Kutokana na uhaba wa ajira na uchumi kuwa mgumu mimi nashauri kama itawezekana tuwe tunavuna tembo au nyumbu au nyati kwa kipindi fulani then tunafanya barter trade na Wachina wanatupa matrekta na vifaa vingine vya kilimo ili vijana waweze kujishughulisha na kilimo. Tembo mmoja=trekta 1, nyumbu 20=trekta 1au nyati 5 =trekta 1.
Mimi nadhani itasaidia kupata matrekta kwa urahisi zaidi, mnaonaje wadau?
Mimi nadhani itasaidia kupata matrekta kwa urahisi zaidi, mnaonaje wadau?