Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,558
- 2,723
That's a full one year uh? Hahah ukimaliza mwaka mzima nipo pale unidai 100000tzs.
Humu ni mkongwe hivyo nauelewa wa mambo yanavyokwenda.Siyo mimi
Seriously I'll pay ila najua hutafika huo mdaNa utalipa🤣
Kabla haujaondoka nitumie picha yako kali pm ili nikufaudi vyema...😅Yeah
Ninae mkuu,hivi sikuzote ulijua natombwer na maandishi mkuu!? Sidhani kama upo seriousHumu ni mkongwe hivyo nauelewa wa mambo yanavyokwenda.
Hapa unatingisha kiberiti tukubembeleze ubaki.
You are lonely, you need love. Tafuta mpenzi nje ya hapa JF.
kwani una id ngapi?Najua mnaweza sema kwanini asiondoke kimyakimya....hapana ...Kuna wapendwa wasiponiona huanzisha thread...ndiyo...am not special ila naona ni upendo tu walionao kwa Wana family wote wa JF.
Napumzika rasmi kuingia JF mpaka tarehe,mwezi na mwaka tajwa hapo juu.
Nawapenda sana na Mungu awabariki sana.
Chaaaaaa sasa unaamua kukaa kinyonge kisa nini jamani, watu wote hawa si ujitwalie hata mzabzab maisha yasonge.......Yupo humu,tumekosana hata hivyo... nampenda naye anapenda mwingine....mie siyo jogoo kuanza kumfukuzia🤣🤣🤣....hivyo mapenzi si sababu cute
Kwanini unapumzika jamani🥲😴Najua mnaweza sema kwanini asiondoke kimyakimya....hapana ...Kuna wapendwa wasiponiona huanzisha thread...ndiyo...am not special ila naona ni upendo tu walionao kwa Wana family wote wa JF.
Napumzika rasmi kuingia JF mpaka tarehe,mwezi na mwaka tajwa hapo juu.
Nawapenda sana na Mungu awabariki sana.