Tuwajadili mabroo wanaohonga magari, huwa wanapewa nini?

Tuwajadili mabroo wanaohonga magari, huwa wanapewa nini?

Kuhusu viwanja nako sidhan Kama Ni Ishu ngumu ya kukuumiza KICHWA.

Kama unauwezo wa kumlipia Kodi kuanzia laki 2 kwa mwezi, ambayo kwa mwaka ni Zaid ya mil. 2.4

kwann usimnunulie kiwanja hata Cha pembezoni uko Cha mil. 3 ukajenga chumban na sebule kwa mil. 7 jumla mil. 10 ambayo Ni sawa na Kodi ya miaka 4

Hapo kwenye viwanja na nyumba Nadhan zaidi zaidi Ni suala zaidi la kupunguza matumizi kuliko hata unavofikiria
 
kwa umri wangu huu wa 40s na idadi ya michepuko niyoganga mpaka sasa(mengine mpaka nimeisahau), sidhani kama kuna nyuchi yenye radha mpya.

hizo mambo ni nyinyi vijana wa 20s and 30s ndio mnababaika nazo. sisi watu matured yaani hata demu abinuke vp, augulie kwa miguno yote anayojua yeye, kwangu ni kawaida tu.

na hata kama nitamuhonga kitu kikubwa, basi itakuwa ni kwasababu ya msukumo wa upendo na si vinginevyo.
Na upendo ndo unaoongelewa Hapa Nadhan, moyo wa mtu ukishapenda huwez zuia fantasy yake[emoji4]
 
Kama hauna utaonga pumzi?
?
Waacheni wenye wanaweza honga
IMG_20220410_134702.jpg
 
It saves a lot, unaweza kudhani kulipa kodi ni hela nyingi Ila inaokoa pesa kibao, manake lodge kila siku kama hizi za kwetu ni 30k labda mnakutana x4 kwa mwezi tayari ni 120k, wakati mcheps wa kawaida unauvutia self la 60-80k maisha safi.
SAHII KABISA mkuu,
Wengi wanadhana potofu sana khs Hilo.
Ni suala la kimahesabu zaidi kuliko wanavodhani[emoji106]
 
Kuhusu viwanja nako sidhan Kama Ni Ishu ngumu ya kukuumiza KICHWA.

Kama unauwezo wa kumlipia Kodi kuanzia laki 2 kwa mwezi, ambayo kwa mwaka ni Zaid ya mil. 2.4

kwann usimnunulie kiwanja hata Cha pembezoni uko Cha mil. 3 ukajenga chumban na sebule kwa mil. 7 jumla mil. 10 ambayo Ni sawa na Kodi ya miaka 4

Hapo kwenye viwanja na nyumba Nadhan zaidi zaidi Ni suala zaidi la kupunguza matumizi kuliko hata unavofikiria
Ongeza sauti
 
kwa hiyo unadhani ukimpangishia demu nyumba ili ku-save pesa(kama unavyodai) ndio hutogongewa?. utagongewa tu, tena kwenye hiyohiyo nyumba ambayo unamlipia kodi.

miaka kadhaa iliyopita nikiwa ndio kwanza naanza ajira yangu ya kwanza, nilipanga chumba na sebule ktk kitongoji flani maarufu jijini dar.

halafu upande wa pili wa ile nyumba, kuna fala mmoja mfanyakazi wa bandari, alikuwa kaupangishia mchepuko wake, mchepuko ulikuwa kisu kwelikweli.

jamaa alikuwa halali, anaibuka tu kula mzigo na kurudi kwa mkewe.

kuna siku ule mchepuko nikakutananao kwenye kiduka cha mangi palepale kitaa. tukazoeana kwa haraka sana. nikautongoza, ukakubali.

kipindi hicho napiga chuma sana na kuvuta mibangi kama sina akili nzuri.mchepuko wa jamaa ukawa attracted na maisha yangu ya usela. halafu ukanipa mkanda mzima kuhusu ratiba za jamaa yake. nikawa najipigia tu.

jamaa alikuwa anakuja na kivitara chake, akisepa tu, mimi naingia....nampelekea moto kwelikweli....siku nyingine nilikuwa nalalanae mpaka asubuhi hata chumbani kwangu siendi.


moral of the story: upangishie mchupuko nyumba but it is not a guarantee that she won't cheat you. pay her rent at your own risk.
Ha ha ha .....
Mnajipa moyo eeh[emoji4]
 
Kuna mwanamke uyo ni mke wa mtu ndoa safi yenye furaha, alitokea kunitunuku aisee kile kiumbe ni kitamuuu kinaifinyia kwa ndani mwanamke anajua kuchezea dushe yule kiumbe anamaneno machafuu kitandani ya kutia genye,
Anamitego kidogo nipite na jicho anabahati malaika wa heri walikuwa juu yake

Basi bana yule kiumbe akiwa na shida baada ya mumewe ni mimi alafu hana gubu ukimwambia huna mwelewa sasa viumbe kama hao kuwahonga kitu cha gharama uja automatic tu
Nakazia[emoji106]
Kuna wanawake wanakuhudumia mpk nafs inakusuta kwann usirudishe shukran japo kidg ulichojaaliwa[emoji4]
 
Kuna dada mmoja wakati tupo chuo alipewa gari na mzee mmoja, baadae akajazwa kibendi, baada ya kujifungua jamaa akamnyang'anya gari yule dada.

Baada ya kumaliza chuo yule dada akaamua kuokoka.
Kwaiyo kaokoka kumkomoa Nani?
 
Jana nikakaa nakula bata na mchepuko wangu mwanajeshi. Akaja bro mwanajeshi mwenzie akampa ofa za serengeti lite 10. Alivyoondoka tu tukaanza kumjadili.

Nikaambiwa ana hela za kutoka kulinda amani Sudan. Juzi tu kamhonga mchepuko IST na kaufungulia biashara. Mwili ukasisimuka sana, huruma sio huruma, mshangao sio mshangao.

Lakini humu tuko wengi,hawakosekani mabro wanaohonga magari, nyumba na vitu vikubwa vikubwa. Tusaidieni kujua huwa inakuwaje,mnapewa au wanapewa nini kama motive

Tuwajadili na tujadiliane
Mjomba hujawai kufinyiwa Kwa ndani?Utahonga mpaka nyumba ya urithi.
 
Nitajie mwanaume mmoja tu alietolewa kimaisha na binti Mwenye miaka (18-35), usiseme Dume kupewa gari na sugar mummy wa miaka 70 coz sugar mummy sio binti..

Binti Wa kawaida tu anatongozwa na wanaume 20 tofauti kwa mwezi, kwann atoe hela ili apate dushe?

Kuna jamaa humu jf Alitongoza binti wa waziri, binti akajibu baba zao wakikaa wataongea nini, u can imagine.

Wadada mkitununulia vest na saa hio huwa ni sehemu ya hela tulizowahi kuwapa, na mnatugea kama mkopo mkijua kuna sehem mtatuomba hela mrudishe hela yenu.

Ukweli ni kwamba nyie wanawake hamuwezi kutupenda sisi wanaume kwa upendo mkubwa, kama sisi wanaume tunavowapenda Kwa upendo mkubwa Depal to yeye
SAHII KABISA[emoji106][emoji4]
 
Ni kipato tu wengi uwezo unaishia kuhonga bra, ila siku zikichanganya utahonga Techno mambo ya kiiva kidogo utahamia kwa Samsung/Iphone. Baadae unajikuta huko kwenye Carina na Ist. Watu washahongaga mpaka wilaya, mikoa wengine nchi kabisa.
 
ndio hali halisi.
Ushaambiwa na ERoni
kugongewa Hakuna guarantee,
Uwe na pesa, usiwe na pesa wakiamua hata MKEo Unaweza kuchapiwa vizuri tu.

Na kingine nikuhakikishie wee unaegonga mwanamke kwenye nyumba anayolipia mwanaume mwenzio ndio unapata shida sana maana unasex huna Aman moyoni maana unajihisi MDA wowote unafumaniwa.

Wakat mwenzio uko amerelax,
MDA wowote Akitaka anakuja pale kula Shea yake kwa Uhuru KABISA.

VIJANA ACHENI KUJILISHA UPEPO,
PAMBANENI MLE KWA JASHO LENU[emoji4]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom