Tuwaite watoto wetu majina ya asili

Tuwaite watoto wetu majina ya asili

Sikubaliani hata kidogo juu ya suala hili. Majina ya ukoo huambatana na damu(mzimu) ya walokufa, ktk hili tunakuta mtoto anacopy vitu vyote (hasa tabia na mienendo ya mwenye jina) na kupaste nafsini mwake. Suala gumu linakaa ktk damu anayoirithi kama inajenga au inabomoa. Binafsi sipendi mwanangu awe na jina la ukoo, ninalochagua ni lililomo ktk biblia linalosadifu mtu shupavu anayefaa kuigwa na jamii yake. Kama mtoto mchanga analia usihofu juu ya jina, kataa damu chafu kwa jina la YESU kristo, amini utashinda.
 
Kuna dini nyingine zinaamini majina ya Kiafrika ni ya LAANA!! Ktk hali kama hii utaanzaje kwenda kumps mtoto jina la NAntombe?
 
Wewe ni mpumbavu. Huwezi kulazimisha bichwa lako tupu liwe kipimo kwa kila mtu. Kama unataka kuwaita watoto ita wa kwako. HUWEZI KUWA MWAMUZI WA MAISHA BINAFSI YA WATU.

PUMBAVU SANA KAZI KUJAZA NAFASI MTANDAONI TU. ETI WATOTO WAWE MALI YA UMMA.
Nimekusamehe bure maana hujui ulitendalo.
 
Sikubaliani hata kidogo juu ya suala hili. Majina ya ukoo huambatana na damu(mzimu) ya walokufa, ktk hili tunakuta mtoto anacopy vitu vyote (hasa tabia na mienendo ya mwenye jina) na kupaste nafsini mwake. Suala gumu linakaa ktk damu anayoirithi kama inajenga au inabomoa. Binafsi sipendi mwanangu awe na jina la ukoo, ninalochagua ni lililomo ktk biblia linalosadifu mtu shupavu anayefaa kuigwa na jamii yake. Kama mtoto mchanga analia usihofu juu ya jina, kataa damu chafu kwa jina la YESU kristo, amini utashinda.
Haya nilijua lazima muhusishe majina ya asili na Mizimu ya mababu waliokufa miaka mingi. Muislam ataitwa Juma Na Mkristo ataitwa John! Hayo mengine ni Laana!!
 
Sikubaliani hata kidogo juu ya suala hili. Majina ya ukoo huambatana na damu(mzimu) ya walokufa, ktk hili tunakuta mtoto anacopy vitu vyote (hasa tabia na mienendo ya mwenye jina) na kupaste nafsini mwake. Suala gumu linakaa ktk damu anayoirithi kama inajenga au inabomoa. Binafsi sipendi mwanangu awe na jina la ukoo, ninalochagua ni lililomo ktk biblia linalosadifu mtu shupavu anayefaa kuigwa na jamii yake. Kama mtoto mchanga analia usihofu juu ya jina, kataa damu chafu kwa jina la YESU kristo, amini utashinda.

Wewe ni mtoto wa Pascal let's say mwanao anaitwa Joseph halafu mjukuu wako aitwe John, so mjukuu wako ataitwa John Joseph Pascal, hiyo imekaa sawa kwako!!

Nilidhani jina la ukoo mtu anali-adopt automatically kumbe hutaki kabisa liwepo sababu ya kuogopa kurithi mizimu. Umewahi sikia mzungu anaitwa hata Amani. Wao hawaogopi hiyo mizimu?

Usijiite Mkristo kama unaamini mizimu
 
  1. Majina yetu matamu sana; Bahati, sikujua, msafiri, Neema, Pendo, upendo, semeni, mwacheni, manka, sia, Mkunde, Mkude, atufigwegwe, koku, atupyanila, chausiku, Majaliwa, ombeni, ombi, Baraka, shida, mashida, mashaka, tuzo, tulizo, Faraja, Kibibi, babu, kaka, Maria, yohana, Musa, yusuphu, yakobo, yesu, jema, jenije, Tumaini, Kristu, kurwa, Doto, cheupe, makongoro, Uhuru, madaraka, Mwana, Toto, mdogo, Petrol, Pauli, karoli, nk
 
Naunga mkono hoja, ila baadhi ya majina ya kikabila yana maana tofauti kwenye lugha nyingine.
mfano
1- jina Nguma maana yake ni kiungo cha siri cha mwanamke.
2-jina Niola maana yake kwa kabila lingine ni kujamiiana.
3-jina Ndungu maana yake pumbu za kiume,
4-jina Anasi ,maana yake kitoleo cha haja kubwa
na mengineyo+++++++

Ila yapo majina mazuri sana ya kikabila mfano mdogo ni

SEKELA,ASAJILE,ANYELWISYE,AMBELE,AMBWENE,AMARAJI,AMESI,BWELWIKE,GWANDUMI,GWAMAKA,IKIPANDA,KANDISU,JOUNE,GWANGU,SYANGU,GWETU,NSYAGENIE,ANDULILE,ANYABWILE,SYABHO,MBONIKE,NABHWIKE,NISILE,BHANDONDILE,BHANTWELE,BHAMBWENE,BHANYABHWILE,ANDULILE, ""KYIMA KYA MBWELE"", Na mengine kibao mnayoyajua. Tuvipende na kuvithamini vya kwetu.
 
Siku hizi imekuwa kawaida watoto kuitwa majina kigeni kama Joyce, Jocktan, Mary,John,Abdallah,Mohammed, Yusuphu huku tukiacha majina yetu ya asili yaliyotumiwa na wazazi wetu, haiwezekani nimetembelea shule nyingi unakuta mtoto anatumia majina yote ya kigeni mfano Michael John, Joseph tunaacha majina ya asili yetu yanapotea huku tukiendelea kutukuza majina ya kizungu.

Hakikisha mtoto anatumia jina la asili la ukoo wako kwa kufanya hivyo tutazidi kudumisha majina ya kiafrika yanayopotea kwa kasi vile vile tuhakikishe watoto wetu wanafahamu lugha za asili kama Kikurya, Kisukuma, Kinyakyusa, Kinyamwezi sio mtoto anakuwa mpaka anafika mkubwa hata hajui lugha yake ya asili pelekeni watoto wakakae na bibi zao hasa nyakati za likizo wakajifunze lugha na ni vizuri kuwapeleka wakiwa wadogo zaidi maana itakuwa rahisi kushika lugha.
Umenikumbusha nyangema na 2pac
 
Sikubaliani hata kidogo juu ya suala hili. Majina ya ukoo huambatana na damu(mzimu) ya walokufa, ktk hili tunakuta mtoto anacopy vitu vyote (hasa tabia na mienendo ya mwenye jina) na kupaste nafsini mwake. Suala gumu linakaa ktk damu anayoirithi kama inajenga au inabomoa. Binafsi sipendi mwanangu awe na jina la ukoo, ninalochagua ni lililomo ktk biblia linalosadifu mtu shupavu anayefaa kuigwa na jamii yake. Kama mtoto mchanga analia usihofu juu ya jina, kataa damu chafu kwa jina la YESU kristo, amini utashinda.
Umenikumbusha kisa flani hivi,kuna siku mchungaji alitaka kutuombea maombi maalum akatuambia kila mtu aandike jina lake(tulikuwa vijana wengi) basi mimi nikaandika jina langu la ukoo,mchungaji huyo akanielekeza nifute jina hilo la ukoo lenye asili ya kibantu na niandike jina langu la kizungu (la ubatizo)ambalo hata kwenye biblia sijawahi kuliona...nilikubali ili kumlidhisha ila moyoni mwangu niliona huu ni utumwa (kwa watu wenye mawazo kama hayo)...na wewe unataka kuniaminisha kwamba mababu zetu wote walikuwa na nuksi ila hao wazungu majina yao ni matakatifu kwa kwenda mbele...na siku tutakapoachana na asili yetu tutakuwa watakatifu kwakuwa tu tunaitwa majina kama Peter,Robert nk lakini pia mbona kunawachungaji maalufu tu wanatumia majina yao ya ukoo....kweli wa-Africa tumekamatwa pabaya....epuka kuwa "exremist" kwenye imani yako...iruhusu akili yako ifanye kazi...hata Kibwetere alicheza na akilii za watu...
 
Molembe kwa Watu wa Ujiji kigoma maana yake Jivi la mwisho.
Sasa mkuu nikikuita Jivi la Mwisho mtaani si utaanza kirusha ngumi au?

Chunguzeni majina yenu kabla ya kuyatumia. Hata yule Matola hajajua mpaka leo kuwa Matola kwa Kihehe ni Vinyweleo vya chini ya Makende!
Ni hatari sana haya majina.
Hahahaha dah unautani na Matola eti eeeee
 
Last edited by a moderator:
Kuna ukweli kwamba vichaa wengi wanatokana na kusoma misahafu yao.

Back to mada.

Tatizo la utumwa wa akili ni kwamba watumwa wanaona kuwa huru ni kuigaiga ya weupe.pole
 
Back
Top Bottom