Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,296
- 5,248
Cc. Mwanafalsafa (Mwana FA)Ni scum
Ni Mr kuku
Ni ponzi scheme
Ni project ya wanakamati kula pesa zenu alafu wanawapa pilau kuku na soda
Haiwezekani mtu anakuunga kwenye group ghafla anacheka na wewe sio kawaida yake na ameeka fix mchango laki moja.
Alafu usipomchangia anajifanya kukukaushia.
Michango iwe ya kuuguzana tu.
😁😁 na maisha yanaendelea vizuurriWatu mnatoa wapi hela, mpaka mnachangiana. Wengine michango yetu ni kuchimba makaburi ya futi sita na kusaka kuni za kupikia. Kisha tunapozwa na chai na halfcake 5.
From Now on sitoi michango wa Harusi haijalishi ni Nani, sasa ujinga umezidiNi scum