasa, akamfungulia duka la nguo then akamnunulia gari Toyota Oppa, dah uyo fatha now alipataga strock hajiwez tena analelewa tu na mkewe wa ndoa àmbaye hajawai atà kumtunuku kaVits. mchepuko ndio hamtaki tena.
Naapa ata kama nikimiliki pesa kiasi gani, nitamtunuku mke wangu kitu chenye thaman kuliko cha mchepuko. kama mchepuko nitakuwa nimemtunuku IST basi mke atapata Prado tx yaan kubwa kuliko.
Sisi tukipewa vikubwa tunaangukia kwenye umario!Tatizo lako ni huna hela za kutosha na kubaki.
Hicho tu.
Even us Ke… tunapendaga tuwape vikubwa ila unakuta hatuna hela za kutosha .
Honga hela iliyo ndani ya uwezo wako mambo ya kuumizana kizazi ni kukomoana kwa makusudi.Hao ndo watu walio invest kwenye ngono hata stori zao ni mademu na sio harakati za kusaka kibunda kwasababu tayari wanacho
Na wengi unakuta pesa zao hawajazipata kwa kusumbuka kama wenzangu na mimi, wengi unakuta walikuwa ni watoto wa vibopa huko serikalini kuanzia mama mpaka bibi wote wana vitengo
Sasa mazingira kama hayo kuhonga gari, nyumba ni kitu simple sana ila kwa ma husler kama sisi tukihonga laki tu basi siku ya show lazima demu asukume kizazi
It saves a lot, unaweza kudhani kulipa kodi ni hela nyingi Ila inaokoa pesa kibao, manake lodge kila siku kama hizi za kwetu ni 30k labda mnakutana x4 kwa mwezi tayari ni 120k, wakati mcheps wa kawaida unauvutia self la 60-80k maisha safi.nimekutana nazo sana tu,tamu kushinda zote niliishia kuilipia kodi nusu mwaka ili nipate uhakika na kuigongea kwake badala ya gesti
Wala, kama una hela nzuri na una mtu unamuelewa unamzawadia tu.
Wakati huo kwa bimkubwa wake hajatuma hata mia.Nini gari kuna watu wanatoa vikubwa zaidi naona ni upendo tu.
Bila kusahau boxer pc 3 kwenye packet moja.Ni upendo tu, nothing else!
Hata sisi KE si tunawapaga vest na saa!? 😎
Utofauti ni nini?Kuhonga ni tofauti na kumzawadia ilo elewa
Sasa huyo ana shida zake binafsi [emoji23]Wakati huo kwa bimkubwa wake hajatuma hata mia.
Utofauti ni nini?
Wahongaji wengi hawana time na familia zao, hasa sie wa kipato cha wasiwasi.Sasa huyo ana shida zake binafsi [emoji23]
Topic inasema 'kuhonga' maana yangu ilikua hiyoZawadi ni shukrani au pongezi. Kuhonga ni kukaribisha au kuvutia
Mbn hiyo kawaida sn kwa Ke kwa Me anayem feel 😊***** [emoji39] hapo lazima ukabidhi mpaka hati ya nyumba ya urithi
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo mwenyewe umejitutumua kweli[emoji23]Ni upendo tu, nothing else!
Hata sisi KE si tunawapaga vest na saa!? [emoji41]
[emoji23][emoji23] wanakujaKama kuna mwanaume yupo kwenye NDOA na hana mchepuko,
Anyooshe kidole juu[emoji1546]
Mie kumnunulia zawadi mwanaume hata nimesahau ni mwaka gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo mwenyewe umejitutumua kweli[emoji23]