Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,052
Huwa nikiona mwanamke ana uelekeowa kuwa na dharau huwa najipangaa mapema yaani kabla hajanipindua kwa ujinga wake huwa nimekwisha hifadhi ujinga wangu namsubiri akurupuke.Hahaha Rafaeliii hivi hujui kuwa mkeo /girlfriend wako anaweza kuchepuka na marafiki zako wote?
Mimi ni mmoja wapo,nimeshawaacha watatu kwa Kwa kuniletea hizo sinema! Huwa sina msamaha aisee kwani bei gani bwana. Yaani midudu mitatu ndani ya shimo moja huo moyo sina ntawaacha sana.Ila kwanini kuchepuka kwa wananwake iko very sensitive kuliko wananume maana yake ukimfumania mwanamke kumsamehe ni ngumu kuliko mwanamme akifumaniwa anasamehewa
Umeniacha njiay panda ya kolomije embu nitafsiriekipya kinyemi....
Kuna aina ya huyo. Ambao huwa wana matendo yanayoashiria kuchepuka lkn wapo ambao hutakaa ujue hapa duniani kama ni mchepukaji. Ila tujue tu kuwa kuchepuka ni kwa wotee men + women.Huwa nikiona mwanamke ana uelekeowa kuwa na dharau huwa najipangaa mapema yaani kabla hajanipindua kwa ujinga wake huwa nimekwisha hifadhi ujinga wangu namsubiri akurupuke.
Kuna mmoja nilikuwa nae kimapenzi akaanza dharau na majivuno hataki kunipa papuchi nilibembeleza sana ila nikaona huo ni upuuzi (wakati huo nimeshafanya ujinga) nilipoona amekuwa sugu nilimpelekea picha ya mwanangu na kumwambia huyo ni mwanangu nilimpata nikiwa masomoni toka siku hiyo alikuwa kama sisimizi.
Siwezi kuacha msichana kabla sijamuua kisaikolojia lazima nimuue kisaikolojia kwanza ndipo nimwache.
[emoji4] [emoji4] [emoji115]Ke na Me tunashindana kuona tofauti ya ladha mbalimbali.....
Mimi naweza kuchepuka na mtu hata mfanywa asijue kuwa nachepuka nae.(Nina siri sana)Kuna aina ya huyo. Ambao huwa wana matendo yanayoashiria kuchepuka lkn wapo ambao hutakaa ujue hapa duniani kama ni mchepukaji. Ila tujue tu kuwa kuchepuka ni kwa wotee men + women.
Sasa wewe ndo una ushuhuda mzuri kuwa wanawake nao huchepuka haijalishi unamtimizia mahitaji na kumgegeda kwa 100%. So kuchepuka sio eti kwa sababu ya mapungufu ya mwenza Bali ni kutaka 'kuonja ' na vingineMimi ni mmoja wapo,nimeshawaacha watatu kwa Kwa kuniletea hizo sinema! Huwa sina msamaha aisee kwani bei gani bwana. Yaani midudu mitatu ndani ya shimo moja huo moyo sina ntawaacha sana.
Tunafanana mimi nnajua kutunza siri kwa kiwango cha uprofesaMimi naweza kuchepuka na mtu hata mfanywa asijue kuwa nachepuka nae.(Nina siri sana)
Kwa hiyo wewe KE tutunze siri zetu?Tunafanana mimi nnajua kutunza siri kwa kiwango cha uprofesa
Ndio tutunze...Kwa hiyo wewe KE tutunze siri zetu?
Usiku niteke uniweke inbox tufanye yetu.Ndio tutunze...