Kwahiyo unaleft kisa unamuona anabebishana humu? Tupe id yake mashemeji zake wa buza tumfate.....Ninae wa kitaa mpenz,Wala sijawahi pwaya...sema huyu nilimchukulia serious sana
Wala hata mimi sio msumbufu 😊Waliyonayo watakupa🤣
Nadhani wewe ndio haupo serious kwakuwa kama ungetaka kukaa kimya kweli ungekaa tu kuliko kuja kutulilia hapa tukubembeleze ubaki.Ninae mkuu,hivi sikuzote ulijua natombwer na maandishi mkuu!? Sidhani kama upo serious
Roho inaniuma Mimi domo zege, natamani kukwambia nakupendaga sana To yeye ila ndio ivo Tena kama samaki majini mdomo umejaa maji.🙄Najua mnaweza sema kwanini asiondoke kimyakimya....hapana ...Kuna wapendwa wasiponiona huanzisha thread...ndiyo...am not special ila naona ni upendo tu walionao kwa Wana family wote wa JF.
Napumzika rasmi kuingia JF mpaka tarehe,mwezi na mwaka tajwa hapo juu.
Nawapenda sana na Mungu awabariki sana.
🤣🤣🤣🤣🤣Hapo atarudi ameshazaa kabisa😅
Yupo humu,tumekosana hata hivyo... nampenda naye anapenda mwingine....mie siyo jogoo kuanza kumfukuzia🤣🤣🤣....hivyo mapenzi si sababu cute
Sisi WAVAA kobazi tumeambiwa "WALA msiseme kuwa jambo fulani nitalifanya kesho au siku inayofuata tutaonana" bali tangulizeni kusema Mungu akipenda ......Najua mnaweza sema kwanini asiondoke kimyakimya....hapana ...Kuna wapendwa wasiponiona huanzisha thread...ndiyo...am not special ila naona ni upendo tu walionao kwa Wana family wote wa JF.
Napumzika rasmi kuingia JF mpaka tarehe,mwezi na mwaka tajwa hapo juu.
Nawapenda sana na Mungu awabariki sana.
Tuyeye leo naomba nilie plz nina mpangoNajua mnaweza sema kwanini asiondoke kimyakimya....hapana ...Kuna wapendwa wasiponiona huanzisha thread...ndiyo...am not special ila naona ni upendo tu walionao kwa Wana family wote wa JF.
Napumzika rasmi kuingia JF mpaka tarehe,mwezi na mwaka tajwa hapo juu.
Nawapenda sana na Mungu awabariki sana.
Ila Evelyn😁😁😁Kwahiyo unaleft kisa unamuona anabebishana humu? Tupe id yake mashemeji zake wa buza tumfate.....
Bado unampenda au unamuacha?
Hivi raraa reree yupo kweli maana kitambo sijaona like zake kama mkwepu jrAtaendelea ledada , Half american na wengineo mkuu
Akimjua yupo JF mtandao wa wajuaji, atapigwa chini.Muhuni anapelekewa tamu 😁😁
Ka vipi mtaje tumuelekezeYupo humu,tumekosana hata hivyo... nampenda naye anapenda mwingine....mie siyo jogoo kuanza kumfukuzia🤣🤣🤣....hivyo mapenzi si sababu cute