B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 42,314 Reaction score 74,108 Aug 23, 2026 #21 jiwe angavu said: Kama huwezi gharamia sherehe ya harusi yako acha kuoa usisumbue watu. Click to expand... Sahihi, Mwingine hata chumba cha kupanga elfu 50 Tu Hana lakini anangangania kufanya Sherehe ya ndoa
jiwe angavu said: Kama huwezi gharamia sherehe ya harusi yako acha kuoa usisumbue watu. Click to expand... Sahihi, Mwingine hata chumba cha kupanga elfu 50 Tu Hana lakini anangangania kufanya Sherehe ya ndoa
M Mkono Mmoja JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 4,853 Reaction score 9,339 Aug 25, 2026 #22 Marcostilone said: If you can't afford a wedding, hairisha tu. Click to expand... harusi hazina gharama kama ukiamua kufanya kama ya diamond na zuchun...au ya Christiano Ronaldo na georgina... Watu wa tano mpk kumi wanatosha katika harusi. USA unaoa/kuolewa marriage for papers mkiwa watu wa 3-5 tu. Hakuna michango wala ujinga gani sijui.
Marcostilone said: If you can't afford a wedding, hairisha tu. Click to expand... harusi hazina gharama kama ukiamua kufanya kama ya diamond na zuchun...au ya Christiano Ronaldo na georgina... Watu wa tano mpk kumi wanatosha katika harusi. USA unaoa/kuolewa marriage for papers mkiwa watu wa 3-5 tu. Hakuna michango wala ujinga gani sijui.