Tuwaalike JF hawa Watu wenye Changamoto za Mapenzi kabla Hawajaua au Kujiua

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Waje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo.

Wajue pia wanaweza kula issue nyingine kimasikhara. Waonane na wataalamu humu kama akina GuDume , Zero Brain yule jamaa wa kula tunda kimasikhara , @malisaGj na wengineo.

Hata wapatiwe pia maombi na swala kuwasaidia.

Swali la msingi nini chanzo cha kukithiri mauaji ya mapenzi?
 
Hata wapatiwe pia maombi na swala kuwasaidia. SWALI LA MSINGI NINI CHANZO CHA KUKITHIRI MAUAJI YA MAPENZI?
Sababu ni
1. Kuingia kwenye mahusiano kabla ya wakati
(a)katika umri mdogo
(B)kuwa kwenye mahusiano wakati kuna kitu kingine kinakuhitaji kisheria hivyo usipo kipa muda unapotea mfano elimu
2. Kuwa katika mahusiano bila kitu kingine cha msingi chakufanya hivyo masaa mengi unakuwa katika kuchati na kuongea na beibi, hapa yakiyumba unapoteana
3. Mahitaji makubwa au kutegemewa kukidhi gharama za maisha za wapenzi
4. Usalitii na tamaa

Yangu ni hayo
 
Waje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo.

Wajue pia wanaweza kula issue nyingine kimasikhara. Waonane na wataalamu humu kama akina GuDume , Zero Brain yule jamaa wa kula tunda kimasikhara , @malisaGj na wengineo.

Hata wapatiwe pia maombi na swala kuwasaidia.

Swali la msingi nini chanzo cha kukithiri mauaji ya mapenzi?
Jamii pia isiwe biased kwamba mwamke huonewa tu. wanaume wengi wanachanganyikiwa kufikia hatua hiyo kwa sababu jamii imekuwa hivyo.

Hata vituo vya polisi dawati la jinsia wanaume wanaogopa kwenda maana nao wako biased tu. mwanaume unaweza ukapeleka issue wakakushangaa au kukucheka au mkeo akifika wanageuka wanakuwa upande wake ilhali yeye ndiye chanzo cha tatizo.
 
Hili nalo ni neno kubwa sana.
 
Panatakiwa elimu ata ikianzia mitaala ya shule za MSINGI majukumu ya msingi ya baba na mama katika familia yaainishwe nni nguzo za msingi katika majukumu ya kila mmoja au kwa umoja katika familia...
Wanawake wameacha kuwa wanawake wanataka wawe wanaume..ukiuliza unajibiwa ni haki sawa... Wanaume nao hawatimizi wajibu ila wanataka haki zao katika hali kama hio hasira na chuki vinawajaa vifuani wakijakulipuka ni hatari

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Waje wapate ushauri nasaha na pia wajue kuwa ukikosa huyu unaweza pata mwingine. Si lazima ulazimishe kuwa na huyo.

Wajue pia wanaweza kula issue nyingine kimasikhara. Waonane na wataalamu humu kama akina GuDume , Zero Brain yule jamaa wa kula tunda kimasikhara , @malisaGj na wengineo.

Hata wapatiwe pia maombi na swala kuwasaidia.

Swali la msingi nini chanzo cha kukithiri mauaji ya mapenzi?
🤣🤣🤣🤣🤣😁
 
Back
Top Bottom