ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,295
- 31,698
Haya majina ya Asili ni Nuksi.
Kiranga ni jina lenye asili ya Kizaramo na Maana yake ni NYEGE!
Sasa vipi Mtu amuite mwanae "Nyege"?
Inaskitisha sana.
na ata nyegeka kweli
Haya majina ya Asili ni Nuksi.
Kiranga ni jina lenye asili ya Kizaramo na Maana yake ni NYEGE!
Sasa vipi Mtu amuite mwanae "Nyege"?
Inaskitisha sana.
na ata nyegeka kweli
Son of John! And John means gracious!
also john means toilet
Wewe unajuaje mzazi wangu kanipatia jina lenye maana mbaya kila jina lina maana yake kulingana kabila lenyewe na usikubali kutafsiri jina unavyotaka wewe au kulingana na lugha yako.
Son of John! And John means gracious!
tafuta kwanza maana ya JOHN.ukipata sasa mtoto wakiume wa john ndio johnson,
LIKE FATHER LIKE SON; maana ya jumla ya johnson itakuwa ni ileile ya john.
Pumbafu unayesema john toilet
Molembe kwa Watu wa Ujiji kigoma maana yake Jivi la mwisho.
Sasa mkuu nikikuita Jivi la Mwisho mtaani si utaanza kirusha ngumi au?
Chunguzeni majina yenu kabla ya kuyatumia. Hata yule Matola hajajua mpaka leo kuwa Matola kwa Kihehe ni Vinyweleo vya chini ya Makende!
Ni hatari sana haya majina.
Kweli mkuu, hii ni mbaya sana. Kama huyu msanii alie jifungua juzi, amenichafua kweli, kamwita mtoto wake cookies! Ni ujinga sana, kwanini asimwite majina Mazuri tu ya kiswahili kama bahati, furaha etc, au ya kikabila.