Tuulizane maswali kuhusu kuchepuka!

Mkuu nani kakwambia mwanamke aliyeolewa hachepuki!?? Nani?
 
Your wife will take care of you but she will never entertain you. BUT mchepuko Can!!
 
Reactions: irk
Wewe wake 4 nani anawaweza au unaongea tu? Mke 1 tu mtu hamlizishi kuchomekea tu mkanda nje kumbe kazi yenyewe bila bila gori moja tu chali wiki inapita hao wake wengi utawapa nini au marafiki na jirani wakusaidie acheni hizo! Tumalize haja za wake zetu kwanza [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Mi niliwahi kuambiwa kwamba wanaume tunakosea kitu kimoja.Kwamba ukichepuka unataka uache alama na kumbukumbu,mechi ya uhakika kwa sababu la wizi.Na ukifika kwako unalinga kisa umeitolea mahari.Sasa nikaambiwa kwamba kila mwanamke anamtaka huyo anayemkanyaga kisawasawa na kumkata kiu.Sasa fanyia hili kazi.Home mpe mambo hata wiki iishe hana hamu na dushe,lakini akinogewa nae huko nje,utajuta.Sasa ndo ujiulize,una ubavu wa kuhudumia sehemu tofauti tofauti kwa kiwango hicho? Baki njia kuu,michepuko siyo dili.
 
Umeona eee kwa mke analinga kisa kapoza kwa mchepuko siku mke akionja huko nje ndiyo mtu ana anza wanawake hawaaminiki wala hawapendeki hata umpe nini kwani alivyotoka kwao alifuata nini kwako? kumbe chanzo ni wewe mwenyewe upendo ulihamishia nje ukasahau kwa mkeo, na ukichunguza sababu nyingi za wake kuchepuka waume hawa wajibiki au wana michepuko huko wanasahau wake zao.
 

Msugue wa ndani hadi akwambie amelidhika,kama siyo mhuni atatulia, lakini,na mchepukaji pia kama mwenzio anaonyesha kuwajibika,huko unatafuta nini? Kama ukienda ukakuta kiwango cha mechi ulichopata nje bado kidogo,si utajidhalau tu? Au ndo umemuacha madam home,anakupikia anafanya kila anachokiweza mmewe ulidhike,af unachepuka unakutana na wale mnaosemaga kwamba utadhani wameulia panya mapajani mwake! Unarudi home kwa kujificha unakimbilia bafuni hata salamu hamna! Na Mungu alivyo wa ajabu za hivo itanuka mpaka kesho yake mwenzio atajua tu huyu ana shombo ya k ya mtaani huko! Duh bora utulie,sababu ukizoea ipo siku utampitia na wakusoma na ndo ndoto zako za kugegeda zitaishia hapo.Maana kama una 40,ukipigwa 25 ni sawa na utafia huko,mkeo anabaki kugegedwa na wengine,akichoka ataolewa kwingine
 
Swali lako lipo kiutafiti zaidi, unataka kuandika makala...?
Mfuatilie nyuki kwanini anapuyanga huko na kule...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…