Yaani ndo iwe hivyo hata kama ni black market ni bora kuliko kushindwa kufanya kilimo kwa vijana na hata hivyo wanyama wenyewe huwa wanakufa tuuMkuu kama Nchi ijiandae kuwekewa vikwazo mpaka iwe kama Zimbabwe.Biashara hiyo ya wanyama na hasa ndovu inafanyika ktk black market kwa kuwa tu Dunia nzima inapinga biashara hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote ndugu bali vijana wanaohitaji kulima,wengine watakua kwenye chain valueKila mmoja akiwa na Tractor unadhani umaskini utakwisha?
Kwani Tembo last Census walikuwa wangapi , Tukiuza -100???Hakuna Suluhisho Zaidi Ni Uzwazwa
Tuna Vyanzo Kibao Vya Fedha Kwann Tutaifishe
Malizetu Za Asili
Huyo Tembo Na Nyumbu Unajuwa Anaingiza Bei Gani Kwa Siku Kila Mtalii Anapo Fungasafari Kuja Kuwaona
Unapo Fikiria Jambo Tizama Hasara Na Faida Kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni nini sasa?? Hakuna vitendea kazi ndo maana kilimo kinakua kigumuTractor inaweza kuwa si tatizo la kilimo nchi hii. Kuna matatizo matatizo mengi zaidi na ya msingi yanayokwamisha kilimo. Tractor zipo tu ni kuandaa 40000 au 50000 tu kwa ekari.
Kutokana na uhaba wa ajira na uchumi kuwa mgumu mimi nashauri kama itawezekana tuwe tunavuna tembo au nyumbu au nyati kwa kipindi fulani then tunafanya barter trade na Wachina wanatupa matrekta na vifaa vingine vya kilimo ili vijana waweze kujishughulisha na kilimo. Tembo mmoja=trekta 1, nyumbu 20=trekta 1au nyati 5 =trekta 1.
Mimi nadhani itasaidia kupata matrekta kwa urahisi zaidi, mnaonaje wadau?
Hakuna vitendea kazi? Kwanza umewahi kulima? Maana naweza kuwa nabishana na mtu wa 'mjini'.Tatizo ni nini sasa?? Hakuna vitendea kazi ndo maana kilimo kinakua kigumu
Kama watu wa kawaida wana access black market seriksli inashindwaje? Iran na Korea kaskazini wanaishi kwa black market kuuza mafuta kutokana na vikwazoMkuu kama Nchi ijiandae kuwekewa vikwazo mpaka iwe kama Zimbabwe.Biashara hiyo ya wanyama na hasa ndovu inafanyika ktk black market kwa kuwa tu Dunia nzima inapinga biashara hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa tunaishi kwa kutegemea mawazo ya wakoloni na kukopi kwa wengine kama china, Japan nk.Usitegemee wazo lako kukubaliwa.Kutokana na uhaba wa ajira na uchumi kuwa mgumu mimi nashauri kama itawezekana tuwe tunavuna tembo au nyumbu au nyati kwa kipindi fulani then tunafanya barter trade na Wachina wanatupa matrekta na vifaa vingine vya kilimo ili vijana waweze kujishughulisha na kilimo. Tembo mmoja=trekta 1, nyumbu 20=trekta 1au nyati 5 =trekta 1.
Mimi nadhani itasaidia kupata matrekta kwa urahisi zaidi, mnaonaje wadau?
Hayo matrekta yapo wapi nami nikachukueTractor inaweza kuwa si tatizo la kilimo nchi hii. Kuna matatizo matatizo mengi zaidi na ya msingi yanayokwamisha kilimo. Tractor zipo tu ni kuandaa 40000 au 50000 tu kwa ekari.
Mi sipo chuo nipo kitaa tuNimefungua huu uzi nikaskitika sana kiukweli, hata hivyo hayo ni mawazo yako. Uko chuo mwaka wa ngapi ndugu?
Mi sipo chuo nipo kitaa tuNimefungua huu uzi nikaskitika sana kiukweli, hata hivyo hayo ni mawazo yako. Uko chuo mwaka wa ngapi ndugu?