Tuulize chochote kuhusu mbao na changamoto zake

Natamani nipasue miti yangu , niweke mbao zangu dawa na nizipeleke sokoni dsm au mikoa mingine, je nikifanya hivyo nitaweza kupata faidi zaidi kuliko kuuza miti?
 
Unaweza kuingia gharama zisizo za msingi mkuu.
Mambo ya vibari
Madalali
Usafri

Nawaza tu..lkn itategemea umachanganua vipi mambo kupunguza gharama na kuongeza faida
 
Asante Mkuu, Generally nina eka tatu za miti ya kuvuna nilitamani nipate faida kutokana na kuvuna ndio maana natafuta option za kumaximize, maana hawa wanunuzi wa miti wao wananunua mti mmoja 10k ambao ninauhakika unaweza toa mbao zaidi ya 20
 
Shamba liko wapii boss??
 
Mkuu, hivi ubao wa mkaangazi ni moja katika mbao ngumu na hauliwi na wadudu kama mchwa na je unafaa kutengenezea fremu zaadirisha?
 
Back
Top Bottom