Tuwaite watoto wetu majina ya asili

Tuwaite watoto wetu majina ya asili

Teh teh teh.
Majina ya asili mengi yana athiri mpaka Ubongo.

Tazameni huyu Nyakageni.
Mtoto jina limemdhuru kabisa.
Anaongea ovyo brbrn
 
Last edited by a moderator:
Molembe kwa Watu wa Ujiji kigoma maana yake Jivi la mwisho.
Sasa mkuu nikikuita Jivi la Mwisho mtaani si utaanza kirusha ngumi au?

Chunguzeni majina yenu kabla ya kuyatumia. Hata yule Matola hajajua mpaka leo kuwa Matola kwa Kihehe ni Vinyweleo vya chini ya Makende!
Ni hatari sana haya majina.

Hata hayo ya kigeni huwa na maana anwai, tena nyingine mbaya kabisa. Lkn kuna majina ya kienyeji yana maana nzuri kabisa, mfano Bwenge (akili), Bikolimana, Tulinagwe, Asimwe nk.

Vv
 
Last edited by a moderator:
Molembe kwa Watu wa Ujiji kigoma maana yake Jivi la mwisho.
Sasa mkuu nikikuita Jivi la Mwisho mtaani si utaanza kirusha ngumi au?

Chunguzeni majina yenu kabla ya kuyatumia. Hata yule Matola hajajua mpaka leo kuwa Matola kwa Kihehe ni Vinyweleo vya chini ya Makende!
Ni hatari sana haya majina.

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah. sija cheka siku ya leo mpaka niposoma hapa. nashukuru kwa kuniongezea maisha kama watalamu wanavyosema.:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
Sasa siku nyingine ukifurahi namna hii unagonga ka "like" basi.
Dah!
Wabongo hata kugonga "like" pia mnakuwa Mabakhili?
 
suala ni kutokurudia kosa. Mzazi alikupa jina lenye maana mbaya sasa wewe usirudie hayo makosa,tupa mbali asili kama imekosa majina mazuri bora nimpe ya kizungu.

Wewe unajuaje mzazi wangu kanipatia jina lenye maana mbaya kila jina lina maana yake kulingana kabila lenyewe na usikubali kutafsiri jina unavyotaka wewe au kulingana na lugha yako.
 
Kwa mawazo yangu mimi sidhani kama ni lazima kumwita mtoto jina halisi, mtoto unaweza ukampa jina lolote as long as lina maana nzuri na wewe kama mzazi umelipenda
 
Nampango wanangu wachukue majina ya kawaida japo Mimi wazazi walinipa la kizungu
 
Haya ndo majina ya wanangu MUNGU akijalia

1.Mwamba Mazigazi
2.Amani Mazigazi
3.Nguvu Mazigazi
4.Waridi Mazigazi
5.Neema Mazigazi
 
Tuwe wa kweli majina ya kigeni yanapoteza sana asili yetu, mfano waislam yaani hawajui hata koo zao...tufike mahali kama taifa tufanye kama alivyofanya mabutu, piga marufuku majina yote ya kigeni, mpaka muislael akajikuta anaitwa moise katumbi, chezea mabutu wewe
 
Kikubwa chukua hilo jinanla uzunguni kisha geuza kiswahili basi au kilugha alafu mpe mwanao..mfano Mercy ni Neema..mbona zuri tu. Grace ni Tunu sawa tu..ili hata mzungu akiuliza unamwambia maana yake ni hiyo sio ashangae unaiga tu bila kuuliza
 
Back
Top Bottom