Hakuna sehemu nimesema ulioandika hapo juu.
Ninachohimiza hapa ni Kuwa kabla hujamtolea mwanao jina jaribu kutazama maana ya hilo jina sio kukurupuka tu.
Na lzm utambue kuwa Jina la mtu lina athari kubwa sana ktk maisha yake.
Mfano; unamuita mtu Shida, au masumbuko, au Pombe.
Huyu mtoto maisha yake yote anabeba jina lenye maana mbovu kila aendapo. Kuanzia vyeti vyake vya shule, mpk cheti cha ndoa kinaandikwa POMBE na masumbuko.
Psychological is not Right and it causes a lot of effects.
Sasa hebu twambie hio
@Umuhirindahu ni kitu gani.!
Ni Mitishamba au sikukuu ya mizimu ya babu zako!