Huyo Kahaba atakuharibia maisha weweeeemke wangu ni mzuri sana hata nikifa leo nikifufuka nitamchagua tena yeye kuwa mke wangu nampenda sana, hivi karibuni nilichepuka na dada mmoja wa ofisini kwetu, ilikua siku ya jumamosi ilipofika jumanne tumbo lilianza kumuuma ghafla mke wangu aliyekuwa ni mjamzito wa miezi sita lilipozidi tukaenda hospital na bahati mbaya ile mimba ikawa imeharibika wakampa madawa akajifungua kitoto cha kike kikiwa kimekufa, hadi leo nawaza labda ni ule mchepuko ndo ulitia gundu, juzi umenipigia kuulizia gemu nyingine nasikia moyo mzito sana!
Huyo Kahaba atakuharibia maisha weweeee
Vipi kuhusu wanawakeTumuombe mungu awasaidie wanaume waacha tabia hiyo ingawa ni ngumu kuacha
Mkibaki na mke mmoja michepuko haitaishaWewe wake 4 nani anawaweza au unaongea tu? Mke 1 tu mtu hamlizishi kuchomekea tu mkanda nje kumbe kazi yenyewe bila bila gori moja tu chali wiki inapita hao wake wengi utawapa nini au marafiki na jirani wakusaidie acheni hizo! Tumalize haja za wake zetu kwanza [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Inaonekana masingo ladies wanavutia sana wanaume waliooa, kulinganisha na walioolewa alielewa akichepuka kapenda,Mkuu nani kakwambia mwanamke aliyeolewa hachepuki!?? Nani?
Inaonekana masingo ladies wanavutia sana wanaume waliooa, kulinganisha na walioolewa alielewa akichepuka kapenda,[/QUOTE]
Sasa kati ya huyo single lady na mwanaume aliyeoa nani anachepuka hapo? Single lady hachepuki aliyeolewa ndo tunasema anachepuka na kuchepuka hakulazimishwi huwa mtu mwenyewe anapenda
michepuko ni kwa ajili ya kipozeo kupunguza uchovu😀😀Baadhi ya wanaume hua siwaelewi kabisa,ivi una mkeo mzuri mlezi wa watoto wako anakupenda,mara unakwenda ku cheat na mwanamke mpaka mke akijua anajiuliza nini sababu au nini kimekuvutia...
Kukaa na mke mmoja kama mama ni kosa na huyatendei Haki maumbile yako. Kibiologia kazi ya mwanaume ni kupandikiza Mbegu kwa mwanamke, ndiyo maana mda wote Mbegu za mwanaume zipo tayari kuoteshwa kwa mwanamke. Anaye miliki hati ya ndoa ni mwanamke siyo mwanaume. Mwanaume msiogope kuwahudumia wanawake.Hili swala limekuwa Gumzo kwa sasa katika jamii yetu kuanzia vijana mpaka watu wazima haijalishi we ni nani upo wapi una cheo gani,limekuwa likisababisha changamoto mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku. Sema chochote,uliza chochote kama kuna lolote limewahi kukutokea Hapa ndio pa kuelezana....lengo watu tujifunze kutokana na changamoto hiii Ahsanteni. Naanza na swali langu mwenyewe,Hivi kitu gani hasa tunaweza kuwafanyia wenza wetu ili waache kuchepuka?
Wewe uliwahi kuchepuka?Ni kwanini tunachepukea. Me&ke