Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,805
- 3,087
Ndio nausikia huu ubao kwa mara ya kwanza maishani mwanguMkangazi ni mbao nzuri na adimu. Chukua hutajuta.
Ndio nausikia huu ubao kwa mara ya kwanza maishani mwanguMkangazi ni mbao nzuri na adimu. Chukua hutajuta.
Ndio nausikia huu ubao kwa mara ya kwanza maishani mwangu
Hapo utakuwa umeongeza thamani, utapata faida zaidi kama soko lipoNatamani nipasue miti yangu , niweke mbao zangu dawa na nizipeleke sokoni dsm au mikoa mingine, je nikifanya hivyo nitaweza kupata faidi zaidi kuliko kuuza miti?
Asante....kwa experience yako soko la mbao ni gumu?Hapo utakuwa umeongeza thamani, utapata faida zaidi kama soko lipo
Kiongoz mbao zinaanzia futi 20 mpka 19Treated za futi 18 unauzaje? 2x4
Mboa za futi 20 futi 700Treated za futi 18 unauzaje? 2x4
Kiongoz wasiliana nasi kupitia namba hizi whtssp:! 0782 425190Treated za futi 18 unauzaje? 2x4
Unaweza kuingia gharama zisizo za msingi mkuu.Natamani nipasue miti yangu , niweke mbao zangu dawa na nizipeleke sokoni dsm au mikoa mingine, je nikifanya hivyo nitaweza kupata faidi zaidi kuliko kuuza miti?
Asante Mkuu, Generally nina eka tatu za miti ya kuvuna nilitamani nipate faida kutokana na kuvuna ndio maana natafuta option za kumaximize, maana hawa wanunuzi wa miti wao wananunua mti mmoja 10k ambao ninauhakika unaweza toa mbao zaidi ya 20
MafingaShamba liko wapii boss??
Kwanini usitumie yale machuma ya kuezekea kwani yale ni imara kuliko mninga nduguHapana mimi sio Tajiri hivyo, ila napenda vitu imara tu bila kujali gharama.
Nakazia mkangangazi upo vizuri nimeutumia sana.Ndio nausikia huu ubao kwa mara ya kwanza maishani mwangu
Ndiyo mkuu. Unafaa.Mkuu, hivi ubao wa mkaangazi ni moja katika mbao ngumu na hauliwi na wadudu kama mchwa na je unafaa kutengenezea fremu zaadirisha?
Mkuu hivi kitanda cha mbao ya cyprus vipi unaongeleaje uimara wake? Asante.Ndiyo mkuu. Unafaa.