Ninae wa kitaa mpenz,Wala sijawahi pwaya...sema huyu nilimchukulia serious sanaChaaaaaa sasa unaamua kukaa kinyonge kisa nini jamani, watu wote hawa si ujitwalie hata mzabzab maisha yasonge.......
Kikao cha mwisho haukuwepo sio?? Unyonge ilikua mwisho 2024, ukiachwa asubuhi hakikisha jioni uko deep in love na mtoto wa mtu mwingine.
Kama hauna sema upigwe tafu, kuna watu wana wawili wawili utapunguziwa mmoja, Atoto tunamuomba mmoja aje kuokoa jahazi hapa
Let's see. It's a bet. I put my 100k😔 I will
Ndo unachokiwaza😃😃Naona muhuni anataka kukitafuna KIBWENYE bila kelele za Jamiiforums.
Mdinyo mwema.
Hakuna siri chini ya jua 😀🤣🤣🤣Mi sijasema mbona
Amina na kila la kheriNawapenda sana na Mungu awabariki sana.
Kila la kheri... Kama hutojali utuachie namba yako 🙃Hakuna hakika